Search results

 1. Mzalendo39

  Kudharauliana katika Imani (Imani za Kishirikina)

  Watanzania wengi wanasahau walipotokea na kuziita Imani zao za kale kuwa za kishirikina. Katika historia Dini tunazoabudu hivi sasa zilikuja kwa meli (Wazungu) na kabla ya hapo tulikuwa na imani zetu zilizotuongoza kabla ya Wazungu na Waarabu. Imani zetu hazina tofauti na lugha zetu za asili...
 2. Mzalendo39

  #COVID19 Covid-19: Serikali iache kucheza na akili za Watanzania

  Hivi karibuni Serikali ya awamu ya sita imetangaza kuwepo kwa mlipuko wa Corona na kuuarifu umma kuchukua taahadhari ya kujikinga na ugonjwa. Kinachoshangaza serikari hiyo hiyo inayotangaza kuchukua tahadhari dhidi ya Corona ndiyo inayoongoza kuvunja Taratibu za kujikinga na Corona kwa kuruhusu...
 3. Mzalendo39

  Serikali iondoe ulazima kwenye bima za magari, itilie mkazo bima inayojali afya ya mtu

  Ni mwaka wangu wa tano nimekuwa nikikata bima kwa ajili ya gari yangu na kwa kipindi chote hicho sijawahi kupata ajali ya aina yoyote, Zaidi ya kuyanufaisha makampuni ya bima. Bima yenyewe haitumiki hata kughalimia service ya gari. Kinachonishangaza ni kwanini Serikali iweke ulazima wa bima...
 4. Mzalendo39

  Msaada abiria anayetokea Mwanza kuja Dar kwa Ndege usiku huu

  Habar za muda huu Kama kichwa cha Habar kinavyojieleza nimekwama kusafirisha mzigo wangu kutoka Mwanza kuja Dar es salaam ningependa kuchukua nafasi hii kumuomba abiria yoyote anayetokea Mwanza kuja Dar es salaam kwa ndege kunisadia mzigo huo ili ufike leo Dar es salaam Mawasiliano...
 5. Mzalendo39

  Tofauti ipo kubwa sana kati ya Diamond na Ali kiba

  Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu kupitia nyimbo za wasanii hao zilizotoka hivi karibuni zimeonyesha utofauti wa uwezo na kukubalika uliopo kati ya wasanii hawa wawili Ali kiba ametoa wimbo akishirikiana Ommy dempoz na cheed ambao hivi sasa unatakribani wiki moja ukiwa katika mtandao wa u...
 6. Mzalendo39

  Rudini Nyumbani kumenoga TTCL 5000 unapata GB 8 kwa wiki

  Hongereni sana Ttcl hata sisi tunaotumia smart phone kwa kutujali na kutuletea vifurushi vinavyoendana na uchumi wa Wananchi Hicho kifurushi cha wiki na siku
 7. Mzalendo39

  Mwaliko wa harambee ujenzi wa madarasa wilaya ya Rorya(Suba) ukumbi wa Karimjee DSM

  MWALIKO WA HARAMBEE UJENZI WA MADARASA SHULE ZA SEKONDARI TARAFA YA SUBA JUMAPILI TAR. 07.04.2019 SAA 8:00 MCHANA UKUMBI MKUBWA WA KARIMJEE DSM. UMOJA WA MAENDELEO WA WANANCHI KUTOKA TARAFA YA SUBA KWA KUSHIRIKIANA NA HALMASHAURI YA WILAYA YA RORYA UNAPENDA KUWAALIKA WANANCHI WOTE KUTOKA TARAFA...
 8. Mzalendo39

  Wa Mikoani kuhusu bia kupungua bei Taifa Star ikishinda

  Habarini wadau Mkuu wa Dar es Salaam Mh Paul Makonda alitamka bei kupungua bei kuuzwa nusu ya bei ya awali. Ikumbukwe timu ya Taifa inaliwakilisha Taifa kwa ujumla na si Mkoa wa Dar es Salaam. Mkoa wa Dar es Salaam umeonyeshwa kupendelewa kwa kupewa promotion ya kushekerekea ushindi. Nauona kama...
 9. Mzalendo39

  Mwizi uliyeiba i phone jua unaonekana mpaka kwako picha inajieleza

  Majira ya saa 10 jioni mjomba wangu akiwa ndani daradara maeneo ya mbezi beach aliibiwa simu aina ya Iphone .... lakini baada ya kuifuatilia kupitia find my i phone simu inaonyesha mpaka chumba ilipo. My friend ni wakati wa wezi kuacha vitendo vya wizi kulingana na technolojia kukua unaweza...
 10. Mzalendo39

  Natafuta Nyumba ya kupanga mtwara mjini

  Kama inavyojieleza hapo natafuta nyumba ya kupanga Mtwara mjini 1. Iwe na hali nzuri pamoja fence 2. Iwe vyumba viwili,Jiko kimoja Kiwe master 4. Nyumba Isiwe uswahilini Contact 0753476428
 11. Mzalendo39

