Search results

 1. LUBEDE

  Hivi kwanini Tanzania hatunaga Postal Codes?

  Wakuu hivi kwanini Tanzania hatunaga anuani za uhakika za miji yetu na majumbani mwetu zaidi ya namba za simu tu? Hivi Serikali haioni kama inatucheleweshea maendeleo na kutupa ugumu wa kufanya biashara kimataifa? Wanatuzidi hadi Uganda jamani. Kama nchi ifike kipindi tubadilike, kununua kitu...
 2. LUBEDE

  Naomba ushauri kuhusu Toyota surf ssr-v the navigators

  wakuu kwema? jamani nahitaji ushauri juu ya hizi ndinga, nataka kuichukua,mwenye uzoefu naomba anipe ushauri anazionaje? itanifaa kwa misele ya mjini na vijijini?naihitaji as a family car...but nataka niwe na uhakika wa safari incase natakiwa nisafiri sio mawazo tena yawe lukuki..
 3. LUBEDE

  Huawei ascend G6

  wakuu wataalamu wa simu,nina tatizo,kuna simu hapa inakataa ku'reboot na sijaju tatizo ni nini,naambatanisha picha sijui kama zitaeleweka,lengo ni kupta msaada wa namna ya kulitatua hili tatizo,asanteni..
 4. LUBEDE

  Mwanamke mwenye tattoo

  Kuna mwanamke ana tattoo kwenye ziwa ,nampenda na natamani awe mke wangu,lkn nikiwaza ule mtatoo siku nikimpeleka kumtambulisha kwa ndugu zangu wakaiona ile tattoo si itakuwa taflani? hivi nyie wanawake mna nini? huu utamaduni wa kishenzi mmeuiga wa nini?ni lazima uwe na hayo ma alama ya...
 5. LUBEDE

  Soda na mgeni uswahilini

  Hivi kwanini sisi wa uswahilini tukitembelewa na mgeni lazima tuanze kuhangaika kumnunulia mgeni soda? ni nani aliuanzisha huu utaratibu?kwani wageni nao huwaga hawawezi kunywa hata maji tu?
 6. LUBEDE

  Binti yangu kaniandikia hivi, mnisaidie cha kumjibu

  Wakuu poleni na pirika za kutwa nzima...binti yangu karudi nyumbani baada ya kumaliza masomo yake ya kidato cha sita,leo kuna swali kaniuliza sijamjibu hadi sasa hivi nakosa cha kumjibu,naombeni kwa mwenye uzoefu tubadilishane mawazo nione ingekuwa ndio kaulizwa yeye angemjibu nini mwanae...
 7. LUBEDE

  Marufuku ya mifuko ya plastiki

  Nyie mnaoshabikia kupigwa marufuku kwa mifuko ya plastiki,tutaona ndugu zenu watakuwa wanatapikia wapi wakiwa wanasafiri kuja mjini kuwatembelea..
 8. LUBEDE

  Tuambiane maneno ambayo hata ukilitamka au kulisoma kinyume linabakia vile vile..

  Mimi naanza na 1)LIPULI, 2)KATIKA 3)............
 9. LUBEDE

  Bwana harusi mtarajiwa hajatokea kwenye sendoff

  Wakuu hii imekaaje,sitosema nilipo maana inawezekana mhusika akawa humu, Kisa ni kwamba kuna dada mmoja wa kitaa,huwaga ananata sana kama super glue,naye yamemkuta,kuna mwana alimuotea akaahidi kumuoa,akafuata taratibu zote kuelekea kwenye ndoa,ila siku ya sendoff mwana hakutokea,ikawa aibu...
 10. LUBEDE

  Kwa waislamu; Je, ni sahihi muislamu kutangaza biashara ya kitimoto?

