Search results

 1. Masulupwete

  Bila ya ARV Hali ya Maambukizi HIV Ingekuwaje?

  Mi nazan bila ya wazungu kuleta dawa hizi, saivi maambukizi yangekuwa madogo sana. Ila kwa hapa tulipofika maambukizi hayawezi kuisha kamwe.
 2. Masulupwete

  Makocha "wakali" wa nje waliowahi kufundisha soka bongo

  Mimi nimewakumbuka hawa - Tambwe Leya - Nzoyisaba Tauzan - James Aggrey Siang'a - Milutin 'Micho' Sredojevic - Dragan Popadic - Hans van der Pluijm - Le Profesel Dusan Kondic - Trott Molotto - Zdravko Logarusic Ongezea.......
 3. Masulupwete

  Tatizo la choo kurudisha harufu ndani

  Harufu inatoka kwenye yale mashimo ya nje (septik) inarudi ndani ya nyumba (chooni). Inakera sana, choo kinatoa harufu mbaya hata kama hakijatumika kabisa. Hali hii inasababishwa na nini na je naweza kuizibiti vipi?
 4. Masulupwete

  Tabia za kishamba za mabasi ya mikoani

  (1) Unakuta mtu anaongea kwa simu kwa kupaza sauti hadi inakuwa kero kwa wengine. Sijui unataka uonekane mtu wa mipango au ndo vipi? Eti unajua kwenye ile indavyuu mimi pekee ndo nilifanya vizuri. mmxxsh hiyo intavyuu yako sisi inatuhusu nini. (2) Gari ina AC wenzio wooooote wamefunga vioo...
 5. Masulupwete

  Nawezaje Kuhamia Tiba Asili?

  Wakuu Kwa miaka mingi nimekuwa mfuasi mzuri wa tiba za kibeberu/kizungu zinazohusisha madawa yenye kemikali (namaanisha haya madawa tunayonunua famasi na mahospitalini km panado na znginezo). Kwa sasa nataka kuvua gwanda kwa kuacha matumizi ya madawa haya ya kemikali na kuhamia kwenye...
 6. Masulupwete

  Je, Ndege Concorde Zimeanza Kuruka?

  Wakuu Asalam-alleykhum Leo nikiwa nimetulia kijiwe nimeona ndege kubwa ikiruka anga ya mbali na kuacha michirizi miwili ya moshi mweupe (kuna picha chini). Kwa kumbukumbu zangu ndege za muingereza aina ya Concorde ndo zilikuwa na tabia hii ya kuruka masafa ya mbali na kuacha michirizi ya aina...
 7. Masulupwete

  Hawajanilea lakini wanataka matunzo

  Hawa ni ndugu zangu upande wa mama yangu mzazi. Kifupi, nililelewa upande wa baba. Mama alitengana na mzee na kuwa na maisha yake na familia yake na sijawahi kusikia akinitafuta hata siku moja, ndugu zake pia hawajawahi kunitafuta walau kufahamu maendeleo yangu au tu kujua kama bado napumua...
 8. Masulupwete

  Vijana tujenge mbele yetu

  Hali ya vijana walio wengi saivi ni taabani. Tafsiri ya maisha ya kijana wa kisasa ni "kula bata". Humo kumejaa ulevi, uzinzi na ishu zingine nyingi zisizo na tija kwa fyucha (umbea, usengenyaji nk). Hivi havikatazwi moja kwa moja coz maisha yenyewe ndo hayahaya, na lazma tuyafurahie maisha...
 9. Masulupwete

  SUMATRA/Jeshi la Polisi kagueni mabasi machafu ya Mkoani

  Msiishie kuangalia kama gari ni zima na ina kibali cha route husika. Mkague na usafi wa mabasi. Kuna magari unaingia hapo ndani hadi unajisikia kichefuchefu kwa jinsi yalivyo machafu. Halafu fikiria ndo utakaa humo kwa kutwa zima. Come on guyz, tupo uchumi wa kati sasa, lazima tubadilike. Siku...
 10. Masulupwete

  Ujenzi: Ushauri wa aina nzuri ya Madirisha

  Wakuu nataka kuanza mchakato wa kuweka madirisha kwenye pagale langu. Naomba idea ya aina nzuri ya madirisha ukiondoa hizi aluminium za mchina ambazo naona sasa hivi ndo kama fasheni kila mtu anaweka. Ukiweza kuweka picha itapendeza zaidi. Eneo husika kuna vumbi jepesi na baridi kali kiasi.
 11. Masulupwete

  Mnaopenda sauti kubwa ya muziki mna sababu gani?

