Search results

 1. aise

  Kama una friji na brenda nyumbani kwako pitia hapa kidogo tuzungumze

  Wale wote ambao hukumu dhidi ya Sabaya imewaumiza, poleni sana. Lakini pia hongereni sana wote ambao hukumu hiyo imewafanya muweke meno yenu yote 32 nje. Nitoe pole pia kwa tatizo la kukatika katika kwa umeme. Lakini pia natoa hongera nyingi kwa wauzaji na mawakala wa kuuza majenereta kwa...
 2. aise

  Airtel kuna tatizo gani leo?

  Wakuu nimenunua vocha na nikaiweka kwenye laini yangu ya Airtel bila matatizo, Cha ajabu nataka kujiunga inakataa, inasema nijaribu baadae! Nimejaribu mara nyingi bila mafanikio. Nimejaribu kuuliza watu wa karibu nao pia inagoma kufanya kazi. Hofu yangu ni salio nililoweka. Hata kwenu...
 3. aise

  Nimevunja kibubu muda huu, siamini nilichokikuta ndani

  Dah, yaani hapa wakuu natamani kucheka wakati ni jambo la hovyo limetokea. Siku ya tarehe 3 mwezi huu, ni juzi tu hapo niliamua kununua kibubu na nikaanza kuweka visenti vyangu ninavyopata kazini, kazini nalipwa kwa kila siku, nikaona hela nayolipwa kwa siku ni nyingi na nikajiapiza kuwa...
 4. aise

  Anayopitia mdogo wangu wa kike siyo sawa na umri wake, inaniumiza sana...

  Ni mdogo wangu wa kike, anayoyapitia yananiumiza mimi kama kaka yake. Najiona mwenye hatia ndani ya nafsi. Wazazi wetu walifariki na kutuacha tukiwa wawili, tukiwa wadogo. Mimi kama kaka niliingia mtaani na nikaishi mtaani kama chokolaa, nilishuhudia na kujionea ni namna gani wanadamu walivyo...
 5. aise

  Laxative ni nini na inasaidia kitu gani?

  Naomba maelezo nini maana ya Laxative? Laxative ina madhara? Laxative ina faida yoyote? Nimeuliza Google lakini naletewa maelezo kwa lugha ya malkia.
 6. aise

  Inawezeka kufanikiwa bila kurithi mali za wazee au za ndugu wengine?

  Hivi kweli mtu darasa la saba, mtoto wa mkulima mjukuu wake mkulima, inawezekana kufanikiwa kiuchumi bila kubebwa? Kuna mtu anaweza kuthibitisha hili? Mafanikio nayozungumzia hapa ni walau kuwa na billions za Kitanzania.
 7. aise

  Nikiwa mdogo nilisikia watu wakisema 'Sina hata mia' nikadhani wanatania. Kumbe ni kweli hii kitu ipo

  Yaani nilikuwa nikisikia mtu anasema 'hapa sina hata mia kabisa' , niliona kama utani hivi. Lakini kumbe hii kitu ipo kabisa wakuu! Be careful.
 8. aise

  Kutumia mianzi kama mbadala wa nondo

  Hapa nazungumzia ile mianzi migumu, sina hakika na jina ( Bamboo) Nimekuta ujenzi unaendelea. Nashindwa kuweka picha.
 9. aise

  Naomba link ya ule uzi unaozungumzia jinsi ya kupata namba za simu zilizopotea wa FB

  Nimepoteza simu wakuu, kuna namba muhimu sana humo. Kuna uzi niliuona humu ukiwa na maelezo (link) ya kupata namba kupitia Facebook. Msaada.
 10. aise

  Serikali ikitoa milioni 50 tatizo la Umasikini Tanzania litaisha

  Takwimu zinasema watanzania idadi yetu ni milioni 50 Bila shaka serikali inaweza ikasaidia kukazua vyuma kwa kutoa milioni 50 Ambapo hapo sisi kama taifa tuna uhakika wa kila mwananchi kujipatia milioni moja keshi kabisa iliyokamilika. Hesabu zinakuwa hivi; Pesa taslimu milioni 50...
 11. aise