  Tetesi: Utafaiti sehemu ya watu wenye vinywa vyeusi ni wavutaji wa sigara na bangi au wamepitia katika sehemu hizo mbili

  Habarini wadau Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kwa utafiti nilioufanya ndani ya takribani miaka kumi kwenye maeneo tofauti tofauti niliyopita, kutembelea na baadhi vya sehemu ya watu wa aina hiyo kufanya nao kazi. Asilimia 98 ya watu niliokutana nao wanasifa nilizozieleza kwenye...
 12. Mzalendo39

  Elimu kuhusu kilimo cha ufuta msimu umekaribia

  KILIMO BORA CHA UFUTA : Ufuta (sesamum indicum)ni zao linalolimwa kwa wingi katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma, Pwani, Morogoro, Dodoma, Tanga na ukanda wa chini katika mikoa ya Rukwa na Mbeya. Zao hili hulimwa kwa ajili ya chakula na biashara. Mbegu za zao hili huwa na wastani wa mafuta...
 13. Mzalendo39

  Biashara United (Mara) | Special Thread

  Kama mdau wa michezo na mshabiki wa mpira wa miguu na Mwenyeji wa Mkoa wa Mara nachukua nafasi hii ya kuwaunganisha mashibiki wote wa Biashara united ( Mara) ambayo ni timu yetu pekee inayoiwakilisha Mkoa Mara. Pia nachukua nafasi hii kuipongeza timu yetu kwa kuanza na ushindi wa kuifunga...
 14. Mzalendo39

  Toyota IST Inahitajika iwe no D au C

  Habar wana jamvi nahitaji Gari aina Toyota IST bajeti Yangu Ni milioni 6 Gari iwe na hali nzuri kama unAyo ni Pm kwa mawasiliano zaidi mimi nipo Dar es salaam....
 15. Mzalendo39

  Mpango uliopo wa 'Siri’ CCM na CHADEMA kuungana kabla 2020

  Habar za humu wana jamii forum Katika pita pita zangu huko mtaani nilikuta na mnyetishaji wangu na kunieleza kuna mpango siri unaswukwa ili kuviungana vyama viwili CCM na CHADEMA. Mpango huo ambao unaratibiwa na chama tawala(CCM) ambacho tayari kimeandaa makada wake watiifu ambao kati Yao...
 16. Mzalendo39

  Naomba ufafanuzi kwenda diploma kunahitaji GPA ya ngapi?

  Habar wana jukwaa nina miaka miwili tangu nimalize Certifacate Chuo cha magogoni na nilikuwa na Gpa 2.5....Mwaka huu niliomba kuendelea na Chuo kwa ngazi ya Diploma katika chuo cha Ustawi wa jamii kijitonyama lakini kwa bahati mbaya katika selection zilizotoka nimeachwa Nahitaji kujua kama...
 17. Mzalendo39

  Njia ya kuepuka kansa kwa mwanamke

  Muda mchache ujao wanawake watakua wakiwalipa wanaume ili wanyonywe matiti. Kutokana na report ya mtandao wa BBC madaktari wanasema wanawake wanapunguza uwezekano wa kupata kansa ya matiti kwa kunyonywa sana matiti yao na kwa nguvu. Kunyonywa Matiti kunapunguza hatari ambayo hutengeneza uvimbe...
 18. Mzalendo39

  Waliofukuzwa kwa vyeti feki walikuwa watoto wa masikini au tajiri?

  habar za muda huu wana jamii forum kama inavyojieleza hapo katika pita pita zangu mitaa fulani nikakutana na makundi mAwili yakibishana kuhusu wafanyakazi wa serikali waliokuwa na vyeti feki ni kundi limeathirika kati ya tajiri masikini lakini katika mabishano kundi kubwa lilionekana...
 19. Mzalendo39

  ushauri: ligi kuu bara na zanzibar ziunganishwe iwe moja

  habar za muda huu wana jamii forum kutokana na zanzibar kufuriwa uwakilishi katika caf ni vyema kukawepo na ligi moja Tanzania tofauti na hivi sasa ambapo kunachezwa ligi mbili katika nchi moja naomba shirika la mpira Tanzania (TFF) kuliangalia na kulishughulikia ambayo ni pamoja na kuongeza...
 20. Mzalendo39

  Timu ya Samatta kukutana na Everton jioni hìi

  Mtanzania mbwana samatta anategemea kuongoza mashambulizi katika club yake ya genk dhidi ya everton tutagemea makubwa kutoka kwa samatta kwani kwa sasa ndiye mshambuliaji tegemeo la timu ya inayoshiriki ligi kuu ubelgiji samatta Vs rooney Sent using Jamii Forums mobile app
Top Bottom