Search results

 1. chase amante

  Mfumuko wa bei ni tishio kwa maisha ya Watanzania

  Habarini ndugu, Hivi sasa bei za bidhaa kuanzia bidhaa za majumbani kama sabuni, mafuta na vinginevyo mpaka mbolea ,vifaa vya ujenzi n.k vimepanda bei. Bei zimekua kubwa sana kiasi mtu wa kawaida kuzimudu inakua shida. Vifaa vya ujenzi ambavyo vingi tunatengeneza hapa hapa nchini navyo...
 2. chase amante

  Sera ya Faragha ya tigo ni bora mara 100 kuliko ya Vodacom

  Habarini, Kumekua na mjadala kua sera ya kampuni ya simu ya tigo ni mbovu kwani inashindwa kulinda taarifa za mtumiaji,kiasi kwamba polisi wanaweza pewa muda wowote watakapozihitaji bila kibali cha mahakama. Sheria ya uharifu mtandaoni ya mwaka 2015,inatoa ruhusa ya polisi kuomba kibali...
 3. chase amante

  Wizara ya Uchukuzi inakwamisha juhudi za Rais Samia kuinua uchumi

  Habarini wana jf. Rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania mh samia suluhu hassani amekua akisisitiza sana uchumi wa viwanda.Na kwamba,viwanda vitasaidia kuinua uchumi wa nchi na kipato cha mtu mmoja mmoja. Sekta ya uchukuzi kupitia bandari,barabara na ndege inasaidia sana kukuza uchumi kwani...
 4. chase amante

  Sakata la pandora papers liifundishe serikali kuwa na uwazi na matumizi mazuri ya fedha za umma

  Habarini, Jumapili kuliibuka sakata la pandora papers report ambayo iliibua akaunti za fedha za nje za viongozi na watu matajiri duniani akiwepo Tony blair,rais uhuru kenyatta n.k Kua na akaunti nje ya nchi sio kosa ,ila kosa ni kua kodi inashindwa kulipwa kwa nchi zile walizopo wamiliki...
 5. chase amante

  Ahadi ya Kansela Angel Merkel kujenga kiwanda kikubwa cha mbolea Tanzania ilikuwa ni uongo?

  Mnamo mwaka 2019, Kansela wa Ujerumani alifanya mazungumzo kwa njia ya simu na hayati Rais Magufuli na kumuahidi kujenga kiwanda kikubwa cha mbolea kuliko vyote Afrika hapa nchini. Ningependa kujua, kama kimejengwa au kipo katika hatua ya ujenzi. Kwa mwenye taarifa, naomba anijuze. Ahsante
 6. chase amante

  Uhusiano uliopo kati ya kesi ya Ugaidi dhidi ya Mbowe na tukio la jambazi

  Naomba niwape pole wakazi wa Dar Es Salaam, Polisi na ndugu wa Polisi waliofariki katika tukio la leo. Tukio hili la anayeshukiwa kuwa jambazi kufyatua risasi hovyo, limeshtua watu wengi. Niwape hongera Polisi kwa kazi hiyo. Naomba kwanza niseme kuwa huyu mtu sio mgeni machoni pa vyombo vya...
 7. chase amante

  Rais Samia komesha uzembe wa askari barabarani

  Habarini ndugu, Siku za hivi karibuni kumekua na ajali nyingi sana za barabarani, ambazo kwa kiasi kikubwa zinasababishwa na uzembe wa madereva. Lakini, askari wa barabarani wamejisahau sana na kupelekea kuongezeka kwa ajali hizo. Naomba mama samia liangalie swala hili
 8. chase amante

  Frank Nyabundege, failed manager of the failed TIB Bank to lead important TADB Bank

  In what seems like an okay selection for the president of tanzania, the infamous frank Nyabundege who previously served as a managing director of TIB corporate bank has been appointed to be the managing director for Tanzania agricultural developement bank(TADB). He was suspended by the bank of...
 9. chase amante

  Rais samia achana na debt diplomacy, unahatarisha uchumi wetu

  Habarini ndug, Siku za hivi karibuni tumeshuhudia ziara nyingi nje ya nchi, za rais samia. Ni ziara nzuri kwa kua zinaimarisha ushirikiano. Lkn kinachonishangaza ni kwamba, naona anazidi kupotea kila siku. Diplomasia yake inakua ni ya kuomba mikopo na kuongeza madeni, badala ya kua...
 10. chase amante

