Search results

 1. kson m

  Viwango vya mishahara kwa walimu: Ualimu ni mateso

  Upo sawa, isipokuwa ajira ya Kwanza unapanda baada ya miaka 4,na baada ya hapo unapaswa upande daraja Kila baada ya miaka 3.
 2. kson m

  Viwango vya mishahara kwa walimu: Ualimu ni mateso

  Mawazo ya kipiglet! Kinachoangalia ni pato halisi mtu analorudi nalo nyumbani . Wengine mishahara inaonekana midogo lakini nyuma ya pazia wamefungasha posho zisizo na idadi na hivyo mwisho wa siku mwalimu na hiyo inayoonekana mshahara mkubwa , inakuwa kama kaambulia machicha !!!
 3. kson m

  Walimu 10, 000 kuajiriwa kabla ya disemba, zoezi hilo kufanywa na tume ya utumishi wa walimu badala ya wizara

  Sio motisha tu.Haki zao zilipwe. Serikali imekalia madeni ya walimu miaka nenda rudi hailipi , sasa huo utayari wa walimu kufanya kwa bidii utatoka wapi?
 4. kson m

  Tanzania kuna kabila linaitwa Waarusha au ni Wamasai mmeamua kujiita hivyo?

  Waarusha ni wamasai waliotangulia kuvaa suruali. Ni hilo tu!!
 5. kson m

  Nani anachoma moto masoko na vibanda vya wafanyabiashara?

  Shoti ya umeme kwenye masoko.
 6. kson m

  Dkt. Kimei: Wachaga wanapenda magendo

  Magendo ya siasa au ???
 7. kson m

  Kuanzia Novemba Mosi Bajaji na Bodaboda marufuku kuingia Mjini

  Ni Kwa muda ... Upendo utaonekana tena 2025.muwe na uvumilivu. Mtaitwa wananchi, wazalendo, nk mmesikia ndugu zangu machinga,bodaboda na bajaji. Msiwe na wasiwasi 2025 ni karibu !!!
 8. kson m

  Dar: BodaBoda na Bajaj Ruksa kuingia Mjini-Paul Makonda

  Kuanzia tarehe 1.11.2021 ni marufuku bodaboda na bajaji kuingia mjini labda za walemavu..... Mbele Kwa mbele...!!!
 9. kson m

  Mzee kaniambia niende likizo akaniambie siri

  Kamsaidie kubeba vibuyu !!!!
 10. kson m

  Vodacom ni Wezi?

  Hivi Kuna mawaziri ???
 11. kson m

  Polisi mwanga watembeza kichapo kwa mfanyabiashara

  Kwani watumishi wengine wa umma wanamudu vipi maisha.????
 12. kson m

  Serikali iwe macho na matumizi ya fedha za Chama cha Walimu Tanzania (CWT)

  Hiki ni tawi la chama cha siasa na ni wanufaika wa michango inayokatwa Kwa wafanyakazi... Najaribu kuwaza !!
 13. kson m

  Police General Orders(PGO) ni nini, nitaipata wapi?

  Uzezeta ni tatizo kubwa !!!
 14. kson m

  Huyu aliyebandika mabango ya Imani Upendo Miujiza ya mkutano wa dini Dar, achukuliwe hatua

  Kama yule mtia Nia ya urahisi mwaka ule... Rais wa mawe na madaraja !!
Top Bottom