Search results

 1. RTI

  Rais Donald Trump aliwauliza washauri wake wa usalama iwapo aishambulie Iran kijeshi

  Rais Donald Trump aliwauliza washauri wake iwapo atoe amri ya kushambuliwa kwa vinu vya nyukilia vya Iran akiwa amebakiza miezi 2 aondoke madarakani. Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa jarida la New York Times. Hata hivyo washauri wake wa usalama walimuonya kutofanya hivyo kwa sababu hatua hiyo...
 2. RTI

  Vikwazo vya silaha dhidi ya Iran vyafikia tamati leo

  Vikwavo vya kuuza na kununua silaha vya UN dhidi ya Iran vilivyo dumu kwa muongo mmoja vimemalizika hii leo. Hatua ya kufika tamati kwa vikwazo hivyo kutaiwezesha Iran kununua na kuuza silaha zake. Hata hivyo licha ya vikwazo vya silaa taifa hilo limekuwa likiimarika kijeshi kila kukicha na...
 3. RTI

  Umasikini wa Afrika kwa kiasi kikubwa unasababishwa na sisi raia na si Wanasiasa

  Kama kichwa cha habari kinavyo sema kwakweli waafirika hasa vijana tuna takiwa kujitafakari tena kwa kina. Kila siku tumekuwa na mtindo wa kuwalaumu wana siasa kwa umasikini wa nchi zetu ,lakini tatizo lipo kwetu hasa hasa kwenye fikira zetu. Ukitaka kuamini hilo fuatiria kampeini zinazo...
 4. RTI

  Msaada: Tatizo la fangasi za mdomoni

  Kuna rafiki yangu ana tatizo la fangasi za mdomoni miaka miwili sasa amejaribu kutumia dawa za madukani lakini haziishi. Ameshatumia dozi zaidi ya nne lakini wapi. WanaJF tusaidiane labda kuna njia nyingine za asili za kukabiliana na tatizo hilo? Maana linamsumbua sana.
 5. RTI

  Ni mafuta gani mazuri yanafaa kwa ngozi kavu?

  Ni mafuta gani yanayo faa kwa mtu nwenye ngozi isiyo kuwa na mafuta yaani ngozi kavu?
 6. RTI

  Iran plane crash: Britain condemns Tehran's arrest of UK ambassador

  Huwezi amini kwa mujibu wa BBC Iran imemtupa nyuma ya nondo balozi wa Uingereza nchini humo kwa kuchoche maandamano nje ya chuo kikuu, wakati kwa sheria za kimataifa balozi huyo ana kinga ya kidplomasia. Hawa jamaa linapokuja suala lá kulinda serikali yao hawaangalii mtu usoni aisee. ======...
 7. RTI

  Kudunguliwa kwa ndege ya Ukraine kumenifanya niwaone wanasiasa ni watu wa hovyo kabisa

  Kwanza kama kichwa cha habari kinavyosema; kutunguliwa kwa hiyo ndege kumenifanya kuwachukia wanasiasa waliojaa upuuzi. Mara ya kwanza nilikuwa natetea kudunguliwa kwa ndege hiyo nikidhani ni kwa bahati mbaya. Lakini baada ya kusoma habari kwenye mtandao wa shirika la habari la ujerumani la DW...
 8. RTI

  Trump ameshaanza kutoa vitisho na mikwara kwa Iraq baada ya kufukuzwa nchini humo

  Akili za Trump anazijua mwenyewe baada ya Iraq kuiamuru Marekani kuwaondoa wanajeshi wa Marekani nchini humo kutokana na Marekani kukiuka makubaliano ya uwepo wa wanajeshi hao. Trump hakuchelewa kujibu kwa vitisho kama kawaida yake amesema Iraq ikitaka Marekani iondoke bila kinyongo basi nchini...
 9. RTI

  Hivi hii tabia ya mataifa yenye nguvu kupigania kwenye mataifa mengine na kuya haribu wakati kwao kukiwa salama ita isha lini jamani?

