Search results

  1. kipenda12

    Kilimo bora cha pilipili kichaa

    Napenda kutoa faida za zao la pilipili kichaa. Biashara hii imeshika kasi katika miaka hii ya hivi karibuni. Biashara hii ina pesa nyingi na wanunusi hawakopi bidhaa kwa wakulima.mauzo yake ni papo kwa papo baadhi ya Mikoa wanaita Dhahabu nyekundu. Tunatoa Elimu Bure na tuna masoko yenye huakika...
  2. kipenda12

    Matumizi ya muda

    Watu wengi wasiokuwa na mafanikio ni Wale wasio jua na muda. Muda ni mali hawa ni wale wanaoona jua linachomoza na kuzama na pengine wanapenda lizame mapema waende kulala. Maana hawana cha kufanya fursa hii inakupa kutambua kuwa muda ni maliasili yako ambayo unapatwa kuitumia katika kujenga...
Top Bottom