Search results

 1. The only

  Mademu wakali na baa nzuri Nairobi

  Mimi mtanzania nina kazi yangu kama ya mwezi ntakuwa hapa . Tatizo sijui jiji hili raha mnakula wapi hela ninazo sijui pa kwenda kidogo nilienda nairobi west baa inaitwa alaska nikahisi nipo dar mitaa ya sinza.
 2. The only

  Ewe Mama Ng'ombe za Nyakanazi za mnada hewa zilizo chato zirudishiwe wenyewe

  Mkuu! Nakusihi ewe Tumaini letu uchunguze hili kupitia vyombo vyako urudishe tabasamu la wafugaji wa ngombe za nyakanazi. Mkuu zilikamatwa ngombe nyingi ambazo ziliingia eneo la maliasili (Japo wao wanakataa) Maafisa wakazikamata inasemekana kwa maagizo toka juu zikapigwa faini kubwa sana...
 3. The only

  Picha za Hayati Magufuli zitolewe maofisini

  Jana nilikuwa na shida kwa mkuu wa wilaya fulani hapa musoma cha ajabu nkakuta juu kuna picha ya Mh Magufuli Nashauri ziondolewe mara moja kwani ni ishara ya kutokuwa watiifu kwa Rais mpya Samia Suluhu Aidha kwa wale wanaompenda inawatonesha kidonda na pia inaonesha Serikali haina mikakati...
 4. The only

  Anguko kuu la CCM litatokana na kutenganisha kofia ya uenyekiti na Urais

  Wakuu nachofanya mimi ni uchambuzi wangu huru ,TUTAFAKARI! Ni wazi mabadiliko ya mkuu wa nchi ni hatari na neema kwa makundi mbalimbali maslahi kimaslahi ,Mfano leo wapinzani kwa mara ya kwanza wanapata wasaa wa kutoa dudku duku zao mbazo wasingepata fursa hiyo kwa muongo mzima wa JPM hapo...
 5. The only

  Mshahara wa March

  Nahisi utachelewa sana kutokana na janga zito lililotukumba mlio serikalini kuweni wavumilivu
 6. The only

  Tusisumbue ndugu zetu wenye uwezo Hali ngumu kwa Kila mtu

  Wakuu katika ujuzi wa uogeleaji ukiwa unataka kumuokoa mtu asiyejua kuogelea unatakiwa uniache Kwanza maji yamlegeze lasivo akikukamata hatokuachia mpaka mfe wote.maana we unakuwa tumaini la mwisho kwake. Hali Ni mbaya kabisa kwa uchumi wa mmoja mmoja asubuhi hii nimepigwa mizinga 7 ya watu...
 7. The only

  Moze Iyobo unaenda kupotea usiposikia hili wazo

  Mimi ni shabiki wa huyu mwamba wa dance pale WCB. Mose mdogo wangu umejiachia sana unene na kitambi. Kama unataka mema kwenye kazi yako hima hamia gym na anza diet. Dancers wazuri kama Michael Jackson, Usher, Chris Brown huwa hawana vitambi kama wewe. Nimeambatanisha picha za video mpya ya...
 8. The only

  Wanaume wenzangu mnafeli kuendekeza marafiki kuliko wapenzi wenu

  Jamii yetu inapitia kipindi kigumu cha kucopy na utandawazi ,technology etc.Hii imepelekea janga kubwa la Vijana hususani wa kiume (na baadhi wakike ) wenye mahusiano kuiga hulka za vijana wa maghalibi kupenda kutumia muda wao na marafiki (Washkaji /Masela) zaidi ya wapenzi wao . Marafiki ni...
 9. The only

  Ndugu wanavyoweza kuwa adui wa kutajirika kwako

  Baada ya kusoma kwa kuunga unga kwa msaada wa ndugu jamaa na marafiki nilifanikiwa kufaulu chuo kikuu na kumaliza kwa grade nzuri by then kazi enzi za mkapa zilikuwa bwerere, nikakamatia kazi nikaanza kuishi maisha niliyokuwa nayaona kwa bongo muvi nikakopa ka gari nikapanga sinza ,kamata pisi...
 10. The only

  Punyeto hupelekea biashara kufa

  MASTURBATION: Please don't sleep or go to bed without reading this special message, trust me you will be helped and your life will change for better. THE GREATEST DEMON ON EARTH. IF YOU MASTURBATE, YOU WILL BE POOR FOREVER UNLESS YOU ARE DELIVERED. So take your time to read this. Refuse to...
 11. The only

