Search results

 1. Danpol

  Ni kweli au hawa wasudani wanatupiga fix tu?

  Nimepita kwenye account yao nikakutana na hii habari, nikashtuka kidogo, ni zaidi ya nusu ya kikos hiki, inasadika kuna waliougua covid 19, wengine injuries na wengine ni kadi (wapo watatu) Lakini swali langu ni Je, hii idadi ya hawa watu ni sahihi? Naishauri Simba sc isije bweteka na hili...
 2. Danpol

  Kwanini tunashikilia mambo ya mkoloni hadi leo hii?

  Wakuu Nimewasikiliza viongozi wa Chadema waliokua gerezani , Peter Msigwa (Mbunge), John Heche (Mbunge pia) , nimesikia madai yao kuhusu kudhalilishwa kwa kuvuliwa nguo zote na kubaki utupu (uchi) , kisha kupewa ndoo za chuma wajisaidie haja kubwa kwa lazima , haijalishi una mzigo au huna ila...
 3. Danpol

  Kiwanja cha kununua kinatakiwa

  Hawajaona sijui
 4. Danpol

  Je, Kamishna wa operation na mafunzo wa jeshi la polisi hayajui haya?

  Václav Havel, Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Czech, katika kitabu chake cha mwaka 1979, "THE POWER OF THE POWERLESS" anasema _*"hakuna jambo lolote ambalo [mpinzani] anaweza kutoa isipokuwa uhai wake—na anautoa kwa sababu hakuna njia nyingine yoyote ya kuonesha msimamo wake kuhusu mambo...
 5. Danpol

  Toner cartridge service

  Toner cartridge Refills is your best solution to less-expensive laser toner cartridge costs. Our toner refills are revolutionary and easy to use. Enjoy high quality toner refills with us. What's more, you will enjoy at least 95% to 100% same quality and print longevity as your original...
 6. Danpol

  Wanasheria ufafanuzi wenu hapa

  Sheria inasemaje kuhusu hili Umempa mimba mwanafunzi wa secondary (umri wake ni miaka 23) Sheria inasemaje kuhusu hapa?? Kuna miaka 30??? au kwakua umri ushavuka hamna tatizo??
 7. Danpol

  Car4Sale PASSO INAUZWA/ BADILISHA KWA GARI NYINGNE

  Toyota Passo (DCU) Year 2005 Cc 990 Gari haidaiwi vibali Price.6.m Tunaweza badilishana kwa moja wapo ya magari haya Vitz Old Fun Cargo Raum Old au Gari ndogo ya Kijanja #B au #C iliyonyooka WhatsApp or Call 0622070789
 8. Danpol

  Natafuta Runx kwa anayeuza aniuzie

  Habari za mida wakuu, Nahitaji hiyo gari Nina 6.5 mil cash WhatsApp/call 0622070789
 9. Danpol

  PREMIO 2010 INAHITAJIKA

  Wadau, ni matumain yangu weekend yako iko njema Natafuta hiyo gari Iwe kuanzia namba C au D WhatsApp /call 0622070789
 10. Danpol

  Passo piston 3 inahitajika haraka

  wakuu, kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, nahitaji hiyo gari, kwa mwenye nayo Namba D WhatsApp/call 0622070789
 11. Danpol

  Nahitaji mojawapo ya hizi gari

  Vits new model Toyota alex/Runx IST Price isizid 6.5 mil WhatsApp/call 0622070789
 12. Danpol

  Nahitaji piki piki (boxer) used

  Wakuu habari za mida Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, nahitaj piki piki (boxer) iwe kwenye hali nzuri ...bei=maelewano Mwenye nayo WhatsApp/call 0622070789 au dondoka hapa chini
 13. Danpol

  Car4Sale Iko sokoni, inauzwa

  Mil 6.8 Kwa maelezo zaid whatsap or call 0622070789
 14. Danpol

  Car4Sale GARI ZINAUZWA

  Wakuu, habari za mida Kuna mashine hizi hapa ziko sokon Bei yake ni 39,000 USD----24,000 USD na maelewano yapo Magari yapo ktk standard nzuri piga simu WhatsApp /piga 0622070789
 15. Danpol

  Msaada: Ni jinsi gani naweza trace/track namba ya mtu

  wakuu habari zenu Ni jinsi gani naweza trace/track namba ya mtu na kutambua sehem mtu/mmiliki wa namba husika alipo/alipo kuwepo (kama atakua hayupo hewani) , either kwa kutumia app au njia yeyote ile Msaada tutani
 16. Danpol

  Plot4Sale Mashamba yanauzwa

  Mashamba yanauzwa, yapo maeneo mawili tofaut Shamba la kwanza, lipo Mlandizi Makazi mapya, ukubwa wa heka tano, shamba lina miundo mbinu ya maji, kila baada ya mita 50 kuna bomba la maji, chanzo cha maji ni kisima cha kuchibwa kina urefu wa mita 100, Kila heka moja inauzwa kwa shiling...
 17. Danpol

  Natafuta Dalali au Soko la Mchele la jumla

  Habari za muda huu wakuu, kama heading inavyo jieleza, nina shida hiyo, kama ni wewe, unamjua, Karibu PM tuyajenge (Mchele unatoka kahama/igunga)
 18. Danpol

  MSAADA TUTANI

  Ninashida na mkaazi wa Katavi/Kigoma au Bukoba, sana sana Katavi.. au kama wajua mtu anaeishi maeneo hayo waweza nisaidia pia, msaada tutani
 19. Danpol

  Maharage ya 'Njano' yanahitajiki

  Habari zenu wakuu, kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu Mwenye nayo/kujua yalipo kwa sasa /yanako patikana tafadhali sogea PM tufanye biashara NB: Nilipewa taarifa ya kwamba naweza pata mzigo Ludewa au Kigoma sema uswahili umekua mwingi mno
Top Bottom