Search results

 1. J Mbungi

  Plot4Sale Viwanja Vizuri Sana (Kerege CCM) Milion5 Tu

  Wapendwa Wana jamvi. KARIBU tuijenge TANZANIA pamoja. Tuna plot mpya ya viwanja maeneo mazuri ya KEREGE- CCM) bagamoyo. Kwa wanao ifahamu Kerege-ccm Kuna barabara ya "Nyakahamba inayotokea hapo Kerege kuelekea mpaka kibaha" Ni kilometa moja Na nusu(1.5KM) kutoka Kerege CCM..barabara...
 2. J Mbungi

  Kiwanja Bei rahisi MILION 4 Na nusu (Msigani-DSM)

  Kwa yeyote mwenye Pesa mkononi aje nimuuzie kiwanja kizuri 20X20 maeneo ya Msigani( ukitokea barabara ya scout-flamingo,( madale) Milioni 4 na nusu Nina dharura ya kutatua Kwa haraka ndiyo maana nakiachia Kwa Bei hiyo. Sitaki madalali... WASILIANA. Na Mimi moja Kwa moja 0784355775)
 3. J Mbungi

  Gari inahitajika (Forester, Voltz, Xtrial, Vanguard au Alex) offer yangu Million 8

  Natafuta Gari aina zilizo tajwa hapo juu.(Gari inahitajika (Forester, Voltz, Xtrial, Vanguard au Alex) Offer yangu Million 8.) Gari iwe nzuri haijawahi kupata ajali na iwe kwenye hali nzuri). Of course fundi wangu atakagua gari vizuri kabla ya kufikia muafaka. Napendelea rangi hizi (black...
 4. J Mbungi

  Engine Ya Subaru inahitajika

  Natafuta Engine ya Subaru. Aina ya subaru ni; "Subaru cross sport SG5 turbo" Mwenye Yuko na store ya vipuri vya magari tuwasiliane...nimtembelee ofisini kwake. Nipo dar es salaam +255784355775
 5. J Mbungi

  INAUZWA Baiskeli safi Mountain bike 150,000/=

  Kama una laki 1 nitafute. (0784355775)
 6. J Mbungi

  INAUZWA Baiskeli safi Mountain bike 150,000/=

  Mwenye anataka baiskeli nzuri kabisaa mountain bike gear 9( nyuma6 na mbele3) Ipo clean Kama Inavyoonekana . Ipo Dar es salaam. Bei 150,000/ RISITI YAKE IPO (iliagizwa toka Zanzibar) Mwenye kuhitaji anipigie au Ani WhatsApp +255 784355775 - Mr Mbungi
 7. J Mbungi

  Laptop inauzwa bei nafuu HP probook 350,000/

  Wapendwa Wana jamvi, Nimeamka na dharura ya kumsafrisha mgonjwa na Mambo yangu siyo mazuri. Nalazimika kuuza laptop yangu( Kama unaweza nisaidia kupata mtu wa haraka wa kuniokoa) Walau kufikia jioni niwe nimepata mteja. Specifications za laptop" 👉HP probook 👉Hard disck 400GB 👉Processor...
 8. J Mbungi

  Plot4Sale Viwanja bei nafuu sana - milioni 4tu! "20X20" (Vipo Kerege CCM-njia ya Bagamoyo)

  Karibu tulijenge taifa pamoja Tuna viwanja vizuri kabisa, maeneo ya Kerege -CCM ( mita 900 tu kutoka barabara ya lami inayoelekea bagamoyo." Mkono wa kushoto" Viwanja vipo kwenye mtindo wa plot za 20X20, na eneo lipo kwenye hatua za urasmishaji .Ukitaka eneo kubwa unaweza kuunganisha...
 9. J Mbungi

  Machine ya kuosha magari/pikipiki/bajaji inahitajika

  Natafuta car wash machine ya umeme. Mwenye details anitafute +255784355775 DAR ES SALAAM /ZANZIBAR
 10. J Mbungi

  Nyumba mpya ya kisasa inauzwa DSM Madale Mwisho 21,000 (48,000,000)

  Siwezi kujua wengine wanauza kwasababu zipi. LA kwangu Mimi Madale ni sehemu moja nzuri sana ya kuishi na hakuna complications za namna yoyote. Ila Mimi kama ningekuwa naendelea kuishi dar, basis ni madale tu..au hata ikinibidi kurudi dar, basi nitarudi maeneo ya madale. Ila kwasasa naamia...
 11. J Mbungi

  Nyumba mpya ya kisasa inauzwa DSM Madale Mwisho 21,000 (48,000,000)

  Sababu mbona nimeka.. Naama Dar es salaam. Naamia mkoani.
 12. J Mbungi

  Nyumba mpya ya kisasa inauzwa DSM Madale Mwisho 21,000 (48,000,000)

  *NYUMBA MPYA YA KISASA INAUZWA DSM-MADALE MWISHO $21,000 (48,000,000)* Karibu wadau "Hii ni nyumba mpya kama inavyoonekana kwenye picha Ipo Dar es salaam - Madale mwisho..barabara ya kuelekea MBOPO (Njia panda ya Msumi-Mbezi). Bei ni dola *$21,000* au *Milioni 48 za kitanzania* )..(Maongezi...
 13. J Mbungi

  Mini Fridge/frizeer nzurii kabisaa inauzwa rahisi kabisaaa 200,000/= NET

  ☝☝☝ Mini fridge/frizer. Nzuri kabisaaa Inauzwa.. *200,000/TZS net...(* IPO madale mwisho -DAR ES SALAAM" Contact: 0784 355775
 14. J Mbungi

  Viwanja vilivyopimwa Madale Kwa Kawawa (20X20) Millioni 12 Tu!

  Being nimeweka kwenye kichwa cha habari.. Ni milioni 12 ..ila ngoja na ndani niweke..ahsante kwako ushauri
 15. J Mbungi

  Viwanja vilivyopimwa Madale Kwa Kawawa (20X20) Millioni 12 Tu!

  Wadau wa Jamvi ili KARIBU tuendelee kulijenga taifa letu. VIWANJA NI MILIONI 13 MPAKA 12 (UKUBWA NI 20X20) kwa vile site ni mpya hata kama unataka eneo kubwa ubaweza pata kwa kuunganisha VIWANJA zaidi ya kimoja..(na majadiliano yatakuwepo) Tumekuwa tukiuza viwanja maeneo mbali mbali ya jiji LA...
 16. J Mbungi

  Lenovo mini Laptop kwa bei poa kabisaa(280,000)

  Njoo kwa direct call/whatsapp +255762466293. Nitakutumia wala haina shida. Ukifuatlia post zangu utajua kuwa Mimi so mgeni hapa jamvini..hivyo uhakika wa kukutumia laptop yako hupo tulishaelewana.
 17. J Mbungi

  Lenovo mini Laptop kwa bei poa kabisaa(280,000)

  Haina shida nakutumia.. Ukifuatilia post zangu Mimi ni MTU muaminifu na ninayetambulika kwa utambulisho kamili..(siyo majina bandia na picha yangu unaiona. Kama hupo mkoa wowote nitakutumia kwenye basi itakufikia. Ila Sasa itabidi uongeze japo elf20, inisaidie kukutumia hiyo laptop...
Top Bottom