  Treni ya Dar - Kigoma yashindwa kuendelea na safari yake, chanzo kikiwa ni mvua

  Hali iliyopo sasa hivi hapa kwa Ndugai ni kwamba, mvua zinazoendelea kunyesha hapa na pale katika maeneo mengi ya nchi, imepelekea usafiri wa treni kusimama kwa muda usioeleweka mpaka hapo hali ya Reli itakapokuwa sawa. Reli imefunikwa na maji kiasi cha kutoruhusu Treni kupita. Ikumbukwe Treni...
 12. aise

  Pasaka kwangu bwana, ilikuwa hivi

  Kwanza binafsi huwa "sina shobo na sikukuu" Ila sasa msimu huu nami nikaona si vibaya japo nikienda sawa na wenzangu (Maana ukienda kivyako unaweza onekana ni mchawi) Basi bwana, nikasema, mimi pia siku ya sikukuu nibadiri japo "Jiko na Chungu" Kama ada sikukuu ikafika, nikajichomeka sehemu...
 13. aise

  Habari wana JamiiForum

  Honestly, i can speak straight english. But i can't say i'm good enough. I have flaws. Lots of it. My grammar sucks, my vocabulary is sometimes limited, my usage of words can sometimes be inappropriate and incoherent to the idea i intend to impart. But let me tell you that there are enough rooms...
 14. aise

  Dewj amesema TP Mazembe wanafungika huko kwao vizuri tu

  Mfanyabiashara na mdhamini wa zamani wa Simba, Azim Dewji ameitabiria makubwa klabu hiyo katika mchezo wa marudiano wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya TP Mazembe ya DR Congo mwishoni mwa wiki hii huko mjini Lumbumbashi. Amesema Simba ya mwaka huu ni `moto’ na ina uwezo wa...
 15. aise

  Kenya.kuna njaa sana, ila kuna kundi liko mitandaoni wakijifariji kuwa Kenya njaa hakuna

  Zaidi ya watu 800,000 wanaendelea kuumia kwa makali ya njaa na kiu kwa mujibu wa wizara ya kudhibiti majanga na utumishi wa umma ya kaunti ya Turkana. Huyu ni mama Audan Loteng' Takwa aliye na umri wa miaka 63. Anaelezea masaibu anayopitia yeye na wanakijiji wenzake ambao wanahofia huenda...
 16. aise

  Hii hapa tofauti ya mchaga na mhaya pindi wakipata kazi

  Mchaga hata apate kazi bank bado atasema yupo kibaruani . Acha sasa mhaya apate kazi katka mashine ya kusaga na kukoboa; utaskia i work as a crucial engineer in a monocotyledon finalizing company.
 17. aise

  Utafiti; Wakenya wengi wanaamini uhuru Kenyatta hawezi vita dhidi ya ufisadi

  Watu wawili katika kila watatu nchini Kenya (theluthi mbili) wana amini Rais Uhuru Kenyatta hawezi kupambana na ufisadi nchini humo. Ripoti iliyotolewa na Shirika la Utafiti la Twaweza nchini humo inaonyesha Wakenya wengi wana amini vita hivyo havitafanikiwa kwani baadhi ya viongozi wa Serikali...
 18. aise

  Mwenzenu nimetekwa nyara na shangingi

  Yalinifika ya mwaka, kule mbali kiungani, gari liliharibika, nikitokea kazini, usiku ulipofika, nikapata mhisani, kumbe ninatekwa nyara, na shangingi mswahili.. Kwake nikapumzika, kajua na msalani, kinywaji niliposhika, kumbe kina kungu ndani, pindi nikazuzulika, nikajilaza kitini, kumbe...
 19. aise

  Raha ya kupanga chumba kimoja

  Unajua bwana kila kitu kina raha na karaha zake. Sasa kupanga na kuishi ndani ya chumba kimoja, kuna raha na karaha zake pia. Kwa ufupi karaha zake ni kama pale itokeapo ukapata ugeni jinsia tofauti na wewe (siyo mpenzi wako) hapo lazima kichwa iwake Tukirudi kunako raha za kupanga chumba...
 20. aise

  Ikiwa wazazi wangu hawakubahatika kupata mtoto, mimi nitapata mtoto?

  Hivi kama baba na mama hawakubahatika kupata mtoto, Mimi nitaweza kupata mtoto? ...Ninatatizika na swala hilo wakuu!
Top Bottom