Search results

 1. seifutz

  Bila gharama hakuna mafanikio ya kweli

  Maisha ni gharama hakuna maisha kama utakwepa gharama. Chochote unachotaka kiwe lazima utumie gharama ndio kiwe. Gharama inaweza kuwa ya muda au mali lakini lazima utumie gharama kutimiza jambo unalotaka. Mara zote watu wanaokwepa gharama katika maisha yao huwa ni dumavu kimaendeleo. Hakuna...
 2. seifutz

  Njoo Uchukue Milioni Kesho

  Ikitokea Rais amesema vijana wote kesho tukutane nae pale Posta Dar es Salaam Atakuwa anagawa Tsh 1m ukafanyie chochote unachotaka, popote ulipo bila kujali unafanya nini bado nafasi ya kwenda utaipata. Huwezi kusema samahani naomba nije kuchukua keshokutwa, huwezi sema nitakuja jioni naomba...
 3. seifutz

  Njia 9 za kutangaza biashara yako bila pesa

  Matangazo ni swala muhimu kwa kila biashara. Tatizo linatokea pale ambapo biashara inashindwa kumudu gharama za matangazo, hasa matangazo ya gharama kubwa. Naamini wewe kama mjasiriamali unafahamu kuwa kuna wakati bajeti ya biashara inakuwa imebana. Hivyo swala la kujitangaza linakuwa na...
 4. seifutz

  Tafuta wa saizi yako...

  Mahusiano ni maisha, Katika Kipindi ambacho bado upo Duniani Huwezi kukwepa Kutafuta Mwenza, Sasa Usifanye Kosa la Kulazimisha mapenzi, Yatakula Furaha yako ,Yatakula Muda wako na yatakuondolea hadi Mood ya kupambana Kimaisha. Tafuta wa Saizi Yako. Wa Saizi Yako ki uchumi Wa saizi yako Ki...
 5. seifutz

  Kwanini Marais wa Kiafrika hawathaminiwi wakienda Nchi za Ulaya?

  Wao marais wa Africa ndio wanajipendekeza Ulaya
 6. seifutz

  Teksi zageuka kuwa shamba la mboga Thailand

  Baada ya msoto mrefu uliosababisha Madereva Taxi wa Thailand kukosa pesa kutokana na sheria kali za Nchi hiyo kudhibiti kusambaa kwa virusi vya corona na kukosekana kwa Wageni kwenye mji mkuu wa Bangkok, Madereva Taxi wameamua kuzigeuza gari zao kuwa 'mashamba madogo' ya kuotesha mboga juu yake...
 7. seifutz

  Mambo Muhimu Kama Unataka Kufanikiwa Biashara Mtandaoni

  Hizi hapa njia ili kufanikiwa kuanza biashara yoyote mtandaoni Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanafikiria kuanza biashara yoyote mtandaoni basi nakukaribisha kwenye makala hii, Kupitia makala hii nitakwambia mambo ambayo unatakiwa kujua kabla ya kuanza biashara hiyo ikiwa pamoja na njia za...
 8. seifutz

  Namna ya kumiliki Brand

  Kama unataka kuanzisha biashara, au umekwisha anzisha, basi hii mada inakuhusu. Na hata unataka kuajiriwa au unatafuta kazi bora zaidi uliyonayo, ni jambo la msingi kujua namna ya kuwa na Brand inayouzika. Maana ya Brand Branding ni namna ya kutengeneza HISIA chanya mbele za hadhira. Ni namna...
 9. seifutz

  Jifunze kumuacha aende

  • Kamwe usihisi kama ulimwengu ndio unakaribia mwisho pale akupendae anapokuacha. Muache aende! • Kujaribu kumlazimisha mtu akupende ni sawa na kujaribu kumlazimisha Nguruwe kutambua usafi na uzuri. Usimlazimishe akupende, mwache mwenyewe akupende, kama hakupendi... Muache aende! • Wewe ni wa...
 10. seifutz

  Ukiona mwanaume hakupi hela mpaka umuombe jua kuwa wewe huna thamani

  Ukiona mwanaume hakupi hela mpaka umuombe jua kuwa wewe huna thamani kwake, kwasababu mwanaume yoyote anapopenda sehemu neno sina hela huwa halipo kwake na hutoa hela bila kuombwa na mwanamke. Mwanaume humtoa thamani mwanamke muomba hela na humtafsiri kuwa sio mwanamke mwenye mapenzi ya kweli...
 11. seifutz

  Baadhi Ya Dhana Za Masikini kuhusu Pesa.

  • Fedha ni dhambi. • Watu wenye fedha ni wabinafsi. • Ukiwa tajiri hauwezi kumcha Mungu. • Hata uwe bilionea hauwezi kununua furaha • Kila mtu hawezi kufanikiwa kifedha kuna wachache tu wameandaliwa n.k
 12. seifutz

  Mbongo akikuita kwenye fursa ujue wewe ndio fursa

  Ukiona Mbongo anakuita kwenye Fursa Basi wewe ndio Fursa yenyewe.
 13. seifutz

  Bila gharama hakuna mafanikio

  Maisha ni gharama hakuna maisha kama utakwepa gharama. Chochote unachotaka kiwe lazima utumie gharama ndio kiwe. Gharama inaweza kuwa ya muda au mali lakini lazima utumie gharama kutimiza jambo unalotaka. Mara zote watu wanaokwepa gharama katika maisha yao huwa ni dumavu kimaendeleo. Hakuna...
 14. seifutz

  Utapeli unaofanya na Global Alliance

  Ndio waliomuita
 15. seifutz

  Utapeli unaofanya na Global Alliance

  Mm ni mwanaume. Na Dogo ni Mwanamke Alisema Kigoma kasulu
 16. seifutz

  Utapeli unaofanya na Global Alliance

  Hii ni Ishu ya kweli kabisa hadi Sasa bado sina cha Kufanya yaan.
 17. seifutz

  Utapeli unaofanya na Global Alliance

  Ni kuwa Makini tu kwa sasa watu wanazisaka kwa Nguvu sana
 18. seifutz

  Utapeli unaofanya na Global Alliance

  Yaan mm na ww tupo ndan wote Alafu mm nitoke nje Dakika 5, nirudi pale nikute begi limefunguliwa na www upo Hapo ndio kitu kilichotokea hakuwa na uwezo wa kufanya kitu sababu alikalibishwa
Top Bottom