  Mnaopenda sauti kubwa ya muziki mna sababu gani? Hii ipo sana maeneo ya uswazi. Sababu hasa ni nini mnaofanya hivi? Je, unafikiri muziki wako ni mzuri sana ivyo si vibaya kuwasikilizisha wengne?. Je, kuna mtu unamkomesha kwa kumfikishia ujumbe kwa njia ya muziki? Basi tu unataka kukera watu...
 12. Masulupwete

  Usimuahidi mtoto usichoweza kumtimizia. Utamuumiza

  Kuna jamaa yetu alinikuta naelekea kufanya mtihani wa darasa la 7 (miaka ile tukiita 'elo wai'). Yeye kwa kimuhemuhe chake na bila shinikizo akadai angenipa zawadi kama ningefanya vizuri ile pepa. Huku na huku pepa hii apa, Mungu jalia nikachana (nikafaulu) ile pepa. Niliishia kupewa pongezi tu...
 13. Masulupwete

  Nasafiri, waifu kaniwekea kondom kwenye begi

  Najiuliza je nizitumie uko niendako au nirudi nazo? Je nikizitumia itakuwaje nitaporudi? Msaada tafadhali.
 14. Masulupwete

  Tanzania ilikuwaje Miaka 1,500 iliyopita

  Wakuu stori inayotrend saivi ni tamko la mamlaka za Uturuki kubadili matumizi ya jengo la kale la Hagia Sophia lililojengwa mwaka 537 (yapata miaka 1,500 iliyopita) kutoka kuwa makumbusho na sasa kuwa eneo lakuabudia. Miaka 1,500 ni mingi sana kwa historia ya mwanadamu. Nimejiuliza sana hawa...
 15. Masulupwete

  Tabia ya kutopenda kukaa foleni, tushukuru bongo silaha zimedhibitiwa

  Kuna watu hata muwe foleni ya watu wawili tu yaani wewe na yeye atang'ang'aniza akupite ahudumiwe yeye kwanza. Ustaarabu wa porini kabisa huu. Tushukuru bongo silaha zimedhibitiwa unaweza kupata kesi hivi hivi.
 16. Masulupwete

  Upi ni umri sahihi wa kula bata (kufurahia maisha)

  Ukiwa kijana barubaru utaambiwa "kijana usikimbilie maisha utayakuta huko mbeleni". Ukipata makamo hapo ujanani utaambiwa "kijana tafuta maisha kwanza, fainali uzeeni". Ukizeeka halafu unajaribu kukimbizana na nyakati utasikia "mzee wakati wako umepita". Wakuu, upi sasa ni umri sahihi...
 17. Masulupwete

  Hakuna Sababu ya Wanafunzi/Walimu Kuvaa Maski/Barakoa

  Hawa watoto na walimu wao waachwe kulazimishwa kuvaa maski. Kwa sasa hakuna sababu zaidi ni kuingizana gharama tu. Huku kitaani hakuna anaevaa hizi kitu saivi na hata ukivaa watu wanakushangaa. Unalazimishwa kuvaa halafu akifika homu unakuta hakuna anaevaa halaf apoapo mnachanganyika !!
 18. Masulupwete

  Nani wa kuvunja mnyororo wa michango ya harusi?

  Ninavyoona hii michango ya harusi ni mnyororo wa kutajirisha watu tu kwa kisingizio cha kuwanufaisha/ kusherehesha wanaharusi. Kiukweli, mnyororo huu itabidi ifike wakati uvunjwe (kama sio kizazi hiki basi kijacho) kwani kamwe haupo kwa maslahi ya wanaharusi kama inavyodhaniwa na wengi, zaidi...
 19. Masulupwete

  Msaada Nakosa pumzi, Kuchoka na Kizunguzungu

  Nikifanya shughuli yoyote inayohusisha matumizi makubwa ya nguvu kama vile kukimbia umbali mrefu, kubeba vitu vizito nk. mwili unachoka, nakosa pumzi, najihisi mchanganyiko wa kizunguzungu, kutapika, tumbo linavurugika kabisa kama nataka kuhara vile napoteza nguvu ya mwili kabisa yaani kama...
 20. Masulupwete

  Hii ni ngoma ya wapi?

  [emoji116][emoji116] Sent using Jamii Forums mobile app
Top Bottom