Search results

 1. Ruwamangi

  Afisa wa NIDA na Watanzania Hii ni sawa?

  Ndugu Wanajamiiforums Naomba kujua hili maana huyu afisa wa Vitambulisho Vya Taifa Nida amenihangaisha sana Sijui ni sahihi kutumia lugha hiyo. Lakini sijui kama kuna mwingine anapitia changamoto Kama hii au ndio mfumo wa Nida usiotaka kusikiliza kwangu tu? Nilijiandikisha Nida 2018 kwa majina...
 2. Ruwamangi

  Hidaya Wa Pepe kale afariki dunia

  Hidaya aliyeimbwa na Pepe kalle,Mola akulaze pema, mama Hidaya alikuwa akiishi Arusha Mtaa wa Kaloleni
 3. Ruwamangi

  Jokate: Kila jambo na wakati wake

  DC wa Kisarawe na mlimbwende Jokate Mwengelo umeuarifu Umma kupitia account zake za mitandaoni ya kwamba "sasa wakati wa Mungu umefika...." Wengi wameona kama mdada Huyo kuhusu maswala yake ya mahusiano yamekuwa sawa awamu hii ya Sita tumpongeze Jokate
 4. Ruwamangi

  Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

  Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi (Mahakama ya Mafisadi), imewahukumu kifungo cha maisha Mafanyabiashara Abdu Nsembo na Mkewe Shamim Mwasha baada ya kutiwa hatiani kwa makosa ya kujihusisha na dawa za Kulevya aina ya Heroin . Pia mahakama hiyo imetoa amri ya...
 5. Ruwamangi

  Pedeshee Ndama kortin Kisutu

  Mfanyabiashara Ndama Shabani Hussein maarufu "Ndama Mtoto ya Ngombe" na mwenzake wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka 6 ikiwemo la kujipatia Dola za Kimarekani 150,000 kwa njia ya udanganyifu. Mshitakiwa mwingine katika kesi hiyo ni Mfanyabiashara Yusuph...
 6. Ruwamangi

  Kumjali mpenzi wako kwa fedha kunaweza kuepukika kuchepuka?

  Wadau wana Jf....... Hivi ni sawa kwa mwanaume kupambana na hata kukopa fedha ili kutatua changamoto ya kifedha ya mpenzi wake ili asije akaomba kwingine huko nao wakataka rushwa ya ngono? Hiki ni kisa mwanamke kasafiri katokea mikoa ya kaskazini kaenda Dar kwa issue ya kumsalimia Mgonjwa(...
 7. Ruwamangi

  Je, ni sawa mke kumkumbuka marehemu 'Ex' wake kwa kumpost mtandaoni?

  Hivi wanaume mna nini, yaani nimegombana na mume wangu kisa nimempost X wangu ambaye ni marehemu na kuandika “Nitakukumbuka daima, hakuna siku inapita bila mimi kukukumbuka” Mume wangu kanuna ananiambia hana hamu tena ya kufanya mapenzi na mimi kwakuwa anahisi simpendi, nisaidieni naishije na...
 8. Ruwamangi

  Nahitaji kupata cheti cha kuzaliwa

  Mimi ni mtu mzima sasa, nilikuwa nahitaji Kitambulisho cha kuzaliwa ili niweze kubadili majina yangu NIDA wamenitaka niwe na Kitambulisho cha kuzaliwa chenye majina yanayofanana na ninayotaka yasomeke kwenye utambulisho wangu wa sasa. Kitambulisho hicho sina; je huwa vinapatikana wakuu...
 9. Ruwamangi

  Miriam Kaaya: Dalali wa siasa Moshi vijijini

  MIRIAM KAAYA, MENEJA KAMPENI WA PATRICK NDAKIDEMI Moshi Vijijini jimbo lenye historia kubwa , wajumbe wake watekwa na katibu wa wilaya kwa rushwa tupu! Miriam Kaaya ambae ni katibu na meneja kapeni wa Ndugu Patrick Ndakidemi si mtu mwaminifu ni dalali wa siasa Moshi Vijijini na mla rushwa mkuu...
 10. Ruwamangi

  Uchaguzi 2020 Watakaopitishwa kura za maoni ndani ya CCM ni wenye pesa

  Na Tade ole Mushi kada wa CCM. FACT:- ATAKAYESHINDA KURA ZA MAONI NI MWENYE FEDHA. Na Thadei Ole Mushi. Vijana wengi wa CCM wametia nia kwenye maeneo mbalimbali ya kugombea Ubunge. Ni Jambo zuri Sana Ila issue ya kushinda Ni Kudra za mwenyezi Mungu. Twende sawa. Wanaopiga Kura kwenye...
Top Bottom