  Samahani ndugu zanguni,kuna swala linanitatiza kidogo hapa nataka nipate ilmu na ufahamu zaidi ,kuna rafiki yangu yeye ni muislamu,ana biashara zake huwa anazifanya,sasa leo katika status ya whatsapp kapost tangazo la biashara ya kitimoto,anatangaza soko la mshkaji wake kuwa anauza kitimoto...
 11. LUBEDE

  Mara ya kwanza kupanda treni

  Jamani tujikumbushe kwa mliowahi kusafiri kwa treni,hizi treni zetu za dunia ya tatu..mimi ilikuwa natoka DODOMA kuelekea MWANZA,baada ya kukamilisha taratibu za tiketi ambayo nilikata wiki mbili kabla ya safari,nikaanza kuwa na mashaka na muda ulivyokuwa mrefu tangu nikate tiketi hadi...
 12. LUBEDE

  Kwa mara ya kwanza wanaume wa mkoani wametamani kuwa kama wanaume wa DAR...

  Kufuatia ushindi wa TAIFA STARS dhidi ya UGANDA kwenye hii michuano ya kufuzu kombe la mataifa afrika,kumezua tafrani mikoani baada ya mkuu wa mkoa wa DAR kuahidi kuwa endapo TANZANIA tutaifunga UGANDA basi gambe litakuwa nusu bei,leo huku mikoani wadau roho inawauma sana kulipa bei mara mbili...
 13. LUBEDE

  Nimegongwa na Nge

  Wakuu nimegongwa na nge,wataalamu naomba mnisaidie tiba,natakiwa nifanyaje,maumivu ni makali sana na hadi saiv ishapita nusu saa bado sielewi natakiwa nifanyaje,msaada wenu tafadhali...
 14. LUBEDE

  Watu wanaozungumza kwa kigugumizi wamepotelea wapi?

  Hivi hawa watu wenye vigugumizi siku hizi wamepotelea wapi,maana kipindi cha nyuma ilikuwa kama fashion,au kuna kitu huwa kinasababisha watu wa aina ile kuwepo,siku hizi wamekuwa adimu sana watu wa namna hiyo..
 15. LUBEDE

  Mheshimu mwanamke wako kwa kuwa amekuchagua wewe japo si bora kuliko Wanaume wengine

  Mheshimu mwanamke wako kwa sababu sisi wote tunamtaka(tunamtamani) na sisi ni bora zaidi kuliko wewe,lakini alikuchagua wewe,sasa siku akichoka..ndio akili itakukaa sawa!
 16. LUBEDE

  Kila mtu anauliza matokeo

  Ukitaka kujua watu wanapenda tu mafanikio ndio kipindi kama hiki, kila MTU anaulizia matokeo lakini kipindi cha ada hakuna aliye kuwa anauliza jamani tuwe wastarabu kama hujawahi kuulizia ada usiulize matokeo!
 17. LUBEDE

  Wapweke tukutane hapa

  Dah,leo katika pirika zangu mijini humo, nimekutana na couple moja wanajidai sana,utadhani wamejua kuwa kwa sasa mwenzangu yupo mbali,mwana kavimba mbaya mpenzi wangu popote ulipo kiukweli nakukumbuka sana,najua tupo wengi humu,ambao tunapitia hii hali,njooni hapa tujifariji kwa kuwaonea wivu...
 18. LUBEDE

  Walio single wapo macho hadi saivi

  Tusiokuwa na wenzetu kwenye mahusiano hadi muda huu tunagaragara tu kitandani,hakuna jipya,usingizi hakuna,basi tabu tupu.!
 19. LUBEDE

  Kujichubua mwili

  Kuna mijanamke imejichubua miili kama nguruwe aliyetoka kutolewa nywele na maji ya moto,mna nini nyie wanawake mnaojiharibu asili yenu?nani kawadanganya kuwa tunawapenda mlivyoungua na kukomaa ngozi kwa kemikali?mbona majirani zetu Kenya na Uganda hawana huo ulimbukeni? binafsi napinga na...
 20. LUBEDE

  Wanawake wameumbwa kupendwa,sio kueleweka..

  Kwa sasa kumekuwa na wimbi la wanaume wengi kulalamika mambo wanayofanyiwa na wanawake zao,mfano jamaa anamnunulia gari mwanamke wake,then anafikiri ndio amemaliza,siku anapata pancha,anasaidiwa na mhuni tu wa mtaani,shemeji anaamua kumtunuku mzigo,baada ya hapo tunakuja kulia hapa jukwaani kuwa...
Top Bottom