Search results

 1. Kasheshe

  Bungeni Dodoma: Shughuli ya kuaga mwili wa aliyekuwa mbunge wa CHADEMA mwalimu Kasuku Samson Bilago

  Ila Bunge limesema muda wote lilikuwa na Familia... jamani hata chama huwa kinafuata maelekezo ya familia at the end of the day.
 2. Kasheshe

  Bungeni Dodoma: Shughuli ya kuaga mwili wa aliyekuwa mbunge wa CHADEMA mwalimu Kasuku Samson Bilago

  Ndugu kipindi cha maswali na majibu kiko live siku zote mkuu... sio wakati wa siasa hata hivyo watu wameondokewa na mpendwa wao.
 3. Kasheshe

  BOEING wajitokeza na kutoa ufafanuzi wa uundwaji wa ndege mpya ya ATCL

  Hivi huyo Zitto anafahamu issue ya ndege tu kupata ajali... haya mashirika lazima tena yafanye uchunguzi... Ndege sio GUTA
 4. Kasheshe

  Askofu Pengo: Sikufahamu kuhusu waraka wa Kwaresma wa Baraza la Maaskofu Katoliki. Awaasa wasichanganye dini na siasa

  Sina tatizo na msimamo wake, maana ndio maana waliosema tusichanganye dini na siasa, maana hakuna uwezekano dhehebu lolote lile Tanzania kuwa na watu wa upande mmoja. wenye maoni sawa, ndio maana dini zikaambiwa zijikite na mambo ya imani. Shida yangu: Maaskofu mlioandika kama kweli mumeandika...
 5. Kasheshe

  Tanzania hakuna pesa ndiyo maana tunazunguka kukopa mpaka Barclays? Aibu nyingine hii kwa CCM na watu wake

  Kama ukienda kwy benki zetu hutaona akina Bakhresa na MO. ndio wakopaji wakubwa basi ujue benki zimedanganya... Wandugu Serikali ya America na ya Japan zimekopa ambapo ulinganisho na GDP yao ni zaidi ya 100% Backeys au Standard bank zikikukopesha maana yake zinaamini uko vizuri... Bank yoyote...
 6. Kasheshe

  Ninaikumbuka ile CCM ambayo ukivaa sare zake unazomewa mitaani

  Mnakumbuka yule mwanaCCM aliyesajiliwa ati kwa sababu mtaalamu wa kuiba kura? Nyani Ngabu MsemajiUkweli
 7. Kasheshe

  Kabla ya kuwalaumu Majaji soma (Judges Remuneration and Terminal Benefits Act)

  Ila sheria hawakupitisha majaji ni wabunge... katika ku-neutralize posho ya vikao.
 8. Kasheshe

  The SGR War: MagufuliKagame vs MuseveniKenyatta ni Vita Kubwa!. Who Will Win, Loose or Its Win Win Situation?.

  Ndugu Pascal Mayalla Umetumia kufika mapema kama moja ya success factor... mimi sikubaliani na wewe.... Reli ya Tanzania itaishia kushinda kwa sababu gani? 1. Rwanda na Burundi zita-depend 100% on TZ route, sio kweli kwamba Kampala na Kigali ni Karibu... taking into consideration ya route...
 9. Kasheshe

  Katika safari yangu, nilichokiona maeneo ya Pwani kinasikitisha

  Nadhani Biashara ya Mkaa kuruhusiwa ndio inaharibu hawa vijana.
 10. Kasheshe

  Uchambuzi: Nauona mwanzo wa mwisho wa CCM 'B'

  Kuwa tayari kutupiwa mawe sasa... na ndugu wa mtaa wa Uxxpa
 11. Kasheshe

  Adui wa TTCL ni Issa Omari aliyekuwa Mkurugenzi wa Kwanza CELTEL

  Kuna wakati na sisi tuwe wakweli... tumepigwa kwy hili na kwa namna yoyote hatuwezi kupata kitu... simply tuwe tunakubali tukiingizwa chaka.
 12. Kasheshe

  Sakata la Airtel: Mkapa, Mwandosya, Warioba na Chenge wataponaje?

  Exactly... let's go for objective.
 13. Kasheshe

  Sakata la Airtel: Mkapa, Mwandosya, Warioba na Chenge wataponaje?

  Yes, this is by constitution of the land ...
 14. Kasheshe

  Sheria ya Uchaguzi Ni Bad Law! Kuendelea Kuitumia ni Ujinga? Kuwabebesha Masikini Gharama za Uchaguzi ni Dhambi!

  Heshima kwako Pascal Mayalla hoja zako nzuri sana... lakini zina ukakasi... nitasema kwa nini? Umetumia neno "ujinga" mara nyingi. Naomba nikwambie watu walioandika sheria katiba miaka 33 iliyopita nikimaanisha kutoka 1984; hawakuwa na information kama ulizo nazo wewe leo. Indeed hata hoja...
 15. Kasheshe

  Zitto Kabwe: Muswada mpya wa Pensheni una matatizo makubwa

  Mh. Zitto Ni mtu wa Airtime; mswada umeandikwa na wataalamu ambao ni future retiree, hawawezi kuandika vitu vya kuwamaliza wao... Tatizo ni kwamba hasubiri kuzungumzia bungeni kwa sababu hoja zake zote zitayeyushwa... anajua akiongelea nje atapata heshima kubwa sana... kwa sababu kuna watu...
 16. Kasheshe

  Lowassa: Nitamtoa Babu Seya gerezani

  Naomba kuuliza wanaosema Rais atoe msamaha wa masheikh... kwani Masheik ni wafungwa au bado wana kesi... Mnataka aingilie mambo ya mahakama?
 17. Kasheshe

  Simon Rwamugila(Omutwale): Nyerere alipewa u-Head Prefect akatuchanganya akili Tabora Boys

  Kwa hiyo Julius K. Nyerere naye alikuwa na figusu ... kwani alipitisha huyo mdada na huyo jamaa mhindi ki-magumashi?
Top Bottom