Search results

 1. Boeing787-8

  Mshipa wa korodani unauma hatari

  Wakuu hope mko poa Nishawahi kuwa mamber wa chaputa kwa miaka kadhaaa. Huwa ikitokea nikakaa vibaya yaani kwenye kiti kama Kuna kitu kingine labda nguo au kitu chochote,,nikikikalia icho kitu mshipa wa korodani ya kushoto imaumaga afu baada ya muda inaponyaga yenyewe. Au nikivaa boxer...
 2. Boeing787-8

  Msaada: Mapenzi yananinyima raha, sijui ni psychological problem

  Wakuu msinicheke mficha uchi hazai Siku hizi nimepata sijui ni depression, sijui stress sijui ni anxiety au nini. Siku za nyuma nilipokuwa na mpenzi yeyote au wapenzi, basi nikimtafuta mpenzi through phone either text au call, hata hasipopokea basi nachukulia poa yaani don't Care, ajibu...
 3. Boeing787-8

  Namuona Trump akigombea 2024 na kushinda Urais wa Marekani

  Ukweli mchungu, mwaka 2015 hakuna ambaye angedhani kuwa Trump angepata nominee ya Republican, ata Obama alibeza kuwa Trump ata nominee hatapata, lakini sote tunajua kilichotokea. Mwaka 2016 Trump alipata kura 62m (popular votes) akashinda urais. Mwaka Jana alipata kura 74m (popular votes) so...
 4. Boeing787-8

  Possibility of getting pregnancy

  Morning, shortly nina swali. Kama mwanamke alianza period (bleed) tarehe 12 afu akafanya unprotected sex tarehe 29 mwezi huo huo anaweza kupata mimba? Karibu wakuu
 5. Boeing787-8

  Ulipokeaje na ulikuwa wapi siku ya tarehe 17 Machi, kifo cha Dkt. Magufuli

  Ile siku sitaisahau, nakumbuka since tarehe 06/03,ulizuka uzushi mkubwa uko jamuhuri ya Tweeter kuhusu afya ya Magufuli. Basi siku ya tarehe 17, nkatoka jobs, SAA nne usiku nkalala,. Wakati nimelala nilisikia simu inaita Ila kutokana na wenge la usingizi sikuipokea,, baada ya dakika 10...
 6. Boeing787-8

  Tuliopata ajira kimasihara tukutane hapa

  Basi bwana baada ya kumaliza chuo sina mia sina kitu, nkaenda kujibanza kwa sister maana alikuwa ameolewa na wamejenga. Ni vigumu kukaa kwa sister wako aliyendoani lakini sister wangu na mumewe tuliishi vizuri saaana. Basi nilimaliza chuo mwezi wa 7, Basi nkaanza application za kazi, nilkataa...
 7. Boeing787-8

  Ni kweli application letter zinasomwaga TAMISEMI?

  Wakuu, hope mko poa. Nimekuta mjadala wa vijina walikuwa wanamponda dogo mmoja, eti anajikunja kuandika application latter kali uku, wakimuambia kuwa Tamisemi hawajiangaishagi kusoma application letter za waombaji wa ajira za ualimu. Last year waombaji walikuwa karibia zaidi ya 100,000 (zaidi...
 8. Boeing787-8

  Naomba kufahamishwa kuhusu shirika la International Rescue Committee (IRC)

  Wakuu hope mko poa Naomba kujua hili shirika la international rescue committee (IRC) indeep, Lina-deal na kazi gani, na je wako fear kwenye kazi zao, Mwisho naomba kujua jinsi ya ku-create profile, nimejaribu naona ina ugumu Fulani. Sorry kwa badwritting, nimeazima smartphone
 9. Boeing787-8

  Sijui ni moyo au pressure, msaada wa haraka

  Wakuu napitia hali ngumu Sana. Mwezi wa 11, nilikuja nkapata shida moja, yaani iliniperekea kupata stress, anxiety na totally ubnomal. Sijakaa Sawa mwezi wa 12 nkafukuzwa kazi, aisee niliumia, nilikumbwa na stress sijawai pata, Mwezi wa kwanza nkaachwa na mpenzi wangu niliyempenda kwa dhati...
 10. Boeing787-8

  Je, Vidonda vya tumbo (Ulcers) inaweza sababisha tatizo la nguvu za kiume

  Wakuu hope mko poa. Me ni kijana wa kiume, Kuna situation naipitia hadi nakosa raha. Nilikuwa na wapenzi tofauti performance yangu kwa bed ilikuwa nzuri Sana, nilikuwa vizuri had katikati ya 2020. Baada ya hapo niliumwa Sana tumbo, kuja kupima nilikutwa na ulcers Kali, nkaacha kula Maharage...
 11. Boeing787-8

