Search results

 1. RTI

  Hivi kuna kiongozi wa serikali ana ubavu wa kushusha bei za vitu? Naona kama tunadanganywa

  Kwani kipindi cha huyo unaye msema vitu havi kupanda bei?
 2. RTI

  Hivi kuna kiongozi wa serikali ana ubavu wa kushusha bei za vitu? Naona kama tunadanganywa

  Tatizo hili jambo watu wameligeuza kuwa la kisiasa wakati ni la kitaalam zaidi.
 3. RTI

  Nikipewa Karatasi ya Kusahihisha Swali la Marais waliovivaa vyema Viatu vya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere haya ndiyo Majibu yangu

  Hivi huyo jiwe umempa hizo asilimia kwa misingi ipi? Mtu aliye kuwa amejaa chuki dhidi ya Tz wenzake kisa tu wametofautiana mawazo naye. Mtu aliyekuwa amejaa ukabila ,udini,ubinafisi, lugha chafu,unamlinganishaje na nyerere?
 4. RTI

  Kumekucha: Iran yadukua technology ya Ulinzi wa Marekani na Israel

  Mayahudi wa buza watakuja kukupinga.
 5. RTI

  Mgogoro wa Iran Vs Azerbaijan (Israel) Vs Armenia vita vitalipuka soon

  Azerbaijan ina jitafutia matatizo yasiyo kuwa ya lazima.
 6. RTI

  Uturuki na Irani hawaoni ndugu zao wanavyouawa Palestina, kwanini hawaingilii?

  Kwahiyo mungu amehalalisha mauji dhidi ya watoto yanayo fanywa na Israel?
 7. RTI

  Uturuki na Irani hawaoni ndugu zao wanavyouawa Palestina, kwanini hawaingilii?

  Ndio maana nimesema huu mgogoro si wakidini kama wengi wanavyo fikiri. Huu mgogoro unarazimishwa uonekane kama wa kidini kwa maslahi ya mataifa fulani. Kumbuka ndani ya jeshi la Israel kuna waislamu na wao ni washiriki wa moja kwa moja kwenye mashambulizi dhidi ya wapalestina. Wakati upande wa...
 8. RTI

  Uturuki na Irani hawaoni ndugu zao wanavyouawa Palestina, kwanini hawaingilii?

  Ww jamaa umejaa mavi kichwani badala ya ubongo. Kwa hiyo Israel ikishambulia wapalestina kwa mabomu huwa yana chagua wakristo na waislamu? Yaan umpende mtu ambaye anakubomolea nyumba na kukuulia ndugu zako kwa mabomu? Kwa akili zako za kipumbavu una dhani ya kwamba huu mgogoro ni kati ya...
 9. RTI

  Israel imezungukwa pande zote na waarabu lakini hawawezi kufanywa lolote? Kwa nini?

  Hao waarabu walio mzunguka Israel wote ni vibaraka wa Marekani. Na siku zote Marekani hawezi kuku fanya rafiki uku ukiwa na uadui na Israel.
 10. RTI

  Uturuki na Irani hawaoni ndugu zao wanavyouawa Palestina, kwanini hawaingilii?

  Ila kumbuka Palestine ina zaidi ya wakristo million 2 Wakati Israel hawazidi 200,000.
 11. RTI

  Uturuki na Irani hawaoni ndugu zao wanavyouawa Palestina, kwanini hawaingilii?

  Palestine ina zaidi ya wakristo million 2 ambao ni sawa aslimia 20 ya wapalestina. Wakati Israel ikiwa wakristo wasio zidi 200,000 ambao ni sawa na aslimia 2 ya waisrael.
 12. RTI

  Uturuki na Irani hawaoni ndugu zao wanavyouawa Palestina, kwanini hawaingilii?

  Acha upumbavu na uongo ni waarabu au waislamu wapi wasio wasaidia wakimbizi? Haya tende na takwimu. (1) Jordan inawahifadhi zaidi ya wakimbizi wa kiSyria million 1.5 ,ambao ni sawa na wakimbizi wote walioko katika nchi zote za ulaya. (2) Uturuki inawahifadhi wakimbizi zaidi ya million 3...
 13. RTI

  Uturuki na Irani hawaoni ndugu zao wanavyouawa Palestina, kwanini hawaingilii?

  Kwa akili yako silaha wanazo zitumia wana zitoa wapi?
 14. RTI

  Iron Dome ya Israel yazidiwa nguvu na vikombora vya wapalestina

  Kila siku huwa nakwambia na nitaendelea kuwaambia vita si kitu rahisi kama unavyo fikiri aijalishi ni mpinzani gani unaye kabiliana naye. Hamas ni kikundi cha watu ambacho akizidi 30000 tena lenye silaha duni. Lakini limeshabisha Israel inayo tumia mabilion ya$ kunua silaha za kila aina...
 15. RTI

  Kumekucha: Israel yashambulia maeneo nyeti ya Hamas na Islamic Jihad

  Teravivu inawaka moto. Alafu eti kila siku wanajisifu eti wana mifumo ya ulinzi isiyo shindika. Kama viroketi vinavyo tengenezwa kienyeji vina penya na kushabisha maafa kama haya ,vipi yale makombora ambayo Iran iliyatumia kukishambulia na kukiharibu kituo cha kijeshi cha Marekani Teravivu si...
 16. RTI

  Kumekucha: Israel yashambulia maeneo nyeti ya Hamas na Islamic Jihad

  Ni lini Israel ikawa na huruma na wapalesitina?
Top Bottom