Search results

 1. Murashani GALACTICO

  Tunaokutana na changamoto za uhakiki wa Vyeti vya Kuzaliwa kutoka kwenye e-Service za RITA

  Wapendwa kama title inavyojieleza hapo juu. Nimekutana na changamoto ya kuthibitishiwa cheti cha kuzaliwa cha mdogo wangu. Hapo mwanzo majibu ya uhakiki yalichelewa. Tuliwapigia bila mafanikio kwa muda mrefu. Tulikuja wapata kwa njia ya simu kuwaeleza kulikoni mbona majibu yamechelewa wakasema...
 2. Murashani GALACTICO

  Sijawahi kuona kazi za Walimu wa hisabati (TUTORIAL ASSNT) Kwenye vyuo vya kati vya UMMA na VETA

  Wadau ninekuwa naperuzi kwenye tovuti mbali mbali na blogs sijawahi kukutana na uhitaji wa waalim wa masomo ya HISABATI kwenye vyuo vya kati vya UMMA au hata VETA. Navyojua katika vyuo hivyo masomo ya hisabati yanafundishwa. Natangaza pia interest ni kwamba nina Shahada ya kwanza ya HISABATI...
 3. Murashani GALACTICO

  UTARATIBU WA MANUNUZI KWA SHULE ZA SERIKALI. NAOMBA TUFAHISHANE TARATIBU NA SHERIA ZILIVYO

  Wanajukwaa la elimu. Mm ni mtumishi mwalimu katika shule ya sekondari hapa Tanzania. Naomba kufahamu namna manumuzi ya vifaa vya kujifunza na kufundishia ulivyo kwa shule za serikali. Kwa uelewa wangu mdogo wa sheria ya manunuzi ya umma PPRA na marekebisho yake ya 2016 napata wakati mgumu na...
 4. Murashani GALACTICO

  Ushauri:Nataka kuacha kazi ya ualimu serikalini

  Wakuu naomba msaada wa mawazo yenu. Nataka kuachana na kazi ya ualimu wa serikali. Hivi sasa nafundisha sekondari ya serikali kwa mwaka mmoja sasa. Awali nilikuwa nafanya kazi katk sekondari ya binafsi iliyopo chini ya shirika la dini la katoliki. Mkuu wa shirika ameonyesha kunihitaji na kunipa...
Top Bottom