  Bihashara ya pedi

  Wakuu hope mko poa Nina wazo la kuanza bihashara ya pedi, naomba mnishauri ni pedi gani zinauzika saana. Kati ya HQ, freestyle, Always, softcare etc Mtaji ni laki8 Wanawake naomba mawazo yenu
 12. Boeing787-8

  She is beautiful, nimemkubali, Ila yupo na jamaa mmoja

  Hope mko poa Moja kwa moja kwenye mada. Kuna mdada mmoja ni mzuri kweli black beuty, bado mdogo tu ni early 20's. Nimetokea kukubali Sana uyo dada, nilipanga nimuendee. Badae nimegundua yupo kwenye mahusiano na chalii mmoja tena ni jirani yangu uyo chalii. Uyo dada anapitaga karibu na ofisi...
 13. Boeing787-8

  Ushawai kuachwa na mpenzi/mchumba kwa dharau kubwa, badae akajileta tena!

  Hope mko poa. Ilikuwa 2018 nilikuwa na kadada kanasoma Dodoma, nilikapenda kweli. Siku moja Sina hili Wala lile, kaliitumia sms ya kuniacha, eti hakanitaki tena ,kamepata mwanaume wa ndoto zake, nilijibu OK After 2 months mdada alikuja analia anabembeleza nimsamehe, Mara alikosea, ni tamaa...
 14. Boeing787-8

  Ni maduka gani wanauza kondomu kwa bei ya jumla

  Wakuu condoms za jumla kama bull, salama n.k za jumla ni maduka gani wanauza condoms za jumla.
 15. Boeing787-8

  Natafuta mfanyabiashara wa vipodoz vya jumla Arusha Mjini

  Hi wakuu, nimejiajiri nauza various products. Nilinunua duka ambalo aliyekuwepo alikuwa anauza na vipodozi, kwakua sio mwenyeji Sana Arusha mjini,natafuta mtu wa kuwa mteja wangu ambaye ntakuwa nanunua kwake. Kama Kuna mtu anauza vipodozi, Arusha mjini aje, tufanye bihashara
 16. Boeing787-8

  Nyama na samaki inaruhusiwa kwa wenye Ulcers

  Wakuu poleni na mihangaiko. Me niliumwaga ulcers yaani Niko kwenye dozi za hospitali Ila hali haijatengamaa. Naomba kuuliza kwa mtu mwenye ulcers anaruhusiwa kula nyama na samaki? Vipi kuusu dagaa na maharage meupe? Msaada please!
 17. Boeing787-8

  Nimshitaki wapi mwenye duka la dawa aliyeniuzia dawa iliyoisha muda wa matumizi miaka miwili iyopita kwa makusudi?

  Wakuu kuna watu ni mashetani saana. Nasumbuliwa na sikio kuziba hili tatizo linanisumbuaga tangia siku za nyuma. Basi naendaga Kairuki hospital na kuondolewa wax na sikio ujirudi. Wiki hii sikio limeziba kutokana na wax so nkaenda duka la dawa moja na ni duka kubwa. Nkaomba Boric acid(ear...
 18. Boeing787-8

  Sikio kuziba(nta,waxy)

  Wakuu pole na mihangaiko, nimekuwa nkisumbuliwa na sikio kuziba yaani kushindwa kusikia vizuri. Marakwamara nilikuwa naenda Kairuki hospital na kukutana na specialist, na walikuwa wananitibu kwa dakika tano tu, kuna kitu walikuwa wanaingiza yaani unatoka uchafu balaa(waxy) baada ya apo nakuwa...
 19. Boeing787-8

  Wasichana mkisaidiwa na mwanaume msilazimishe kuliwa

  Wakuu pole na shughuli za kila siku., siku moja niliingia facebook nkakuta Friend request kutoka kwa msichana mmoja, basi nka mu-accept. Baada ya muda mfupi mtoto akanitumia sms inbox nkamjibu akaendelea kunitumia sms nkawa namjibu, sasa ikabidi nimuulize yeye mbona kavile simfahamu, mtoto...
 20. Boeing787-8

  Vyuo vya computer Dar es salaam

  Wakuu pole na shughuri, jamani nina mdogo wangu kakosa nafasi ya afya alikuwa na PCB point 10 sasa amesema ataomba mwaka ujao, Sasa anataka kusoma computer, wakuu nisaidie vyuo vinavyofundisha computer kwa apa Dar ambavyo ni vizuri. Hasante
Top Bottom