  Waziri Ndugulile kajifunze Kenya maana ya digital revolution

  Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano. Waziri wa Teknolojia na mawasiliano, jana alitangaza kua anawakaribisha watu kuwekeza kwenye mtandao wa 5G nchini Tanzania, na pia mpango wake wa kubadili mfumo wa 2G kwenda 3G unaotumika kwenye simu za tochi. Pia, akatangaza na mpango wake wa miaka...
 11. chase amante

  #COVID19 Siku 100 za Rais Samia na janga la Covid-19

  Habarini za asubuhi wanaJF. Namshukuru mungu kwa kutupa uzima kuiona siku ya leo. Siku miamoja za rais Samia amejitahidi kuonesha mwanga zaidi, kuhusu namna ya kupambana na ugonjwa wa corona. Nikiri wazi kua, Tanzania tuna bahati ya kupata viongozi wazuri, wenye maono na wanaoendana na Nyakati...
 12. chase amante

  Rais Samia atafanikiwa kuleta Wawekezaji?

  Naam, Habarini ndugu. Katika kusherehekea siku 100 za mama samia madarakani, nimeona nijaribu kuelezea kwa kifupi dhamira yake ya kukuza zaidi uwekezaji. Nampongeza mama samia, kwa kuonesha utawala bora na uwajibikaji katika siku hizo mia moja. Pia, katuvusha salama katika kipindi cha mpito na...
 13. chase amante

  Mkurugenzi wa mawasiliano, Ikulu kutoa taarifa ya safari ya mheshimiwa rais kesho, ni kosa

  Habarini wana JF, Nijielekeze kwenye maada, moja kwa moja. Kuna taarifa imetoka kuhusu safari ya mheshimiwa rais, hapo kesho ambapo atakwenda Uganda. Swala la usalama wa taarifa za ikulu, ni muhimu sana, hususani katika kipindi hichi ambapo rais wetu ni mpya, na kuna maadui wengi tu wa ndani...
 14. chase amante

  GNI per capital ya Tanzania

  Habarini wanajamvi. Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, naomba msaada wa kujua GNI per capita ya Tanzania mwaka 2020. Nitashukuru zaidi Nikipata na source ya habari.
 15. chase amante

  Soko Kuu la Dodoma kupewa jina na Job Ndugai ni kosa

  Nianze kwa salaam, habarini ndugu. Niende moja kwa moja kwenye maada. Kitendo cha Soko hapo dodoma, kupewa jina la job ndugai ni kosa kubwa. Ikumbukwe kina mzee makamba, waliomba hata majina yao yapewe hata mtaa au barabara, lkn waligomewa na kuitwa wasaliti licha ya uzalendo wao wa muda mrefu...
 16. chase amante

  MSAADA LINK YA MECHI YA COPA AMERICA YA CHILE VS PERU

  Habarin za usiku ndugu zangu,naomb mwenye link ya mechi ya Chile na Peru,inayochezwa Leo,antumie.
 17. chase amante

  Nimepata fursa ya kwenda USA

  Habarini wanajf,(Ndugu,kaka,Dada na wengineo).Kama kichwa cha habari,kinavyojieleza hapo juu. Nimeipata fursa hiyo,kupitia tangazo la ajira nililolipata kupitia whatsup group.Tangazo lilitumwa na mmoja wa member mwenzetu,aliyejitambulisha kwa jina la Wamilse.Alijitanabaisha kua,yeye ni hiring...
 18. chase amante

  Wasanii kukosa msaada katika usambazaji wa kazi zao,je ni jukumu LA serikali kuwasaidia? Au ni ukosefu wa uongozi bora?

  Habarini wana jf.Leo katika pitapita zangu nikiwa maeneo ya Rujewa,Mbarali nimekutana na msanii kantala wa sinema ya Odama. Tumeongea mengi,lkn kubwa la msingi alkua akisema ,msaada hawana kwasababu licha ya kuwep chama cha wasanii bado msaada wake ni hafifu.gharama za usambazaji zmekua kibwa...
Top Bottom