Search results

 1. luangalila

  Je, ni sahihi stationary kuthibitisha loss report badala Jeshi la Polisi?

  Hii kitu nimekumbana nayo leo baada ya kujaza loss report online kisha kufanya malipo then nikafika kituo cha polisi ili waithibitishe ndipo askari niliye mkuta kituoni akaniambia nikathibitishie stationary. Je hii ni sahihi kweli jamani
 2. luangalila

  BASATA imulike tamthilia za Bongo hazina maadili

  Baraza la sanaa Tanzania niwaombe mzitazame kwa jicho la.umakini ktk muktadha wa maadili ya taifa letu, izi tamthilia za bongo ambazo zina rushwa ktk Pay tv hasa hasa za Dstv, Zile.tamthilia naona zipo nje ya maadili yetu,. Izi story message zao ni MAPENZI MAPENZ . Mavazi yao hasa ya...
 3. luangalila

  Je, unaweza date na Primary School classmate wako?

  Wadau kwema. Mwenzenu kuna manzi nilisomaga nae primary school huko Kazulamimba years ago, sasa kupitia haya ma Group ya WhatsApp mtoto wa kike tumezoeana gafla na viutani vya hapa na pale vya kuitana "mine", dear, nimetokea ku fall in love na yeye gafla, Imefikia hatua napanga...
 4. luangalila

  Uingereza iwe makini na wauguzi wa Kikenya baada ya tukio hili

  Baada ya utata kuibuka last week kuhusu utaratibu wa kuwapa ajira wauguzi wa afya toka Kenya , wiki hili limetokea tukio ambalo pengine lita ibua maswali kwa serikali ya Uingerezaa kuhusu ubora na uweledi wa manesi toka kenya Ina daiwa kijana mmoja Mkenya anaidai fidia hospitali fulan baada...
 5. luangalila

  Leo hii Nov 12, 2021 Serikali ya Uingereza imetangaza kusitisha mpango wa kuajili Manesi kutoka Kenya

  Ni takribani miezi 3 kupita baada ya Uingereza na kenya kukubaliana mpango wa kuwa ajiri wahudumu wa afya (nurses) kutoka Kenya, Leo hii Nov 12, 2021 serikali ya uingereza imetangaza kusitisha mpango huo na kisha kuhoji uhaba wa nurses ktk vituo vya afya vya kenya, ikisema Kenya inahitaji...
 6. luangalila

  USHAURI: NHC kwanini msiboreshe pale Urafiki mkajenga apartments? Ni eneo zuri kibiashara

  Wadau habari zenu ! Kila nikipita pale eneo la Urafiki zile flats pale zimesheni ofisi za makampuni ya mabasi mbalimbali, lile eneo naona ni eneo zuri na endapo NHC kama watajenga apartments (maghorofa) na maeneo ya ofisi hakika NHC watapiga sana pesa, pale ni hot cake sanaa, au yale...
 7. luangalila

  FIFA kuishushia rungu Kenya

  Kifuatiwa kitendo cha Serikali ya Kenya kuingilia Shirikisho la Mpira Kenya (FKF) na kumsimamisha Rais wa shirikisho ilo ni wazi FIFA. Mida wowote wataisimamisha Kenya , endapo Fifa wataisimamisha Kenya hapo Kesho basi timu iyo itatoa zawadi ya point tatu kwa kila timu iliyo kuwa nayo ktk...
 8. luangalila

  Kipindi cha Jambo Tanzania cha TBC kimepoteza mvuto

  Wadau habari za usiku !! Mbali na mabadiliko waliyo fanya TBC bado kituo hicho kinakosa vipindi vyenye mvuto kabisaa pamoja na watangazaji pia hawana bashasha na haiba. TBC wana kipindi kinaitwa Jambo Tanzania (Good morning Tanzania) hiki kipindi hivi karibun kimekuwa kina endeshwa kiajabu...
 9. luangalila

  DSTV hii tabia yenu mbaya muache

  Hii tabia yenu ya kipuuzi sanaa channel ya UBC Tv mnaikata gafla kwa sababu gani ? Hii tabia yenu kila mkiona stationn ya FTA inarusha matangazo ya mpira basi huwa mnaifungia (E38-32) hii tabia ina kera sanaa kama biashara imewashinda ni kheri mkasema
 10. luangalila

  Wanahabari walia na waajiri kutopeleka michango mifuko ya hifadhi ya jamii

  Giza limetanda sekta ya habari wana habari hususani wa sekta binafsi walia na waajiri kitopeleka michango katika mifuko ya hifadhi ya Jamii e.g (Nssf). Mbunge Ester Bulaya ambae kitaaluma ni mwanahabari pia, juzi bungeni aliuliza swali dogo la nyongeza kuhusu kilio cha wana habari...
 11. luangalila

  Moshi Mjini: Sanamu ya askari pale YMCA ni alama ya Historia gani?

