Search results

 1. Masanja

  CCM na UPINZANI-Hatima ya Taifa

  Hvi karibuni kumekuwa na jitihada za kuufutilia mbali upinzani Tanzania. Na kigezo kikubwa ni kwamba wapinzani wamekuwa wapinzani kweli. Kupinga kila kitu na juhudi za Serikali kuleta maendeleo ya wananchi. Kwangu mimi wasiwasi wangu ni kwamba, hivi hawa wanaofanya hizi juhudi za kuua huu...
 2. Masanja

  Upatikanaji wa Miche ya Miti- Mwanza

  Wakuu heshima mbele, Niko kwenye juhudi za kupanda miti huku kwetu maeneo ya kanda ya ziwa. Nina uhitaji wa miche ya miti (ashoka, palms, pines nk). Uhitaji wangu ni wa kiwango cha kati (bei itanipa picha ya kiasi ninachokihitaji). Shida yangu ni kujua kama kuna vitalu vya miti tajwa hapo...
 3. Masanja

  Madereva na magari ya Serikali kwanini hawadhibitiwi?

  Wakuu hebu tujadili kidogo, Jana kuna ajali imetokea Chalinze na imenifanya nifikirie kidogo. Watu wamepoteza maisha, gari iliyonunuliwa kwa kodi zetu imeteketea nk. Its a loss. Lakini je ni kweli hizi ajali hazizuiliki? Kinachonitatiza ni hawa madereva wa Serikali. Wao ni kama hizi sheria za...
 4. Masanja

  Tuisaidie jamii iache tabia ya kulaumu na kutowajibika

  Wakuu, Hebu leo tuwache makinikia na story za Lowassa pembeni tujadili kitu tofauti. Mimi kuna hili jambo linanitatiza sana kwetu sisi Waafrica na Watanzania haswa. Tabia ya kupenda kulaumu watu wengine kwa makosa au mapungufu yetu wenyewe. Imekuwa ni tabia sugu. Ni nadra sana ukute Mtanzania...
 5. Masanja

  Women empowerment and future of politics in Tanzania

  Juzi kati Kiongozi wa taifa letu ametoa kauli tata akiwa anahutubia wananchi katika mkoa wa Pwani akisema hataruhusu binti aliyejifungua kurudi shuleni. Ni kauli tata kwa sababu imezua hoja na mijadala mbali mbali ndani na nje ya nchi. Ingawa mimi nimekuwa nikimuunga Mkono JPM kwenye mambo...
 6. Masanja

  Bei Elekezi za viwanja/ardhi

  Jamani hii attachment inaonyesha bei elekezi za viwanja sehemu mbali mbali za Tanzania. Kwa hiyo wale waliozoea kuuza viwanja kwa bei wanazozijua wao, nadhani huu utakuwa muarobaini wao. Naona ni mwanzo mzuri kama angalau serikali inaweka bei elekezi. Maana bei ya Ardhi ilikuwa imefika pabaya...
 7. Masanja

  Gov. Ndullu na Msajili Mafuru: Tunajifunza nini?

  Rule No: 1: The boss is always right. Rule No. 2: The boss is always right Rule no. 3: if you are not sure of rule no. 2, refer to rule no. 1. Jana Mh. JPM "amemtumbua" Kaka yangu Mafuru na akatanabaisha kwamba atampangia kazi nyingine. Sababu ya Mafuru kutumbuliwa haikutajwa...
 8. Masanja

  Tanzania impendekeze Jakaya Kikwete kuwa mrithi wa Dr. Dlamini Zuma kama Mwenyekiti Mtendaji wa AU?

  Wakubwa heshima zenu, Leo hii viongozi wa Umoja wa Africa wanaokutana Kigali wamekataa orodha ya wagombea nafasi ya mwenyekiti mtendaji wa Umoja wa Africa (AU) kumrithi Dr. Dlamin Zuma anayemaliza muhula wake. Kwenye hiyo orodha ambayo ilijumuisha waziri wa mambo ya nje wa Botswana na...
 9. Masanja

  RE: Nahitaji Kiwanja-Mbezi Beach barabara ya chini

  Rafiki yangu anahitaji kiwanja Mbezi beach barabara ya chini. Maeneo ya Rainbow mpaka Round About ya Whitesands. Ukubwa 1500-1800sqm. Kiwe na document zote. Bajeti 200-250M. Kama una information, let me know. Only serious people should make contacts. Masanja
 10. Masanja

