Search results

 1. Mnyenz

  Ushauri: Nini kifanyike ili kupunguza adha ya usafiri pale stendi ya Mwenge kwenda Goba na Bunju

  Hivi ulishawahi kujiuliza ni kwa nini unaweza kuona daladala haina abiria hata mmoja, lakini inapita kituoni (hasa vituo vya mwisho) bila kupakia wakati hapo kituoni mpo abiria kibao wa ruti ya gari hiyo, lakini konda hafungui mlango anapita anaenda kupakilia vituo vya mbele? Kama ulikuwa hujui...
 2. Mnyenz

  Utalii: Ni muda muafaka wa kuifanyia mabadiliko noti ya elfu kumi

  Katika harakati za kuhangaika kukuza utalii, nafikiri tungejaribu kuwaza na hili jambo, huenda likatusaidia kwa namna moja au nyingine kama nchi. Ukizitazama noti zetu utakuta kila upande una picha tofauti ambayo kwa namna moja au nyingine ina maana yake. Picha hizi kwa namna yake huutangaza...
 3. Mnyenz

  Ajali ya Mto Wami: Dereva aliekuwa anaendesha lori la mbele ashitakiwe kwa kusababisha ajali

  Mtu anaetakiwa kushtakiwa katika tukio lile ni dereva wa lori lililokuwa mbele ya hili lililotumbukia. Ukisikia anavyosimulia anasema kwamba, alivyoona roli la nyuma linakuja kwa kasi, akajua ya kwamba tayari limefeli breki hivyo akaamua na yeye kusimama kwa ghafra na kuvuta hand brake ili...
 4. Mnyenz

  Leo katika historia yangu miaka mingi iliyopita, nilivyousumbua mtaa mzima usiku wa manane

  Katika makuzi yetu tunapitia changamoto nyingi sana, tunapitia moments/vituko ambavyo ni ngumu sana kuzisahau hicho ni kituko changu nilichowahi kukifanya miaka fulani nikiwa katika foolish age, kama nawe unacho changia. Baada ya kumaliza kupuliza nilienda ndani kulala, baada ya kuingia ndani...
 5. Mnyenz

  Leo nimewalowesha abiria woote waliokaa upande wangu

  Jamani hebu tuweni siriaz walau katika masuala yetu muhimu kama AFYA Leo nimepanda jumla daladala tofauti 5, kwa kuwa hali ya hewa leo ni mvua basi unakuta mijitu imefunga vioo vyote, mpaka vioo vinaleta ukungu, mnajikuta woote ndani ya daladala mnashea hewa inayozunguka mle mle ndani, ukitaka...
 6. Mnyenz

  Idea hii mnaionaje?

  Huko Duniani hata hapa Tz tumekua tukishuhudia mastaa wengi wakiwa na REALITY TV SHOW, mfano mkubwa kwa mbele ni ile show ya kina KIM KADASHIAN na familia yake. Huku bongo nadhani ile MAISHA PLUS ilikua ndio the best(big up kwa mwanzilishi) Sasa baada ya kuanza kushuhudia nyuzi nyingi za...
 7. Mnyenz

  Kwa namna hii naamini tutakomesha/kupunguza wizi wa kwenye ATM na mitandao ya simu

  Kuna video moja siku za nyuma ilisambaa sana ya kijana ambae alikuwa akijifanya kuwasaidia watu kwenye ATM MASHINE. Alichokuwa anafanya kijana yule ni mchezo simpo tu. Anakuja kwako wewe unaehangaika kutoa pesa(huenda sababu ya network kusumbua) kisha anajidai ni msamalia mwema, anakuelekeza...
 8. Mnyenz

  Namna hirizi ilivyookoa penzi langu

  Habari zenu wakuu! Nimekutana na thread humu ikizungumzia namna mganga alivyomtapeli baba ya mtoa mada m20+, lakini kilichonivutia kuanzisha sired yangu ni comment ya memba mmoja ambae anasema hakuna uchawi, mtu unaweza fanya ujanja tu na mambo yakajipa. Niseme tu na mie nilifanya ujanja ujanja...
 9. Mnyenz

  Wewe iliyewahi kuvuta au yule ambae hajawahi hata kuonja jaribu kupitia uzi huu huenda ukaja kuwa darasa siku zijazo.

  Mie mwenyewe bila kufosiwa nilivuta maskani (nilikua na kipimo maalum) Sasa mambo ya masifa yalipoanza nikaanza kuongeza dozi(si unajua tena kushinda shinda stand nikajiona dereva) Nakumbuka siku hiyo nilipiga kitu mpaka nikajiskia landa nyingine duniani hakuna. Nikajiona kooooonkiiiii...
 10. Mnyenz

  Sawa tumezuia mifuko ya plastic, je vipi kuhusu hili suala?

