Search results

 1. luangalila

  Rais Samia, Ruhusu na saruji kutoka Kenya

  Shida ya viwanda vya Tz vingi utasikia wakisema operation cost NI kubwa na hapo bado wana lindwa na serikali pia vile vile
 2. luangalila

  Polepole: Wana-CCM tusikae kimya Serikali ikikosea, tuwe wakali na jasiri kukosoa

  Duh Comrade mwenezi mstaafu ana shambuliwa sana humu
 3. luangalila

  Selemani Jafo apata PhD, wengine bakini na roho mbaya zenu

  Kama kuna aefikir elimu ni rahisi basi akajaribu ujinga
 4. luangalila

  Kitu gani kilikuwa kinakukera JKT?

  Ivi mlikuwa mna gegedua mademu kweli huko ?/
 5. luangalila

  Mo Dewji Shikamoo wakati GSM wakidhani wametukomoa Simba SC kwa Kudhamini Ligi Kuu kwa Tsh 2.1B, Wewe Ijumaa unadhamini MO 29 kwa Tsh 3B

  Nzose Masingise Mbataaz na Haji RanaMa wakiona iyo chapa ya MO29 ktk gujezi la yanga lile la vibwengo nahisi Ranama Haji atazimia
 6. luangalila

  Simkubali Haji Manara na ana Matatizo yake, ila kwa hili la Clatous Chama namuamini 100% na wana Simba SC tusidanganywe na Uongozi wetu

  Chama aende yanga, then simba wataenda kumchukua Tuwi la Kisinda eiiiiii patachimbikaaaa hapo
 7. luangalila

  Mwanamke amkata mumewe Korodani akidai hazina faida

  Sometimes izi NGOs za bongo zina danganya
 8. luangalila

  Unguja yatajwa kuwa kinara kwa matukio ya ukahaba na Ushoga

  Hii kitu ipo kila sehemu kwenye shughuli za utalii
 9. luangalila

  Katazo la kulala wanaume wawili Lodge

  Aisee umesema ukweiii,
 10. luangalila

  Katazo la kulala wanaume wawili Lodge

  Na siku izi wadada wengi wa mjini wana toa huduma ya 0713
 11. luangalila

  Katazo la kulala wanaume wawili Lodge

  Aisee ktk ilo la upunga ni kweli, majuzi nikijipa jukumu la utafiti nikawa naongea na kijana mmoja bwabwa, nika muuliza umebanduliwa mara ngapi ?, aisee nilikoga mitusi hahahahaha
 12. luangalila

  Je, ni sahihi stationary kuthibitisha loss report badala Jeshi la Polisi?

  Ndugu hata haieleweki stationary wana thibitisha kitu gani,
 13. luangalila

  Katazo la kulala wanaume wawili Lodge

  Je wadada nao wana katazwa kulala wa wili wawili ?/kama katazo hili lina wa exclude wadada basi huu ni unyanyasaji wa kijinsia
 14. luangalila

  Je, ni sahihi stationary kuthibitisha loss report badala Jeshi la Polisi?

  Aisee ni shida sanaa hakika hii nchi kuendelea ni mpaka MASIHI arudi
 15. luangalila

  Je, ni sahihi stationary kuthibitisha loss report badala Jeshi la Polisi?

  Simu 2000 ikabidi niende urafiki nako wana niambie niende magomeni .. Naona hamna umuhimu wa Online system
 16. luangalila

  Je, ni sahihi stationary kuthibitisha loss report badala Jeshi la Polisi?

  Hii ishakuwa kero hakika, mtu anatumia 1hour kwa ajil ya loss report
 17. luangalila

  Je, ni sahihi stationary kuthibitisha loss report badala Jeshi la Polisi?

  Ata mm last time nili download mwenyewe kisha nikaenda ku print tu, Ila nimeshangaa leo wana sema nifike kituo cha polisi ili waithibitishe
 18. luangalila

  Je, ni sahihi stationary kuthibitisha loss report badala Jeshi la Polisi?

  Hii kitu nimekumbana nayo leo baada ya kujaza loss report online kisha kufanya malipo then nikafika kituo cha polisi ili waithibitishe ndipo askari niliye mkuta kituoni akaniambia nikathibitishie stationary. Je hii ni sahihi kweli jamani
 19. luangalila

  BASATA imulike tamthilia za Bongo hazina maadili

  Baraza la sanaa Tanzania niwaombe mzitazame kwa jicho la.umakini ktk muktadha wa maadili ya taifa letu, izi tamthilia za bongo ambazo zina rushwa ktk Pay tv hasa hasa za Dstv, Zile.tamthilia naona zipo nje ya maadili yetu,. Izi story message zao ni MAPENZI MAPENZ . Mavazi yao hasa ya...
Top Bottom