Search results

 1. Ndigwa

  Nahitaji miche ya misandali

  Mahitaji kuanza kilimo cha miti hasa hii misandali, naomba msaada mahali pa kuipata.
 2. Ndigwa

  Which is the best courier internationally?

  Kwa wale wazoefu naomba msaada wenu, couriers ambao wako vizuri kusafirisha mizigo.
 3. Ndigwa

  Help: Autocad civil 3D learning

  Hi, The heading above is concerned. I need to learn AutoCAD Civil 3D from scratch, anyone know where I could attain to it please
 4. Ndigwa

  Natafuta nyumba ya kupanga mwanza

  Mwenye nayo tafadhali, gharama reasonable, na sehemu ya usalama. Ikiwa na uzio itakuwa vizuri.
 5. Ndigwa

  NACTE registration, help please

  Kila chuo ninacho'apply' wanataka AVN kutoka NACTE, nime'register' NACTE na kujaza information zote zinazotakiwa, nimekuja kukwama wakati wa kujaza Index No ya FTC ambayo ipo katika mfumo wa UXXX-XXXX, nimejaza kama ilivyo, nikienda next, inagoma with the following message: 'Error! Incorrect...
 6. Ndigwa

  Nahitaji miche ya mpingo

  Tafadhali mwenye miche ya mipingo nahitaji. Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 7. Ndigwa

  Msaada udahili mtandaoni

  Naomba kusaidiwa, nime'apply' udsm na ardhi university bachelor degree, nimeji'register', baada ya hapo kuna steps nne. Step 1: My Profile Step 2: Application Fee Step 3: Academic Qualification Step 4: Programme Choices, nimemaliza step ya kwanza na ya pili, step ya tatu nimejaza ninapotaka...
 8. Ndigwa

  Msaada manunuzi ya mtandaoni

  Naomba maoni yenu, nilikuwa naangalia gharama za kusafirisha mzigo wa kilo 40, cha kushangaza mzigo wenyewe haufikii hata hiyo bei ya kusafirisha, hakuna njia zingine za kusafirisha kwa gharama nafuu?. Gharama ni kama ifuatavyo: SHIPPING RATE CALCULATOR 1. Where is your package going?2. About...
 9. Ndigwa

  Burn your fat away

 10. Ndigwa

  That's good

 11. Ndigwa

  Indian macaroni food

 12. Ndigwa

  So beautiful

 13. Ndigwa

  Manyoka

 14. Ndigwa

  Kufanya default storage as memory card kwenye boom J8

  Tafadhali naomba msaada wenu, nimeenda kwenye setting lakini naona haisaidii. Kwenye setting nimefanya default storage as memory card lakini kila ninachofanya kwenye boom J8 kinajisevu kwenye phone, sijaelewa nini tatizo
 15. Ndigwa

  nahitaji program ya Master Serries

  namna gani naweza kuipata, tafadhali
 16. Ndigwa

  Wataalamu naomba mnisaidie kama kuna power bank au kitu chochote kwa ajili ya Laptop au TV

  kuna uwezekano wowote wa kupata kitu kama hicho, au mpaka generator?
 17. Ndigwa

  Nahitaji AutoCAD 2015 nikipata AutoCAD 2016 nitashukuru

  Mwenye nayo tafadhali, kati ya AutoCAD 2015 na AutoCAD 2016 tuwasiliane naihitaji sana
 18. Ndigwa

  Hope Channel inapatikana king'amuzi gani?

  Kichwa hapo juu chahusika, kwa anaejua tafadhali anijuze king'amuzi (decoder) kinachoonesha Hope Channel.
Top Bottom