  Wadau habarin Kwa mliowahi kuishi Moshi najua huwa mnafahamu pale round about ya YMCA ina sanamu kubwa ya Askari aliye shika silaha, kwa kipindi nilicho ishi moshi pale sikuwahi kueikia historia yenye kuelezea ile sanamu pale Je, iliwekwa kama urembo au ina maana yake kama ilivyo kwa ile...
 12. luangalila

  TBC ni kituo cha kwanza duniani kuwa na studio yenye jiko

  Wadau habari zenu !! Siku ya leo majira ya asubuhi nilioata wasaa wa kutazama chombo chetu cha habari cha taifa TBC TV katika hali ya kustaajibisha leo nikaona studio yao ina jiko kitu ambacho nimekiona cha ajabu sana,. Nimebahatika kutazama vituo kadhaa vikubwaa mfano CNN, BBC, Al jazeera...
 13. luangalila

  Siku yako ya kwanza ku drive highways ilikuwaje?

  Wadau uzi wa ku share experience yako kwa mara ya kwanza ku drive high ilikuwaje. Kwangu binafsi ilikuwa shida sana katika ku overtake yaani nilikuwa naogopa sana ila nilikuwa nikukuta road iko open nilikuwa speed sanaa 80Km/h nakumbuka nilikuwa na drive Mazda.
 14. luangalila

  TANESCO wilaya ya Kibaha ni wababaishaji sana

  Waziri Makamba Ukipata wasaa wa kupitia UZI huu basi usisite kutembelea hii ofisi ya TANESCO Kibaha. Wiki mbili zilizopita nilifika ofisi ya TANESCO Kibaha nikirejesha fomu yangu ya maombi ili niweze kupangiwa Surveyor, nikiwa pale ofisini kwao nikaona Tangazo ambalo lilihusu upimaji (surveyor)...
 15. luangalila

  JKIA (KEN) get ready for ATCL

  Final our new bird will start flying to KEN from TZ.
 16. luangalila

  Naomba kufahamishwa vitasa vizuri vya kufunga katika milango

  Wajumbe mnaofahamu Vitasa vizuri vya kifunga katika milango au pia kama kuna mtu annae fahamu duka wanalo uza vitasa vizuri vya milangoni.
 17. luangalila

  Msaada: PC (laptop) yangu screen yake imebadili rangi kuwa pink

  Habarini za Usiku wadau wa Tech Leo nimekumbana na hii scenario nawasha Pc yangunlkn muonekano wa screen sio ule wa kawaida, ina ka rangi kama ya pink flan iv sometime ina ambatana na kama mistari iv ..ningeomba watalaam mnisaidie ku share tip juu ya hili tatizo Je ni kioo kina shida au ndio...
 18. luangalila

  Airtel mnazingua huduma yenu airtel money haifanyi malipo ya serikali

  Tangu Jumatatu najaribu kufanya malipo ya serikali kupitia Airtel Money lakini malipo yana kwamba (pending) na inachukua masaa 38 kurejesha pesa a mteja ktk account yake. Huu ni uduwanzi mnatukwamisha. Airtel kama system yenu ya malipo haipo sawa ni vyema kutoa taarifa mapema.
 19. luangalila

  PVC windows gharama zake ni kubwa mno

  Wadau naomba kujuzwa hivi ni kwanini gharama za madirisha ya PVc ni juu mnoo? Na je kama kuna mtu ana connection na fundi anaye tengenezaPVC Windows kwa bei nafuu embu weka connection fasta.
 20. luangalila

  Naomba kujuzwa ubora au udhaifu wa mabati aina ya Sun Bank

  Wadau Habari za asubuhi? Nikiwa site nilitembelewa na sales team wa haya mabati ya Sun Bank. Wakajinadi sana wakidai bati zao ni bora sana mithili ya ALAF Wakasema izo bati ni popular Arusha , nikaona bora niulize humu ili kupata taarifa walau kama kuna yeyote aliyewahi kutumia izi bati
Top Bottom