Search results

 1. APPROXIMATELY

  Wakazi wa Mbeya, Kahama ma Dodoma naombeni msaada wenu

  Kichwa cha habari kinajieleza, kwa wakazi wa maeneo tajwa hapo juu natarajia kufungua library ya kuuza na kukodisha CD. Sasa naombeni ABC zote za maeneo niliyotaja hapo juu, sehemu kwenye mzunguko mkubwa wa watu, sehemu biashara hiyo ya CD inatoka kwa wingi. Natarajia kufungua ofisi kubwa sana...
 2. APPROXIMATELY

  Muacheni Mungu aitwe Mungu tu

  Muda mwingine unaweza kujikatia tamaa kwa maisha unayoishi,ila ukiangalia kwa wengine ndio unajua Mungu kakufavor sana, tunahangaika kutafuta pesa kukicha ili tuishi maisha manzuri kumbe kuna mtu ana hata huo uwezo wa kutafuta hizo pesa,maisha yake ya shida sana wengine wanaishi kama...
 3. APPROXIMATELY

  Superman son is bisexual

  jamani hii cartoon ya super man inayokuja kwa sasa inachochea ushoga kwenye cartoon,dc comics wameona cartoon yao inapendwa sana world wide kwa hiyo wameamua kwa sasa kutangaza ushoga live kupitia cartoon zao, kusema kweli watoto wetu wataiga tabia hizo, asilimia 75% ya watoto wote wanaoangalia...
 4. APPROXIMATELY

  Ni wapi ulipotoka, ulipo sasa na unategemea kuwa wapi baada ya miaka 5?

  Uzi huu unalenga kuwasaidia vijana ambao hawajui wapite wapi na wapi ili wafikie ndoto zao, jieleze kwa kina toka mwanzo ulipoanza haso zako, kipindi ambacho ulikuwa huna hata pesa ya kula, haso ulizopitia, huku ukionyesha njia na biashara unayofanya sasa, changamoto zake, ilikuwasaidia wengi...
 5. APPROXIMATELY

  Kwa hili swala la wamachinga, Dar tutapaona pagumu

  Magufuli alitupa uhuru sana. Tukafanya biashara sehemu yeyote. Alituambia hata kama Ikulu kuna sehemu ya wazi tukafanye biashara. Kinachoendelea kwa huyu Mama ni noma! Serikali yake inafanya kinyume na ya Magufuli. Magufuli tutakukumbuka sana baba r.i.p
 6. APPROXIMATELY

  Simba kukakataa kuvaa medali siku ya ngao ya jamii ni kukosa ungwana

  Mpira ni mchezo wa ungwana, simba iliposhinda Kigoma yanga walivaa medali kama mshindi wa pili, hii inaonyesha simba sio hawajui fair play, wanataka wao tu wawe wanashinda, wamesahau kuwa ni zama za return of champion.
 7. APPROXIMATELY

  Kwanini wanaume wa nakufa mapema kuliko wanawake

  ukienda vijijini ndo utashangaa hakuna mababu kama zamani,kijana wa kiume unapambana kumlidhisha mwanamke,unatafuta pesa sana ili mke wako asiliwe na wengine,kumbe unajiuwa kwa stress,unamjazia nguo begi nzima ili apendeze wewe mwanaume unashindia moja,akitoka nj'ee anakutana na wajanja wanakula...
 8. APPROXIMATELY

  Kwanini wazungu wana Historia, sisi wafrika hatuna

  Wakorea wana historia yao toka mwanzo wataifa lao kuwepo kipindi cha devine Jumong, wazungu hivyo hivyo wana story zao, mbona sisi waafrika hatuna hadithi zetu za mwanzo, au baada wa wazungu kututawala walichukua hadithi zetu? au wazee wetu hawakuwa na sehemu ya kuweka kumbukumbu? sisi hadithi...
 9. APPROXIMATELY

  Biashara ya samaki

  HABARI ZA SAA HIZI ndugu zangu,nilikuwa nauliza biashara ya kusafirisha samaki kutoka dar kwenda arusha,samaki waliio kaangwa tayari,nataka kujua kwa hapa dar samaki wanapatikana kwa bei gani,na usafiri mnzuri wakuwa peleka arusha
 10. APPROXIMATELY

  Kuuza na kukodisha movie: Biashara simple faida kubwa

  Habari wana jukwa hili tamu,moja kwa moja ngoja nienda kwenye point,kuna biashara ya LIBRARY YA KUINGIZA NYIMBO NA KUKODISHA CD ni biashara inayoonekana ya kawaida sana,ila ni biashara yenye pesa nyingi tu,ninaposema pesa nyingi nina maana faida kibao,isiyo na presha ya mtaji kukata,mara bidhaa...
Top Bottom