  Wote kwa pamoja kama Watanzania ninaamini tumesikia na kukubaliana juu ya katazo la Serikali yetu ya TANZANIA kuhusu matumizi ya mifuko ya nylon (plastic). Kwa mujibu wa wataalamu wetu(hata kwa akili ya kawaida tu) mifuko hii imekua na madhara mengi kwa jamii yetu kwa ujumla. Na...
 11. Mnyenz

  Kama uliwahi kukutana na balaa la mbwa wakali hebu share na sisi

  Twende kwenye mada. Kuna siku nimeenda kumsalimu mshkaji wangu kwao, Nimefika nikagonga geti sana bila majibu nikaamua kulisukuma nikaingia ndani bado naita hodiii Nilipoona ukimya umezidi nikajiongeza nikazunguka kwa nyuma(uwani) mara nyingi ndio huwa wanatumia mlango huo, lakini wakati...
 12. Mnyenz

  Sitasahau siku nilipoingia matatizoni na mamlaka ya kiserikali bila kutarajia

  Shikamooni wakubwa ! Wadogo shauri zenu. Ni muda sasa umepita tangu tukio hili litokee ila nimeamua kuwasimulia mkasa huu vizuri ili iwe funzo kwa wengine, na si mkasa huu tu bali nimeamua kila nitakapopata nafasi nitakua nawasimulia mikasa yangu niliyopitia. Nakumbuka kuna siku niliwahi...
 13. Mnyenz

  KATIKA HII REMIX, SUGU NAMPA MAKSI 100/100, ALIFANYA KITU AMBACHO HATA NGOMA ZAKE HUWA HAFANYI HIVYO.

  Nikikumbuka kipindi cha kizazi cha dhahabu katika mziki wa bongo fleva(kwa mtazamo wangu) kuna wasanii wengi walifanya vitu vikubwa na vya maana sana. Moja kati ya wasanii waliowahi kutamba na kuja kupotea ghafra alikua MIKE TEE, huyu jamaa alikua anafanya vitu simpo ila ana hakikisha anapiga...
 14. Mnyenz

  Nifanye mjakazi wako kesho tarehe 28/12/2017 bila malipo

  Habari za kwenu wakubwa kwa wadogo, poleni kwa pilika pilika za msimu huu wa siku kuu. Naomba niende kwenye mada hasa iliyonileta humu. Mimi ni kijana wa kiume umri late 20's, elimu yangu ni kidato cha nne, ninafanya kazi katika sekta binafsi hapa Dar. Japokua ni kinyume na...
 15. Mnyenz

  Nishati ya umeme chooni

  Habari zenu wakubwa kwa wadogo, bila kupoteza muda wala manjonjo naenda kwenye mada. Kipindi fulani miaka ya nyuma nilikua nikisikia sana kwamba kuna namna ambayo mtu anaweza kupata nishati ya umeme kwa kuunganisha nyaya moja kwa moja kutoka chooni. Habari hii niliisikia zama zile nakua nami...
 16. Mnyenz

  WASAMBAA PUNGUZENI USAMBAA WENU BASI

  Kuna jamaa alikua dereva wa fuso akawapa lifti wasambaa nane, akawapandisha kwenye bodi lakini akawaambia kwa kuwa sheria haziruhusu gari ya mizigo kupakia abiria tena nyuma basi itabidi wakae kimya wasiongee kitu, wasambaa wakakubaliana na yule jamaa na kuahidi kwamba watakaa kimya mpaka mwisho...
 17. Mnyenz

  Nimeamua kuwaza kwa sauti kama wewe ndio muhusika hapo

  Pata picha ni muda wa usiku kuna sehemu unaenda kuna shida muhimu sana[ mida kama ya saa sita usiku] ili uweze kwenda huko ni lazima ukodi boda boda ya kukupeleka, basi unaenda mpaka kituo cha boda boda unapofika wanakuchangamkia lakini unapotaja sehemu unapotaka kupelekwa wote kwa pamoja...
 18. Mnyenz

  Sitaki ugomvi na mtu ni masikio yangu tu

  Sitaki mengi mwenye masikio na asikie. na nyingine ni ya huyu mdogo wangu kabisaaa. NB. sitaki kuwa sehemu ya ugomvi ila nataka masikio ya watu wengine yasikie pia halafu watoe maoni yao. nahisi kama blaza OMARE kama ulichepuka flani
 19. Mnyenz

  DAWASCO

  Jamani ndugu zetu wa dawasco jiji letu pendwa la Dar limezidiwa na baridi hivyo nina ombi maalumu, tunaomba kuanzia mida ya saa kumi alfajiri mpaka saa nne asbuhi mabomba yawe yanatoa maji moto, ili wateja wenu tuoge kwa raha, kwanza ninaamini hata matumizi ya maji yataongezeka na nyinyi...
Top Bottom