  Naomba ushauri wa namna ya kutatua tatizo la mpangilio wa meno wa mtoto huyu

  Huyu binti ana 5 years tuu .je nini kifanyike? Sent using Jamii Forums mobile app
 12. The only

  Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

  Hapa Waziri wa Elimu, Profesa Ndalichako akitoa maagizo ya kukamatwa Mhandisi Mchina. KWA WASIOSIKIA VIZURI AMESEMA ‘’Advance payment ya hi nanii milioni mia moja hamsini ,your going to stay on the cell until you provide serious explanation on matter ,because now you cannot play with the...
 13. The only

  Sherehe za mwisho wa mwaka 2019 kudorora/kutochangamka: Je yaweza kuwa kigezo cha uchumi kudorora?

  Enzi za Nyerere sijaziishi ila skukuu za kuazinzia awamu wa mwinyi hadi kikwete siku hizi zilikuwa na vurugu nyingi wananchi walistarehe sana. Kwa mkoa wa Dar mitaa kama Sinza ilikuwa shangwe la hatari, kila rafiki ukimpigia amelewa chakari au wasio tumia kileo yuko mahotel makubwa leo...
 14. The only

  Naomba CCM inisamehe kwa dhati

  Naanza kwa kumpongeza Raisi wangu mpendwa JPM Kwa utendaji wake yakinifu,hakika Katiba yetu haiko vizuri mkuu alistahili uraisi hata kama si wa milele basi walau mika 25. Napenda kuwahakikishia mimi sifanyi kazi tume ya vya haki za binadamu na sio mwandishi wa habari za kumghasi mheshimiwa ,na...
 15. The only

  Jinsi ya kuvunja urafiki bila UADUI

  Kwenye maisha unapata marafiki mbalimbali wanaokupa experience nyingine, mashauri, upendo na hata msaada kiuchumi. Marafiki huwa ni zawadi toka kwa muumba ndo maana huwezi pata rafiki kwa kumnunulia bia lazima muwe na natural meet of mind. Lakini jambo moja hatulijui, ni Je marafiki huja...
 16. The only

  Nanunua Land Rover TDI

  Nanunua landrover TDI za zamani hata Namba A ,Burget yangu Tshs 1.5 - 4 milion integemeana na hali ya gari husika ,iwe tu inatembea mengine INBOX Asante
 17. The only

  Uzi wa kupeana connection za pamba kali

  Kuna pamba unaziona mtu kavaa town unajiuliza hivi wanazitoa wapi? Mfano mimi natafuta full jeans nyeusi nimeulizia nimeshindwa ukiingia ebay manguo mabayaaaa, huwa naopti mtumba grade 1 nawapa madogo wa pale Karume ofa nzuri wapambane. Pia natafuta leather trouser nyeusi na brown na mapigo...
 18. The only

  Uchaguzi umeua upendo wa Watanzania kwa Selemani Jafo (Character assassination)

  Najiuliza, je ni mpango maridhawa wa baadhi ya wanao muogopa? Maana majina yaliyokuwa yanahusishwa na kumrithi JPM ni huyu bwana. Mh Majaliwa na Mh Lukuuvi hawa wajanja wawili kukiwa na jambo la kuboronga sana huwa wanakaa kimya si kwa bahati mbaya wanacheza bila kuharibu taswira yao kwa...
 19. The only

  Jamani nimelogwa nini?

  Kuna manzi mmoko nikuwa natafunemo kisela zile za nikimkuta mahali anaweza ntumia sms leo uschukue demu nakupa mm na naweza muona na mtu ,mnyama navunga anajifanya anatoka kuongea na cm na mla ,ckuingine ananiambia asee leo kaa mbali na mimi huyu ndo daddy (mliwa hela ) mnyama navungu nakula bia...
 20. The only

  Bifu la Mondi na Harmonize linammaliza Ali Kiba

  Mondi alikimbia sana badae kugeuka nyuma anakuta haoni mwanariadha mwenzie kukawa hamna namna bali kumuua Alikiba kwa kumtengeneza adui wa kuzuga Harmoniser lakini mwisho wa siku nia ni kuteka soko lote Hivi kampuni za mtu mmoja zaweza gombana ? amkeni ! amkeni ! Ila hakuna mashabiki wenye roho...
Top Bottom