  Kama kichwa cha habari kinavyo sema,imekuwa ni desturi kwa mataifa yenye nguvu kuyatumia mataifa dhaifu kuoneshana umwamba hivyo kuyaharibu mataifa husika na kuwahangaisha raia wake. Mfano mzuri ni kinacho endelea ndani ya ardhi ya Iraq kati ya Iran na marekani, baada ya kupigania nchini sirya...
 10. RTI

  Nimeamini mapenzi yana nguvu sana

  Wana jf wenzangu mm ni kijana wa miaka 24 kwakweli mapenzi yanani sumbua sana na yameniweka njia panda. Kuna denti mmoja mwaka kesho anaingia kidato cha 3 nimetokea kumpenda sana. Huyu denti familia yao kwa kiasi fulani ni masikini, kwa hiyo huwa anatembeza vitumbua kwenye ndoo mitaani...
 11. RTI

  Ninasumbuliwa na chunusi usoni

  Mimi ni kijana wa miaka 23, kwa miezi kama 7 hivi nimekuwa nikishambuliwa na chunusi na upele usoni. Upele wenyewe ni mkubwa na nikiuminya yanatoa usaha. Nimejaribu kutumia sabuni na mafuta aina mbalimbali lakini yamekuwa yakipona alafu yajirudia tena. Wadau ninaomba msaada ninawezaje...
 12. RTI

  Siku mabeberu wakichoka kumvumilia kiongozi wa malaika ndiyo mtajua dunia ina wenyewe

  Siku hizi kumezuka tabia ya wafuasi wa kiongozi mtarajiwa wa malaika kuwatuhumu watu wanao mkosoa kiongozi huyo ya kwamba wanatumwa na mabeberu kumhujumu. Mimi huwa ninacheka sana kuona mfuasi wa kiongozi huyo wa malaika anasema kwa kujiamini eti mabeberu hawaitakii mema nchi yetu. Hivi ngoja...
 13. RTI

  Viongozi wa kiafrika wanatumia njia za kibeberu kuwatawala raia wao

  Nisipoteze muda niende moja kwa moja kwenye mada, hakika viongozi wengi wa kiafrica wanashangaza sana hasa linapo kuja suala la kipinga ubeberu. Kiongozi wa kiafrica anasimama kupinga mabeburu, kutumia nguvu walizonazo kuzinyanyasa nchi changa na zisizo na nguvu, lakini wakati huo yeye anatumia...
 14. RTI

  Watanzania tunaonesha upendo wa kinafiki lakini hali ni tofauti mioyoni mwa watu.

  Kama kichwa cha habari kinavyo sema hapo juu,Wtz tumekuwa tukijifanya tuna pendana na hatuchukiani ,lakini ukifanya utafiti una gundua hali ni tofauti. Mfano ni humu jf sasa hivi limekuwa ni jambo la kawaida kwa watu kukejeri dini za watu mtandaoni, wengine pasipo na aibu kabisa ,wakati huo...
 15. RTI

  Trump: Iran ndio aliye ishambulia Saudia ila sitaki vita na Iran

  Rais wa marekani Dornad Trump amesema, tiyari wamesha tambua ni nani aliye husika na shambulizi kwenye mtambo ya kuzalisha mafuta ya Saudia arabia, na si mwingine bali ni Iran lakini pamoja na hilo hataki kabisa vita na Iran. Akiongea leo usiku katika ikulu ya marekani amesema na hapa namnukuu...
 16. RTI

  Kwa akili hizi waafrika tuna safari ndefu sana

  Kama kichwa cha habari kinavyo sema, waafrica iwapo hatutacha upumbavu wa kutumia neno mabeberu ili kuficha madhaifu yetu ,basi tusitegemee kuendelea na bara letu lita zidi kuwa masikini mpaka mwisho wa dunia. Unashangaa viongozi wanafanya maamuzi ya hovyo lakini likitokea la kutokea kutokana...
 17. RTI

  USHAURI: Moyo wangu umetekwa na mwanafunzi

  Kama kichwa cha habari kinavyo sema,nimetokea kumpenda binti mmoja ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha pili. Binti huyo tulianza kuonana pale alipokuja anauza vitumbua kwenye kijiwe ninacho fanyia kazi miaka miwili iliyopita,basi kuanzia kipindi hicho nikawa mteja wake wa vitumbua. Nimekuwa...
 18. RTI

  Marekani yaionya Uturuki kutowa shambilia wakrud

  kwa mujibu wa shirika la habari la Ujerumani DW rais wa marekani ameionya vikali Uturuki kutowashambulia wakurud baada ya wana jeshi wa marekani kuondoka la sivyo iwekewe vikwazo vitakavyo athiri uchumi wake .hata hivyo Uturuki inaonekana kupuzilia mbali vitisho vya marekani rais wa Uturuki...
 19. RTI

  Urusi na Iran hawatakiwi kumuamini Rais Erdogan maana haaminiki

  Heli ya mwaka ndugu zangu wana jf niende moja kwa moja kwenye mada .Tangu vita vya siria vianze mwaka 2011 nimekuwa mfatiriaji wa matukio yaliyo kuwa ya kiendelea katika vita hivyo. Lakini kinacho nichanganya ni nia ya Uturuki kwenye vita hiyo hasa kutokana rais wake yaani Erdogan kutotabilika...
Top Bottom