Search results

 1. Pendael24

  Vituko mitandaoni. Tupia chako

  Africa bado tupo vizuri
 2. Pendael24

  Vituko mitandaoni. Tupia chako

  Makhirikhiri
 3. Pendael24

  Vituko mitandaoni. Tupia chako

 4. Pendael24

  Vituko mitandaoni. Tupia chako

  Mwenye taarifa za hawa wadada please
 5. Pendael24

  Kama maji yameongezeka mto Ruvu ndani ya saa 48, basi hata Kidatu, Kihansi na Pangani yataongezeka kama wanaohujumu wakidhibitiwa

  Yaani mpaka tufikie hio hatua ya maendeleo dunia itakuwa ishapiga hatua ya pili.
 6. Pendael24

  Siku nikikutana Financial Services wa JF nitamuuliza maswali haya

  Sina takwimu sahihi ila asilimia juu ya 60 ya members hapa jf wamekua kwa namna moja ama nyingine juu ya mapenzi, ila kilichokuliza jana leo ukikitafakari kwa kina unajiona mjinga sana!
 7. Pendael24

  Siku nikikutana Financial Services wa JF nitamuuliza maswali haya

  Ila inakua na furaha fulani hivi kukutana ana kwa ana
 8. Pendael24

  Siku nikikutana Financial Services wa JF nitamuuliza maswali haya

  Hongera kwa yote mazuri ulioyapata huku Hongera pia kwa sifa njema juu yako zilizo tajwa. Sijui wenzangu mumewezaja hili, binafsi nina mwaka mwaka wa saba hapa sijawahi kujuana na mtu yoyote huku iwe kwa wazi au faragha!
 9. Pendael24

  Yametimia: TANESCO yakiri uhaba wa umeme. Kutoa 'Taarifa' watu wapange kazi zao

  Kifupi sio magufuli wala Samia wala Kikwete ndio chanzo cha haya yote! Tukubali mabadiliko ya hali ya hewa yanachangia kwa kiasi kikubwa. Lakini sera za nchi yetu bado ni za hovyo sana, na uhakika ni kwamba kama tuliendelea hivi tutasherehekea miaka 60 mingine ya uhuru hali ikiwa hivi.
 10. Pendael24

  Kesi ya Mbowe na wenzake: Picha ya maneno millioni moja

  Hakuna cha maneno milioni wala bilioni, kikubwa ni haki, haki, haki! Sent using Jamii Forums mobile app
 11. Pendael24

  Lakini DPP tulikushauri ufute hii kesi ya Mbowe haina uhalisia wowote

  Hata kama wana ushahidi dhidi ya hii kesi lakini aina ya ugaidi wanao tuhumiwa nao sio ugaidi unaojulikana na dunia. Labda tuseme ni ugaidi wa kisiasa.
 12. Pendael24

  Kuna sehemu yenye joto zaidi ya Ifakara Tanzania?

  Wakuu naomba mwongozo kidogo, wakati unaelekea iringa na mbeya ukifika mlima Kitonga huwa kuna kupanda, lakini sasa sijawahi kuona mahali pengine mnenda kuteremka! Ni kwamba ile mikoa ipo juu? Morogoro na dar zipo bondeni labda?
 13. Pendael24

  Rais Samia: Dunia kwa sasa inakabiliwa na tatizo jipya la Usalama (Ugaidi)

  Ugaidi maana yake nini labda! Marekani na nguvu zao zote wamepambana na ugaidi miaka zaidi ya 20 na bado unawapa changamoto. Sidhani kama ni tatizo jipya kwa dunia sasa swala la ugaidi,labda hapa kwetu. Hapa kwetu kusema mbowe ni gaidi ni kama vile tunajidanganya, kama huo ugaidi ni huu...
 14. Pendael24

  Motivational quotes

 15. Pendael24

  Motivational quotes

 16. Pendael24

  Motivational quotes

 17. Pendael24

  Motivational quotes

 18. Pendael24

  Jinsi mapenzi yalivyofanya ufalme wa Egypt/Mizraim kuanguka na kusambaratika

  Tukiachana na kichwa cha mada na hitimisho lake, hii mada ina mambo mengi ndani yake ambayo yanaweza kuzaa mada nyingi sana. Nimevutiwa na hio ya wajeisuit kumiliki karibu vitabu vya maarifa vyote vya dunia. Ila hakuwa na wasiwasi na upeo wa maarifa kwa wanazuoni wa kikatoliki, lau kama...
 19. Pendael24

  Vituko mitandaoni. Tupia chako

  Umenikumbusha nilivyokuwa darasa la tatu tulipangwa wanne kwa dawati moja bahati mbaya dawati zote zikaenea nikabaki mimi pekee yangu, mwalimu akaniambia nitafute dawati lolote nikae. Kila mtu alinikataa nikakaa chini, jumapili nikaenda shuleni nikaenda darasa la saba kule ni kuchukua dawati...
 20. Pendael24

  Wasichana wengi walokole wanahusudu sana wanaume wahuni

  Mapenzi ni baina ya me na ke, sasa aliyefanya mapenzi kuwa sio ni me au ke?
Top Bottom