Search results

 1. IKIRIRI

  Sababu zinazowafanya Wanaume wengi wachelewe kurudi nyumbani

  1. Zamu ya kulea mtoto. 2. Makelele ya mama kwa watoto. 3. Kufokewa kwa binti wa kazi mda wote. 4. Kupekuliwa simu. 5. Kudaiwa pesa za matumizi mara kwa mara. Ongeza sababu zingine. Kama zipo
 2. IKIRIRI

  Ni kweli mziki wa Tanzania umeshuka?

  Kumekuwa na makelele mengi kuwa mziki wa Tanzania hauna mvuto tena umeshuka. Kelele hizi zinapigwa na wasanii wenyewe,djs na producers pia na raia wa kawaida. Wengi wanaotoa maoni hayo wanaamini mziki ulikuwa juu miaka ya 2000-2009. Hawazungumzii kabisa mziki wa 1960-1999. Hoja zao wanasema...
 3. IKIRIRI

  Kipindi cha E20 anachofanya B12 sioni kama kina nafasi katika dunia ya sasa

  B12 ni mtangazaji wa kipindi cha E20..content yake imebase katika kutoa orodha ya nyimbo 20 bora Tz. 1.kwanza wasanii kwa sasa hawana vibe na top 20 akili yao iko YouTube zaidi. 2.E20 haina uhalisia coz unawezaje kutoa list ya nyimbo bora halafu unaiacha nyimbo ya zuchu Sukari...hapa...
 4. IKIRIRI

  Dar es Salaam imekuwa Dampo la biashara

  Ndugu, Nina mda cijakanyaga Dar last week nilikuwa huko kwa mishe zangu kiukweli kinachoendelea kinasikitisha sana. 1. Barabara zimegeuka frame za maduka, mbaya zaidi wanafanya biashara mbele ya frame za watu. 2. Ni vurugu hakuna kwa kupita kila kona ya jiji ni uhuni unafanyika. 3...
 5. IKIRIRI

  Mtwara Mjini na Masasi hakuna cement tangu jana

  Mh Waziri Mkuu wewe ni jembe sana hakuna asiyejua nakumbuka siku umeapishwa ulitoa onyo kwa wafanyabiashara na ukiwaomba wakuu wa mikoa kukupa taarifa ya upatikanaji wa cement kila mkoa. Sasa hapa ninapoandika Mtwara Mjini, Masasi HAKUNA CEMENT hapa namaanisha hakuna hata ukitaka mfuko 1...
 6. IKIRIRI

  TANZIA Katibu Mtendaji wa BASATA, Godfrey Lebejo Mngereza afariki dunia

  Katibu Mtendaji BASATA bwana Godfrey Mungereza amefariki dunia leo. Katibu mkuu Wizara ya Habari, Tamaduni na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas amethibisha habari hii. Amefariki Dodoma alipokuwa anapatiwa matibabu. Pia taarifa zimethibitishwa na watu wake wa karibu. Bado...
 7. IKIRIRI

  Siku ya kufumaniwa ilikuwaje?

  Wajumbe tupeane uzoefu. Enzi hizo niko sec kabla sijafail fORM 2, ilikuwa namfukuzia shemeji yenu ambaye niko nae hadi leo. By the time mzee alikuwa anamiliki guest. Bwana bwana bwana, siku hiyo kaka yake katufumania room Na 5 sitasahau ile siku. Nashukuru nilipata msaada wa haraka mambo...
 8. IKIRIRI

  Kabla hujanuna mimi kuwa na mke wa pili jiulize baba yako mzazi aliweza kuishi na mke mmoja?

  Uwa nawashangaa sana wanawake ukizungumzia swala la kuoa mke wa2 inakuwa kesi nzito... wakati yeye amezaliwa na mke 2 au kimada wa baba ake enzi hizo... Kwa mwanaume aliyekamilika ni ngumu sna kama unabisha think about your dad...je mmezaliwa wote mama mmoja? Tafakar!
 9. IKIRIRI

  Nyie wanawake, sisi wanaume muda mwingine huwa hatujisikii kupiga 'show'

  Habari wadau, Hapa naongea na mama zetu hasa waliokuwa kwenye ndoa. Kuna wakati uwa sisi wanaume hatujisikii kufanya mapenzi. 1. Tunakuwa na mawazo na msongo wa maisha. 2. Style ile ile ya maisha, hakuna hamsha hamsha 3. Umri ukifikia miaka35+ lazima kutakuwa na mabadiliko msisimko...
 10. IKIRIRI

