Search results

 1. rikiboy

  Uzi wa Kutupia Screenshot za Vibomu

  Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya kutupia screenshot tu za namna dada zetu wanatupanga ili watupige mizinga kwa kutumia Visingizio mbali mbali ambavyo havipo kabisaa..[emoji3][emoji3][emoji3] kama naumwa..nitumie nauli alafu haji..mama anaumwa au nimepata safari ya ghafla nina matatizo...
 2. rikiboy

  Kumuacha binti kisa analazimisha ndoa

  Katika maisha ya mahusiano ya Kijana kuna changamoto nyingi sana lakini Kiukweli kudate na Binti ambaye anahitaji sana ndoa ni shida sana sijui kama ni sahihi Kumuacha Binti uliyedumu naye karibu miaka 3 kisa tu anakomaa mfunge ndoa na kumtolea mahari wakati wewe haupo tayari?
 3. rikiboy

  Nahitaji kibanda cha MPesa

  Wakuu nahitaji kibanda cha Mpesa kiwe cha chuma au mbao kisizidi LAKI 2. NIPO DARESALAAM.
 4. rikiboy

  Tukio la mauaji ya Polisi eneo la Selander si bahati mbaya

  Leo kumetokea tukio baya sana kwa Usalama wa nchi yetu labda ni tukio baya sana kuwahi kushuhudiwa toka matukio ya enzi za Mauaji ya KIBITI yaliyolikumba nchi yetu enzi zile za Rais Magufuli sijui nini maana yake lakini Hii sio bahati mbaya.. yes sio bahati mbaya! Habari za kuuliwa polisi watatu...
 5. rikiboy

  Samsung 12 ni kiboko

  Leo nilikuwa maeneo flani nikakutana na Rafiki angu akawa amenipa simu yake niandike namba yangu lakini nikasema sio mbaya niangalie property za simu ofcourse CAMERA yake ni kali sana... Storage ya kutosha lakini kwenye betry ndo nilichoka yani simu ina 60% lakini inaandika 1DAY mpaka iishe...
 6. rikiboy

  Kama huna hela usiombe namba

  Aisee ni balaa namba tatu zote nilizoomba nimepiga hesabu nikisema niwape hela walizoniomba ni kama Laki Moja inapukutikaa chap[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani hakuna cha mke wa mtu wala nini wote wanalia njaaaa mara sijui vikoba sijui naumwaa khaa acha nibaki njia kuu kwa...
 7. rikiboy

  Maneno gani ya dharua uliambiwa yakakuumiza sana

  Mimi aliniomba 100K aongeze kwenye kodi wakati me mwenyewe kodi jau enzi za chuo hizo nikamwambia asubiri nipate boom. Akasema mwanaume wa kutegemea boom nae mwanaume sasa[emoji24][emoji24][emoji24] Kitu gani cha dharau alichowahi kukwambia babe wako alipokuomba hela ukasema huna?
 8. rikiboy

  Simba msijidanganye

  Toka jana kumekuwa na Mjadala mzito sana kuhusiana na Bil. 20 ambazo MO alitakiwa awe amezitoa tokana na kuchukua 49% ya hisa za Simba lakini hili Jambo SIASA imetawalaa kuliko uhalisiaa na ndo hapo nasema "Maskini Akipata Matacco mbwata" sasa wana simba wamejisahau sana na kuona mambo ni...
 9. rikiboy

  Fireboy new album

  Aiseee kuna watu wanajua sanaa ila FIREBOY ni moja wa wasaniii wakali sana kwa sasa Nigeria huwezi ongea kuhusu mziki ukamuacha huyu mwambaa... Ametoa album mpya inaitwaa APOLLO baada ya LTG iliyofanya vizuri sana ikiwa na nyimbo kali kama VIBRATION...NEED YOU..ENERGY..WAIT N SEE. Kiufupi kwa...
 10. rikiboy

  Je, utachukua uamuzi gani?

  Jamani habari wakuu, Natumaini mpo poa kuna jambo nataka kujua kutoka kwenu hasa kwa wale wanaume wenzangu mliopatwa na jambo kama hili. Hivi ikitokea umezaa na mwanamke flani mtoto na mmedumu kwa miaka kama mitatu hivi japo wewe hujajipanga bado kimaisha hata kazi official hujapata still una...
 11. rikiboy

  Je, ajiunge na SACCOSS apate mkopo au achukue mkopo BANK?

