Search results

 1. J Mbungi

  Plot4Sale Viwanja Vizuri Sana (Kerege CCM) Milion5 Tu

  Wapendwa Wana jamvi. KARIBU tuijenge TANZANIA pamoja. Tuna plot mpya ya viwanja maeneo mazuri ya KEREGE- CCM) bagamoyo. Kwa wanao ifahamu Kerege-ccm Kuna barabara ya "Nyakahamba inayotokea hapo Kerege kuelekea mpaka kibaha" Ni kilometa moja Na nusu(1.5KM) kutoka Kerege CCM..barabara...
 2. J Mbungi

  Kiwanja Bei rahisi MILION 4 Na nusu (Msigani-DSM)

  Kwa yeyote mwenye Pesa mkononi aje nimuuzie kiwanja kizuri 20X20 maeneo ya Msigani( ukitokea barabara ya scout-flamingo,( madale) Milioni 4 na nusu Nina dharura ya kutatua Kwa haraka ndiyo maana nakiachia Kwa Bei hiyo. Sitaki madalali... WASILIANA. Na Mimi moja Kwa moja 0784355775)
 3. J Mbungi

  Gari inahitajika (Forester, Voltz, Xtrial, Vanguard au Alex) offer yangu Million 8

  Natafuta Gari aina zilizo tajwa hapo juu.(Gari inahitajika (Forester, Voltz, Xtrial, Vanguard au Alex) Offer yangu Million 8.) Gari iwe nzuri haijawahi kupata ajali na iwe kwenye hali nzuri). Of course fundi wangu atakagua gari vizuri kabla ya kufikia muafaka. Napendelea rangi hizi (black...
 4. J Mbungi

  Engine Ya Subaru inahitajika

  Natafuta Engine ya Subaru. Aina ya subaru ni; "Subaru cross sport SG5 turbo" Mwenye Yuko na store ya vipuri vya magari tuwasiliane...nimtembelee ofisini kwake. Nipo dar es salaam +255784355775
 5. J Mbungi

  INAUZWA Baiskeli safi Mountain bike 150,000/=

  Mwenye anataka baiskeli nzuri kabisaa mountain bike gear 9( nyuma6 na mbele3) Ipo clean Kama Inavyoonekana . Ipo Dar es salaam. Bei 150,000/ RISITI YAKE IPO (iliagizwa toka Zanzibar) Mwenye kuhitaji anipigie au Ani WhatsApp +255 784355775 - Mr Mbungi
 6. J Mbungi

  Laptop inauzwa bei nafuu HP probook 350,000/

  Wapendwa Wana jamvi, Nimeamka na dharura ya kumsafrisha mgonjwa na Mambo yangu siyo mazuri. Nalazimika kuuza laptop yangu( Kama unaweza nisaidia kupata mtu wa haraka wa kuniokoa) Walau kufikia jioni niwe nimepata mteja. Specifications za laptop" 👉HP probook 👉Hard disck 400GB 👉Processor...
 7. J Mbungi

  Plot4Sale Viwanja bei nafuu sana - milioni 4tu! "20X20" (Vipo Kerege CCM-njia ya Bagamoyo)

  Karibu tulijenge taifa pamoja Tuna viwanja vizuri kabisa, maeneo ya Kerege -CCM ( mita 900 tu kutoka barabara ya lami inayoelekea bagamoyo." Mkono wa kushoto" Viwanja vipo kwenye mtindo wa plot za 20X20, na eneo lipo kwenye hatua za urasmishaji .Ukitaka eneo kubwa unaweza kuunganisha...
 8. J Mbungi

  Machine ya kuosha magari/pikipiki/bajaji inahitajika

  Natafuta car wash machine ya umeme. Mwenye details anitafute +255784355775 DAR ES SALAAM /ZANZIBAR
 9. J Mbungi

  Nyumba mpya ya kisasa inauzwa DSM Madale Mwisho 21,000 (48,000,000)

  *NYUMBA MPYA YA KISASA INAUZWA DSM-MADALE MWISHO $21,000 (48,000,000)* Karibu wadau "Hii ni nyumba mpya kama inavyoonekana kwenye picha Ipo Dar es salaam - Madale mwisho..barabara ya kuelekea MBOPO (Njia panda ya Msumi-Mbezi). Bei ni dola *$21,000* au *Milioni 48 za kitanzania* )..(Maongezi...
 10. J Mbungi

  Mini Fridge/frizeer nzurii kabisaa inauzwa rahisi kabisaaa 200,000/= NET

  ☝☝☝ Mini fridge/frizer. Nzuri kabisaaa Inauzwa.. *200,000/TZS net...(* IPO madale mwisho -DAR ES SALAAM" Contact: 0784 355775
 11. J Mbungi

  Viwanja vilivyopimwa Madale Kwa Kawawa (20X20) Millioni 12 Tu!