  Nina mashaka na mradi wa Julius Nyerere Hydropower Station

  Kiukweli napata shida sana kuelewa... 1.kwann tusiendeleze vyanzo vya umeme tunaotumia sasa hivi ? 2.Rais ajae tuna uhakika gan km ataendelea na mradi huu ? Unakumbuka mradi wa gesi mtwara tuliambiwa unamaliza shida ya umeme? Lakini Rais wa sasa ameanzisha mradi mpya kabisa na gesi ameachana...
 11. IKIRIRI

  Nunua godoro jipya, achana na lile uliloanza nalo maisha

  Mara yako ya mwisho kununua godoro lini? Hilo godoro unalolalia lina inch ngapi? Je, unafahamu mtu mzima anatakiwa kulala kwenye godoro la inch ngap? Unafahamu watu wengi wanaumwa kiuno na mgongo sababu magodoro wanayolalia yameisha muda wake? Sikia utafiti unaonesha watu wengi wanalala...
 12. IKIRIRI

  YouTube wanatumia kigezo gani kuifanya video iwe 1 trending?

  Wadau naomba ufafanuzi. Unakuta video ina 1300000 views iko no1 trending but pia kuna video ina 2M iko 2 trending ili linakuwaje wadau? Trending video Tz kwa sasa inafanana na mfano niliotoa.
 13. IKIRIRI

  Shareholders Wasafi media kuna siku Diamond Platnumz atawagharimu mjitafakari

  Mimi sio mfwatiliaji sana wa radio na tv,kwa mujibu wa tcra wasafi media kuna watu wanashare zao. Kosa kubwa wanafanya ni kumuacha Diamond Platnumz kama moja ya mmiliki ana chukua nafasi kubwa kuitwawala radio,tv na digital platform. Kama unafwatilia wasafi media utagundua viongozi wengi, kama...
 14. IKIRIRI

  Mkasa wa ajali ya bodaboda inavyomaliza vijana

  Jana nilikuwa nimeshuhudia boda wanapata ajali na kufariki papo hapo. Chanzo cha ajali ni mwendo kasi wa bodaboda 1 aliye overtake Semi...kwa speed kwenye zebra... Kumbe mbele kuna pikipiki inatokea upande wa pili...wakakutana centre.. Wakagongana USO kwa USO....wote wakajikuta uvunguni mwa...
 15. IKIRIRI

  Mzazi mpime mwanao mimba kabla hajaenda shule

  Wazazi wenzangu nawasihi sana shule zikifunguliwa jitahidi umpime mimba mwanao unaweza mpeleka hospital. Watoto wa siku hizi hawaaminiki hata kidogo, ni vema uchukue tahadhari mapema kabla ya hatari Ikitokea ana mimba ni rahisi kuchukua hatua kabla haijagundulika shuleni\ ====== UPDATE ======...
 16. IKIRIRI

  Nina Tsh. milioni16, nataka kununua Hiace nifanye biashara ya daladala

  Wadau kichwa cha habari kinajieleza. Naomba kujua wapi napata gari, faida na changamoto. Gari itakuwa mkoani =====
 17. IKIRIRI

  Le Commandant comrade Makonda yuko wapi?

  Nimezoea kila wiki lazima Mh. Mkuu wa mkoa wa Dar ataleta hoja nzito za kimaendeleo, lakini moana kimya au yuko likizo? Sent using Jamii Forums mobile app
 18. IKIRIRI

  Dudu Baya Serikali hawashindani nayo

  Imani yangu wapo wadau hapo wako karibu na Dudu Baya huko IG anatukana mno. Amepewa wito na basata ,anasema hatoenda kamwe,huku akitoa shit nyingi juu ya serikali na viongozi wa basata. Cha kushangaza anatoa sifa kwa magufuli huku anatoa shit kwa wateule wake. Sasa naomba waliokuwa karibu nae...
 19. IKIRIRI

  Kujenga nyumba ya ibada kwa fedha haramu hairuhusiwi

  Ila hapa lazima tuwe makini kidogo, inawezekana mtu akawa anauza pombe biashara haramu, lakini possibly akafanya biashara nyingine halali akaitumia kujenga nyumba ya ibada. Yote kwa yote katika hii dunia hakuna wa kumfunga paka kengele, binadamu wote ni wadhambi. Bora yule ambaye ni mdhambi...
 20. IKIRIRI

  Zitto Kabwe umeshindwa kumpokea Diamond?

  Wewe ndio Mbunge wa Kigoma Mjini, nashangaa msanii mkubwa vile anavuta umati kiasi kile wewe haupo kweli? Mbona project yako ya wasanii wa Kigoma ilipata support nzuri tu? Sent using Jamii Forums mobile app
Top Bottom