Search results

 1. Kilenzi _Jr

  Je, ni yupi?

  Mtu mmoja kauwawa kwenye rest room ya bar hapo juu kushoto je kupitia picha hii nani atakua kamuua??
 2. Kilenzi _Jr

  Story of Change Maisha baada ya chuo

  Kweli mkuu, lakini sisi ndo tunatakiwa tuwe chachu Ili tuwabadilishe
 3. Kilenzi _Jr

  Story of Change Maisha baada ya chuo

  Thanks much
 4. Kilenzi _Jr

  Story of Change Maisha baada ya chuo

  Asanteh sana karibu
 5. Kilenzi _Jr

  Story of Change Maisha baada ya chuo

  Asante Sana mkuu
 6. Kilenzi _Jr

  Story of Change Maisha baada ya chuo

  Mwaka 2017 wakati nakaribia kumaliza masomo ya shahada yangu ya kwanza pale chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo (SUA) nilipata nafasi ya kipekee sana ya kuhubiri mbele ya wanfunzi wenzangu na baadhi ya wakufunzi. Nilifanikiwa kuhubiri pale kanisa la CCT — SUA na kila aliesikiliza mahubiri yale...
 7. Kilenzi _Jr

  Story of Change Muonekano hutengeneza uwezekano

  Karibu Sana tushare ideas
 8. Kilenzi _Jr

  Story of Change Muonekano hutengeneza uwezekano

  Ndo Ivo mkuu an Muonekano Kila sehem sawa sawa
 9. Kilenzi _Jr

  Story of Change Muonekano hutengeneza uwezekano

  Kweli ndo Ivo kanaanza kuonekana pisi kali kimtindo Kwa saababu kanajitaidi kujiweka kwenye muonekano
 10. Kilenzi _Jr

  Story of Change Muonekano hutengeneza uwezekano

  Nimefurai tu kwa mfano wako kiongozi
Top Bottom