Search results

 1. fourtypercent

  Tujue kutofautisha maana halisi ya neno Mungu na mungu

  Habari, Nimekuwa nikiona post, comment hapa Jf na wakati mwingine Sms nikitumiwa na watu mbalimbali nimegundua kuwa watu hawajui kutofautisha maana ya neno Mungu au MUNGU au Bwana au BWANA na mungu au bwana. Haya maneno mawili yana maana mbili tofauti 1. Mungu au MUNGU- lina maanisha Mungu...
 2. fourtypercent

  Hii kitu imepanda bei!!, du ila tamu sana loh!

  hawa kitu enzi za Ben walikuwa bukubuku tu ila Jk ndo hivyo tena, niliwaulizia kivuko cha kamanga nikaambiwa yule mkubwa buku 8 da haina jinsi tukubali matokeo
 3. fourtypercent

  Mbona watokwa machozi?

  Mlokole mmoja kaenda ugenini, kutokana na safari kuwa ndefu kafika kachoka halafu njaa imembana balaa, wenyeji kama kawaida wakamkaribisha kwa viazi bahati mbaya bado vya moto. mlokole kutokana na njaa akabugia kumbe cha moto!, kukitema akaona aibu hivyo ikabidi akimeze harakaharaka, mara...
 4. fourtypercent

  Kuachana na mke wa ndoa (christian) ni kweli biblia imezuia?

  Kwa muelewa wa maandiko matakatifu(biblia) anijuze, je, ni kweli biblia imezuia waliofunga ndoa kanisani wasiachane?, kama inawezekana anipe na reference za maandiko. ahsanteni.....
 5. fourtypercent

  Msaada: Nawezaje kupata bible ya kiswahili softcopy

  Wadau kwa anaye fahamu anijuze link ambayo naweza kupata bible ya kiswahili. nawsilisha
 6. fourtypercent

  House girl/ house boy inalipa kweli?

  Jamani wanandugu, kitu hiki kimekuwa kikinipa shida sana mimi, unakuta mtu ndugu yake au rafiki yake labda amemaliza la saba au form 4 ya 'Mulugo', katika kutaka kumsaidia anamtafutia kazi hii, je unapomtafutia kazi hii unaamini atatoka kweli? maana kwa uzefu wangu watu hawa wamekuwa wanaambulia...
Top Bottom