Search results

 1. pmwasyoke

  Eti jirani zetu Rwanda wamo katika nchi 5 zinazoongoza kwa Kukosa furaha

  The World Hapinness Report imeitangaza Finland kama nchi inayoongoza kwa watu wake kuwa na furaha mwaka huu. Baadhi ya vigezo walivyotumia ni huduma za kijamii, uhuru binafsi, GDP na kiwango cha rushwa. Kwa mujibu wao nchi tano zinazoongoza kwa kukosa furaha ni Afghanistan, Lesotho, Botswana...
 2. pmwasyoke

  TANZIA Profesa Tolly Mbwette afariki dunia

  Aliyewahi kuwa Vice Chancellor wa Chuo kikuu Huria cha Tanzania Prof T Mbwette alifariki dunia jana jioni katika hospitali ya Aghakan. Prof Mbwette alikuwa mwanataaluma mahiri katika fani ya uhandisi. Kabla ya kuwa VC Open University alifundisha kwa miaka mingi UDSM. Wengine mtakumbuka viti...
 3. pmwasyoke

  Wastaafu - Kuongeza ubora wa maisha

  Naomba wastaafu na wastaafu watarajiwa tuutumie uzi huu kushauriana mambo kadhaa yahusuyo masilahi ya wazee kama: (a) Jinsi ya kupitisha muda - maana masaa 24 kwa siku ni mengi. Tatizo hili ni hasa kwa wale ambao shughuli walizojiandalia kujikimu zinajiendesha bila kuhitaji muda wao mwingi; (b)...
 4. pmwasyoke

  Malawi unhappy with TZ official

  The Sunday Times, Malawi. Monday, 04 March 2013 06:58 Gabriel Kamlomo MALAWI has expressed its displeasure that the executive secretary of the Forum for Former Heads of State, which is currently mediating the Lake Malawi border dispute with Tanzania, is a Tanzanian national. Foreign...
 5. pmwasyoke

  Mambo yawa magumu kwa Rais Joyce Banda wa Malawi

  Hivi sasa kuna mgomo wa wafanyakazi karibu wote wa serikali wa ngazi za kati na chini nchini Malawi. Wanaoendelea na kazi, ni madaktari na manesi tu ambao pia wanasema watajiunga na mgomo huo baada ya siku kadhaa iwapo madai ya wafanyakazi hayatekelezwi. Viwanja vya ndege vimefungwa, mipaka...
 6. pmwasyoke

  Pole PakaJimmy

  PakaJimmy kafiwa na baba mkwe na hivi sasa yuko safarini kuelekea Mbeya msibani. Kwa udau wake mkubwa hapa JF nimeona niwajulishe. Mungu ailaze pema roho ya baba mkwe.
 7. pmwasyoke

  Message za kijinga kutoka Airtel

  Jamani kutoka Jana hadi leo nimekwishapata message zaidi ya 20 za kijinga kutoka Airtel, na bado zinaendelea kuingia: mara kuhusiana na English premier league, mara call now for free to get todays offer ...., nk. Kibaya zaidi ni kwamba meseji zenyewe zinajirudiarudia. Inachosha ile mbaya...
 8. pmwasyoke

  Gesi nyingi tumboni, na kuipumua bila udhibiti

  Kuna kijana - wa umri wa A level hivi - ana tatizo la kiafya linalomkera sana na kumfanya hata kusoma darasani imnyanyase sana. Gesi nyingi hutengenezeka tumboni na mbaya zaidi inajitokea inavyotaka makalioni bila control. Wadau naomba yeyote mwenye ushauri kuhusu kushughulikia hali hii...
 9. pmwasyoke

  Factory Taster

  In an alcohol factory the regular taster died and the director started looking for a new one to hire. A drunkard with ragged, dirty look came to apply for the position. The director of the factory wondered how to send him away. They tested him. They gave him a glass with a drink. He tried it...
 10. pmwasyoke

  Gongolamboto: Fidia sh milioni 8.6 kwa aliyekufa!

  Wakuu, Kwa fidia ndogo hivi sio ajabu kwa serikali kutokuwa makini na usalama wa raia wake!
 11. pmwasyoke

  Prof Kamuzora afariki

  TBC wametangaza sasa hivi kwamba Prof Kamuzora wa chuo kikuu cha Dar es Salaam amefariki. RIP
 12. pmwasyoke

  Mama yake Prof Mbwette afariki

  Nafahamu wako wadau kadhaa wanaomfahamu Prof Mbwette, Mkuu wa chuo kikuu huria. Nasikitika kuwaarifu kuwa mama yake mzazi amefariki usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Agha Khan. Msiba upo kwa Prof Mbwette Kimara. Mungu aiweke pema peponi roho yake mama
 13. pmwasyoke

  Mgombea moja wa upinzani Uganda

  Vyama vya vyetu vya upinzani vingejifunza kutoka Uganda ambako vyama vyote vya upinzani vimechuana na kumpata mgombea wao wa pamoja wa nafasi ya urais. Hivyo mgombea wa chama tawala anapambana na mgombea mmoja anayeungwa na vyama vyote vya upinzani. Hii nimeipata kwenya taarifa ITV. Au mnaonaje...
 14. pmwasyoke

  Jee muda ni mali kwetu watanzania?

  Mwenzenu ninakwazwa sana na muda wa kuanza makusanyiko/shughuli mbalimbali hapa kwetu: Harusi/send off nyingi nilizohudhuria kadi za mialiko zinaonyesha kuanza tafrija saa 12.30 au saa 1 jioni, lakini maharusi/wahusika wataingia ukumbini saa 2.30 au saa 3 usiku. Vikao vya harusi au maendeleo...
Top Bottom