Search results

 1. mazojms

  Kadhia ya Umeme: Waongo Wazoefu Waachie Ngazi

  _ Yaani karne ya 21 mvua kuchelewa wiki 2 tu binadamu anayeishi ukanda wa maziwa makuu anaemiliki ardhi yenye gas anakosa umeme na maji..? _ Kama huu sio ushuhuda wa uwepo wa ujinga, basi ujinga haupo.
 2. mazojms

  Hakuna uhusiano wowote kati ya demokrasia na maendeleo

  Demokrasia inafanya kazi pale tu ambapo kila mmoja atashirikishwa, atawajibika na atashiriki. Shida ni ufahamu hafifu wa tafsiri ya maneno "kuwajibika, kushirikishwa na kushiriki" , watu wanapenda kushirikishwa lakini hawapendi kuwajibika na kushiriki. Jamii yenye watu wasiopenda kuwajibika...
 3. mazojms

  Haya mawe ni madini aina gani? naomba mnisaidie kuchunguza

  Sasa mbona unapiga picha ya mbali hivyo mzee Hilo ni jiwe la kawaida tu, labda kama unataka kujua ni jiwe aina gani.
 4. mazojms

  Haya mawe ni madini aina gani? naomba mnisaidie kuchunguza

  Vyunja jiwe moja katikati kisha upige tena picha.
 5. mazojms

  Je, namba kubwa kuliko zote duniani ni ipi?

  Tukiwapanga wanawake wote duniani kisha tuandike idadi ya watoto kwa kila mmoja. Say idadi ya watoto ianze 0 paka 30, no kubwa hapo itakua ipi? Je ni (30+1)? Hapo hakuna no kubwa ya watoto zaidi ya 30. The biggest no is the no beyond which nothing can be quantified to. Je unakubaliana na hii...
 6. mazojms

  Je, namba kubwa kuliko zote duniani ni ipi?

  The biggest no is the no beyond which nothing can be quatified to. Kulingana na hiyo dfn yangu uwezekano wa kujua namba kubwa upo and so far the no is infinity sababu hakuna anaejua ukubwa wala idadi halisi ya vitu katika ulimwengu.
 7. mazojms

  Je, namba kubwa kuliko zote duniani ni ipi?

  Swali gani tena mzee? No zimewekwa kwa namna ambayo zita weza kuaccomodate amount ya kitu chochote katika ulimwengu. Ulimwengu ambao mwanadamu bado anauona ni kama infinite. (n+1) maana yake ni kwamba there is always a room for new discoveries. How can u ask for the biggest no akati hata idadi...
 8. mazojms

  Je, namba kubwa kuliko zote duniani ni ipi?

  A number is just a concept (an abstract idea) used to represent amount. Namba kubwa au ndogo unaipata pale tu unapo elezea amount ya vitu.
 9. mazojms

  Kwa Dunia ya Sasa DNA ni muhimu. Msipuuze!

  Nimesoma paragraph yako ya kwanza na nimeamua niweke sawa kabla sijaendelea kusoma. Nimeshidwa kuendelea kusoma sababu ya lugha uliyotumia kwenye paragraph husika.
 10. mazojms

  Kwa Dunia ya Sasa DNA ni muhimu. Msipuuze!

  Unaongelea conservatism kana kwamba ni ki2 kibaya? Kwanza unatakiwa uelewe kwamba bila uwepo wa conservatism binadamu angekua ashajieliminate duniani karne nyingi zilizopita.
 11. mazojms

  Kwanini shuleni hakuna somo la madini na uchimbaji wake?

  Ulitoroka darasani mwenyewe na kujificha porini, alafu leo unaanza kusumbua watu.
 12. mazojms

  Ukweli ni huu, Tanzania ina madini mengi mpaka mengine tunajengea bila kujua

  Dunia imeundwa kwa madini, kila sehemu kuna madini, lakini si kila sehemu unaweza kuchimba madini kwa faida.
 13. mazojms

  Mimi umbali wa Dar-Chalinze naujua maana nilitembea na mke wangu mtanambia nini?

  Hivi wewe na yule mbunge mwenye spika mna undugu?[emoji28]
 14. mazojms

  Hivi Kuna Washabiki wa American Football 🏈/NFL Humu JamiiForums?

  Football au handball? Huhuhu
 15. mazojms

  #COVID19 Askofu Gwajima kuwasha moto juu ya Chanjo ya Corona - Agosti 1, 2021

  - Wale jamaa (wanajiita wataalam wa mapishi) wamebeba kuku walio hai wakiaminisha watu kwamba nyama ni tamu. - Usalama wa chanjo/dawa yeyote hupimwa kwa namna inavyointeract na binadamu na sio kuipima chanjo/dawa yenyewe.[emoji28] Science is truth, Watu waambiwe ukweli wafanye maamuzi sahihi.
 16. mazojms

  Msanii aliyepewa tuzo nyingi kwa muda wote

  Ukitaka kujua umuhimu wa pua itoe, pua uliyonayo ipo ilipo kwa makusudi maalum kabisa.. MJ alifanya upasuaji wa pua tena kipindi utaalam bado uko duni. Muda mwingi litakiwa avae mask au kitambaa ili kuzuia madhara katika mfumo wa hewa. Wabongo kama wabogo wa enzi hizo wakazusha kwamba alivaa...
Top Bottom