  Wadau wa Jamvi ili KARIBU tuendelee kulijenga taifa letu. VIWANJA NI MILIONI 13 MPAKA 12 (UKUBWA NI 20X20) kwa vile site ni mpya hata kama unataka eneo kubwa ubaweza pata kwa kuunganisha VIWANJA zaidi ya kimoja..(na majadiliano yatakuwepo) Tumekuwa tukiuza viwanja maeneo mbali mbali ya jiji LA...
 12. J Mbungi

  Lenovo mini Laptop kwa bei poa kabisaa(280,000)

  Nauza laptop yangu nzuri kabisa(well handled) Processor-1.5, RAM -4GB ,HARD DISC 320GB. with WEBCAM Mwenye kuhitaji anitafute call/whatsapp 0762466293(currently nipo Zanzibar ila naweza kukuletea Dar tukishakubaliana)
 13. J Mbungi

  Mkopo wa haraka unahitajika.(3, 000,000)"Dhamana hati ya kiwanja (Madale-Dsm)

  Wapendwa wana jamii forums, wanangu yamekwama kurudi shule, na njia ya haraka kujinasua ni kuomba msamaria mwenye uwezo wa kunikopesha 3M..ndani ya miezi3 namrejeshea na riba atayohitaja.. Kiwanja kina hati halali ya mauzia no(Kiwanja kipo Madale mwisho na thamani ya kununulia kiwanja ilikuwa...
 14. J Mbungi

  KARIBU KARIBU VIWANJA VYA UHAKIKA-[MADALE MWISHO MPAKANI NA GOBA] MILION 8 TU!

  Karibuni tujenge taifa letu. ukubwa wa viwanja ni 20X20 ukitaka eneo kubwa una unganisha viwanja.BEI NI MILION 8 Kwa walio wengi wanajua nikipost humu kuhusu viwanja namaanisha nini..[viwanja vya uhakika visivyo na mizengwe toka kwa wamilki wenye sio madalali-maana wapo wateja wetu wengi...
 15. J Mbungi

  Pata kiwanja kwa bei nafuu kabla vyuma havijakaza zaidi! (6m - 9m) Madale-DSM

  Karibu tuwauzie Viwanja Vya uhakika, kabla Vyuma havijakaza zaidi. Tuna Viwanja Vizuri sana Maeneo Ya Madale (Mbopo - Ukipita Kidogo tu Kwa Kawawa) - Milion 6 Tu ! UKUBWA WA MITA 20X20 Pia tunavyo vya milioni 9 Madale huko huko MADALE,lakini maeneo ya karibu na Wazo ukipita tu Center Ya...
 16. J Mbungi

  Natafuta laptop (budget yangu 250,000)

  Mwenye Laptop Toshiba, HP au Samsung..Hard Disk isipungue 250GB na Ram Japo 3GB Tuwasiliane NIPO Zanzibar Kwasasa.. +255 762 466 293
 17. J Mbungi

  Spacious Office & Commercial Halls 1000+ Sqm $16 per Sqm (All Inclusive)!

  Highly Suitable for Multinationals, Medical/Educational institutions, real estate agencies, NGOs Investment center. Just situated along Morogoro Road in Ubungo Plaza Building.With ample parking with high security (over 400 hundred cars parking area.
 18. J Mbungi

  Pata Viwanja bei rahisi na uhakika (4 - 13.5M)..Bunju darajani, Madale kwa kawawa/njiapanda

  Wana JF Karibu tulijenge taifa. Sasa tuna malizia viwanja vyetu na bei zetu zinashuka kidogo. tunataka tufanye issue zingine. Mimi si mgeni hapa jamvini kwa wale ambaO waisha nunua viwanja kwetu na kujenga, pia mnaweza kuongea au kuwa taarifu marafiki zenu ambaO pengine wakati ule walisindwa...
 19. J Mbungi

  Plot4Sale Viwanja Vya Uhakika Madale, Njia panda Ya Nguzo na kwa Kawawa.7M - 15M

  Karibu wadau, Hii ni site Plot Mpya baada ya Kumalizia Bunju mwisho/Mingoi. Tuna VIWANJA vya ukubwa mbali mbali 20X 20, 21 X 28 , 24 X 30 NK Kama kawaida hivi si viwanja vya udalali..Unanunua Kwetu wamiliki(Kwa ambao wameisha nunua na walipata viwanja hivyo kupitia JF yetu, watakueleza Mimi...
 20. J Mbungi

  Viwanja murua (Madale kituo kipya cha polisi/maarufu njia panda ya nguzo) 11m-13m, Karibu!!

  (WADAU WALIO OMBA PICHA HIZO HAPO!!) Kwa mara nyingine, tunabadilisha matumizi ya mashamba kuwa plot za kujenga. tulikuwa na shamba bunju Mingoi, Madale kwa kawawa..Na sasa tumeamua kutoa hivi viwanja "Potential area"" Kwa wanao fahamu Madale hapa ni barabarani kabisa, ukitokea center ya...
Top Bottom