  Suala siyo ufisadi, Suala nini kifanyike dhidi ya mafisadi

  Humu jamvini wengi wetu tumekuwa busy sana kuchambua wagombea/watia nia kwa kigezo cha ufisadi. Ni sahihi kabisa (naomba nikubaliane na Mwanakijiji). Ufisadi is THE challenge of our time. It threatens existence and harmony of our country and its people. Lakini hebu tujiulize kama watu wazima...
 11. Masanja

  Edward Lowassa-Tuhuma za ufisadi dhidi yake na unafiki wetu watanzania

  Wakuu heshima mbele. Humu jamvini kuna thread nyingi zinamtuhumu Nd. Lowassa kwamba ni fisadi na hafai kuwa kiongozi. Magazeti na hata baadhi ya viongozi waandamizi wa CCM na upinzani wanatuaminisha kwamba Lowassa hafai na CCM ni safi na inataka mgombea safi!!! What a joke!!. Swala kwamba...
 12. Masanja

  Je kipi/nini kifanyike kusudi rasilimali mikoani zinufaishe wananchi wa maeneo husika pia?

  Wakuu, Nataka tujikite kwenye hili swala la maendeleo na uwiano wa uchangiaji kwenye pato la taifa. Kwa mda mrefu sasa, hili swala tumekua tukilikwepa hata kulizungumzia. Kwa wananchi na serikali pia. sababu kubwa ikiwa ni kulinda mshikamano wa kitaifa na kudhibiti ukabila. Mfano leo tunaambiwa...
 13. Masanja

  Share your experience with me...it has happened to me

  It has happened to me several times. Ni hivi, I may be sleeping hata kwa mda mfupi. Ghafla nahisi Kama nimeishiwa nguvu kabisa usingizini. Najiona Niko helpless na in the process nakuwa na woga mkubwa sana. Extreme fear. Yaani hata kuinua mkono siwezi, hata kushika shuka au chochote siwezi. Ila...
 14. Masanja

  Wachaga na maendeleo-impressed

  Wakuu salaam, jana nilibahatika kwa Mara ya kwanza kutembelea mkoa wa Kilimanjaro mitaa ya Marangu for the first time. Kwa kweli I was hugely impressed and I can only say big salute my fellow Tanzanians. I must say Mimi ni mwenyeji wa kanda ya ziwa. Napenda sana kwetu na kila mwaka as long as...
 15. Masanja

  Wood parquet Tanzania

  Wakuu hebu naombeni msaada wenu especially kwa wale wenye uzoefu na watalaam. Tanzania (hapa Dar especially) kuna mafundi/kiwanda cha kutengeneza parquet nzuri za sakafuni? Nimejaribu kuzunguka lakini sijaona (I came across fundi mmoja akaniambia anaweza fanya lakini..ni yale yale...
 16. Masanja

  Kwa nini naamini suluhisho la kero za Muungano SI serikali mbili wala tatu?

  Wananchi wenzangu, Nawasalimu, Kwa kipindi kirefu kama mTanzania wa kawaida nimekuwa nikifuatilia mjadala unaohusu hatma ya taifa letu na muungano wetu kati ya Tanganyika na Zanzibar. Tumeona ni jinsi gani hili swala limekuwa so emotional kiasi kwamba kila mtu anaona mtizamo wake ndo sahihi na...
 17. Masanja

  PhD Opportunities at the London School of Economics

  New LSE PhD Studentships support the brightest and the best research students The London School of Economics and Political Science (LSE) has launched a new flagship studentship scheme that will support outstanding research students by fully funding their postgraduate research at the School...
 18. Masanja

  Sakata la TANESCO, Mheshimiwa Rais, tunaomba utoe kauli... wananchi tumechoka!

  Nimeisoma hukumu ya ICC/msuluhishi/arbitrator kati ya TANESCO na DOWANS lakini kwa mtu yeyote mwenye uelewa wa sheria, ni hakika facts zote hazikutolewa. Na nina mashaka kwamba kulikuwa na collusion kati ya mshtaki na mshtakiwa..(walikuwa kitu kimoja)..ilmradi hiyo pesa ilipwe na hela za walipa...
 19. Masanja

  Why the US needs Africa-Paul Kagame

  Why the U.S. Needs Africa Angalizo: Hii habari nimeitoa kwenye mtandao wa gazeti la Washington post. Mwisho wa habari kuna link ya habari yenyewe. By Paul Kagame Monday, September 21, 2009 Africa and the United States may be on the verge of a new partnership, not one of dependency and...
 20. Masanja

  Europe claiming compensation from Africa-what is your take?

  wakuu heshima mbele, Today while preparing to go earn my daily bread my eye was cought by a news clip on Al JAZEERA. Kwamba Europeans and Britons precisely, they want to seek compensation from Libya for victims of IRA fighters (rebel group in Ireland) who lost their loved ones because of the...
Top Bottom