Search results

 1. ketete

  Leo nimeona mwenyewe usumbufu wa polisi wa usalama barabarani dhidi ya magari ya mizigo

  Yaani wasumbufu kama zote. Mimi baada ya kutowapa pesa wakaandika faini eti tairi mbovu hali zina mwezi. Nimewaambia silipi mpaka niwaone wakubwa zake ofisini
 2. ketete

  Morogoro: Muuguzi afariki baada ya kuchomwa kisu na Mgonjwa

  Unafikiri yeye anatakiwa kuwa salama zaidi kuliko sisi?? Vema awe anatajwa muhusika ili tuliohai tuwe na tafadhari naye
 3. ketete

  Morogoro: Muuguzi afariki baada ya kuchomwa kisu na Mgonjwa

  Jina la aliyechoma limehifadhiwa ila la aliyekufa latajwa . Sielewielewe utaratibu
 4. ketete

  Natafuta binti wa kuanzisha familia

  Ushafeli tena
 5. ketete

  Njooni Tuongee: Vifurushi vya Data kupanda mara mbili, ni nini tatizo?

  Ulifikiri hela za kampeni zinalipwa na nani????
 6. ketete

  Ipi kampuni nzuri ya kuagiza gari kutoka nje kati ya SBT na Befoward?

  Namaanisha agiza moja kwa moja bila ya kupitia wakala waliopo hapa tz
 7. ketete

  Ipi kampuni nzuri ya kuagiza gari kutoka nje kati ya SBT na Befoward?

  SBT hamna kitu hapa bongo Labda tumieni kule ng`ambo lakini hapa bongo utalia
 8. ketete

  Upotoshaji wa Kauli ya Rais Ukomeshwe. Wizara ya Afya Toeni ufafanuzi

  Tufahamishe ni muda gani unatakiwa halafu huyo ndugu alikaa muda gani?? Nini maana ya kusomeshwa,na je unaweza toa ufafanuzi ama utofauti kati ya elimu bure itolewa la kwanza mpaka form four na elimu inayotolewa chuo kikuu kwa mkopo???
 9. ketete

  Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

  Aliens alitengenezwa na nani
 10. ketete

  Kalemani/ Byabato anzeni na Meneja wa TANESCO mkoa wa Dar es Salaam

  Mmmmmmh si wataisha wote jamani.
 11. ketete

  Kuna shida yoyote nikichelewa kuripoti chuoni?

  Hujasema kwamba there's a problem. You're too general
 12. ketete

  Kuna shida yoyote nikichelewa kuripoti chuoni?

  Shida utaiona baada ya kuchelewa. Hivyo jitahidi uchelewe.
 13. ketete

  Bweni la shule ya Sekondari ya wasichana ya Uchira Islamic iliyoko wilaya ya Moshi lateketea kwa moto

  Kuna haja ya uchunguzi wa kina ufanywe ili kubaini wahusika zaidi maana kila mara ni shule za kiislamu. Kuna kama hujuma sasa
Top Bottom