  Kuna ndugu yangu anataka kuchukua mkopo. Sasa anaomba ushauri je, ajiunge na SACCOSS apate mkopo au achukue mkopo BANK? Ni mkopo kama milioni 5 hivi Please ushuari wako muhimu sana ======= ========
 12. rikiboy

  Startimes Mnatuchukuliaje?

  Kuna majibu ukipewa baada ya Kuuliza maswali flani unaweza ukahisi aliekujibu ana Utindio wa ubongo au kakuona wewe fala sanaa... Jana nilitaka Kulipa lifurushi cha startimes sasa nikawapigia kuuliza juu ya Uwepo wa channel ya Wanyama NGW na FOX. Eti kadada kakaniambia kweli hizo channel hazipo...
 13. rikiboy

  Utapeli wa Mwendokasi

  Hakuna kitu kinakera kwenye Maisha kama Kijana kutumia ujuzi mdogo ulionao kwenye Jambo fulani KUTAPELIII vijana wenzako wanaotafuta pesa zao kwa jasho au pengine kupewa na familia zao..!! Kuna kijana ameweka tangazo kuwa anatoa elimu ya Kuweza kukuza 120000 kwa mwezi izae Mil 100, alafu vijana...
 14. rikiboy

  House4Rent Nahitaji Nyumba

  Nahitaji nyumba ya Kupanga Iwepo maeneo ya kimara yani kuanzia kimara mwisho kurudi maeneo ya town kwa maana ndani njia ya mwendokasi. Iwe na vyumba viwili kimojawapo masters..maji na umeme wa kujitegemea..jiko na sebule! Kwa LAKI MBILI. kama unayo nipm.
 15. rikiboy

  Diamond muonee huruma Kiba

  Alikiba kiukweli lazima awe na stress za hali ya juu maana ameshtuka toka usingizini amekuta he is not a King anymore yaani kijana Mondi atamuua kwa stress aisee. Ingekuwa kimarekani hawa jamaa walipofika chuma kingehusika walahi. Nilichogundua hii bifu Mondi anaitumia kimaslahi zaidi...
 16. rikiboy

  Huu ndio Ukweli

  Mwanaume anaumizwa mara moja tu na mapenzi bhasii baada ya Hapo unakuwa mzoefu kuhusu huu upuuzi unaitwa Maumivu ya mapenzi. Ukiona unaumizwa na mapenzi zaidi ya mara moja bhasi una KASORO! Kuumizwa na mapenzi zaidi ya mara moja achia wanawake hao ndo hulia kila siku kuhusu mapenzi. Imeishaa...
 17. rikiboy

  Stress za Graduates

  Hakuna kipindi kigumu kama Kumaliza Chuo alafu ukiwa na expectations kubwa za Kupata ajira na maisha mazuri then Siku zinasonga hata dalili ya kupata ajira hakuna, CV umetandaza karibu ofisi zote mjini lakini hata kuitwa kwenye Interview hakuna hapa ndo muda Vijana wengi hujihisi useless na...
 18. rikiboy

  Vijana tuache huu ujinga

  Kuna tabia mbaya sana imeibuka siku hizii vijana wa mjini kuzaa au kuzalisha alafu Watoto wanawapeleka kwa Bibi akawalelee, Ubaya haya hela za matumizi hawatumi watoto wanaishia kuzagaa mitaani na kuvizia chakula kwa watu akati Baba na mama zao wanapiga umalaya tu na kulewa mjini huku. Kondomu...
 19. rikiboy

  Wanawake pasua kichwa Aisee

  Kuna dada flani anaitwa Martha Mchekeshaji alifariki hapo Juzi kati Mungu ampunguzie adhabu ya Kaburi lakini Kilichonishtua ni MBOSO kuamini kuwa ana mtoto na yule dada na ukute alikuwa anatoa hela za matumizi kabisa. Too bad familia ya binti imepinga vikali kuwa binti yao hajawahi kuzaa...
 20. rikiboy

  Mwanaume kuomba msamaha kwenye Mapenzi ni udhaifu

  Mapenzi yana nguvu sana hasa kama Hujawahi kuumizwa, lakini katika Makosa yote mtu hasa mwanaume anaweza kuyafanya kwenye mahusiano bhasi ni KUOMBA MSAMAHA kwa kosa ambalo sio lako ili mradi tu usimpoteze mwanamke ulienae ni Uboya wa kiwango cha lami. Omba msamaha kwa kosa ulilofanya sio manzi...
Top Bottom