Search results

 1. Ambition plus

  Pata vyombo vya nyumbani kutoka Zanzibar

  Daka vyombo vizuri kutoka Zanzibar Popote ndani ya Tanzania tunatuma. Mawasiliano 0715270707
 2. Ambition plus

  Swali kwa dada zetu...

  Habari za midaa hii? Nina swali kidogo kwenu dada zangu, Je nina mwanaume gani alikwambia anapenda/ama anapendezwa na nitakavyoviorodhesha? Kutoga masikio zaidi ya tundu moja, Kutoga pua, Kutoga ulimi, Kutoga kitovu na sehem zingine za mwili, Kuvaa vikuku, Kuchora tattoos, Kujichubua...
 3. Ambition plus

  INAUZWA Nauza Kamera zangu mbili

  Nina Kamera mbili nilinunua nikiwa naanza kujifunza maswala ya picha, kwa sasa sizitumii, bado ziko kwenye hali nzuri sana, nauza kwa bei ya kutupa. Sony nex-6 Iko na chaji yake na kit lens Canon 1200d Iko na chaji na kit lens Kila moja nataka laki nne. Karibuni
 4. Ambition plus

  Pata spear bora za magari kutoka cruise auto spare Arusha

  Cruise auto spare ni wauzaji wa spear party za magari Jeep, BMW, Audi, Land rover, Porsche, Volkswagen, Chrysler, Range/Land rover Duka linapatikana MAKAO MAPYA,EDEN ROAD jirani na cafe laziz restaurant,Arusha Kwa mawasiliano piga +255743805465,+255786050747 Email:cruisespares@gmail.com...
 5. Ambition plus

  Hebu tukumbuke kidogo siasa za 2015,jinsi Lowasa alivyokuwa anasafishwa kwa jiki.

  Hivi ni lowasa pekee ndiye fisadi ndani ya ccm?...Je, wakati fedha za Mkonge kupitia mfanyabiashara aitwaye CHAVDA zinaibiwa lowasa alikuwa waziri mkuu?...alikuwa malecela!.Madini ya dhahabu yaliyokamatwa uwanja wa ndege wakati wa rais mwinyi yalikuwa ni madini ya lowasa?...wakati akasha wa dawa...
 6. Ambition plus

  Tufanye tathimini ya janga la corona Tanzania

  Wasalaam wanaJF? Naomba niende kwenye mada,Tafadhali kama watanzania naomba tufanye tathimini hali ya corona ilivyo hivi sasa,tuache habari ya WHO,habari ya propaganda za baadhi ya vyombo vya habari n.k,naomba tujikite kwenye ukweli bila kuweka ushabiki wala mihemko. Mimi kama mimi nimefanya...
 7. Ambition plus

  Mwanangu anakupenda

  .
 8. Ambition plus

  Njoo tushuke mistari ya za kitambo

  Vipi mchizi wangu nakuona umesizi, unaonekana kama moyoni una majonzi, au dili zako leo haziendi sawa? jinsi unaonekana kama moyoni umepagawa! niambie ili nielewe, ili na mie nisipagawe, kwani tangu nimefika nakuona umepooza, ebu niambie kitu gani unachowaza, sema basi au kuna kitu nimekugasi...
 9. Ambition plus

  Italy claims 1st COVID-19 Vaccine

  Nasubiri WHO wathibitishe
 10. Ambition plus

  MNH kufunga mashine moja ya kupumulia Hospitali ya Amana kusaidia wagonjwa wa Corona

  MNH Itafunga mashine moja kusaidia mgonjwa kupumua (ventilator) ya TZS. 56 Mil. katika Hospitali ya Rufaa ya Amana ili kuhudumia wagonjwa walioambukiwa corona pia imefunga mashine tatu za kusafisha damu kwa wagonjwa wenye matatizo ya figo za TZS. 210 Mil. Swali langu je hospital ya rufaa ya...
 11. Ambition plus

  Tumwamini nani kati ya Rais Magufuli au Daktari Ndugulile kuhusu kujifukiza ili kukabiliana na COVID-19?

  Hili swala la kujifukiza 100°C kwa akili yangu ndogo linanichanganya.Najua jamii forum iko na wataalam wa afya wengi.Naomba ufafanuzi kwa kweli. Sent using Jamii Forums mobile app Aprili 15, 2020 Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Faustine Ndugulile ametoa...
 12. Ambition plus

  Uchaguzi 2020 Je, utampa Magufuli kura yako uchaguzi ujao?

  Habari za mda huu. Corona ni hatari kufata taratibu zilizoweka na wizara ya afya kujilinda na kuwalinda tuwapendao. Niende kwenye mada chap chap. Kumpa kura yangu ni Big No! Vipi wewe ndugu yangu utampa kura yako?
 13. Ambition plus

  Kumbi za starehe, majumba ya kamari n.k

  Ciaaao? Niende moja kwa moja kwenye mada harakaharaka. Nimeona waziri wa nchi akizungumzia nyumba za ibada.Yuko sahihi sana mana kuna wakati pia nawaza kama hawa ndugu zetu walokole. Mara nyingi wakishushiwa upako huanza kukemea, Kulia na kunena kwa lugha sambamba na kutoa mapepo. Wakati hayo...
 14. Ambition plus

  Nini kinazikuta biashara za wasanii?

  Aje washika dau??? Nimekaa najiuliza kuna wasanii walikuja na bidhaa kede kede lakini zimeishia wapi ama wana fail wapi? King kiba alikuja na energy drink (more fire)mwana FA (perfume),Diamond chibu perfume,diamond karanga n.k Shida ni nini?Na mbona hizi bidhaa hazionrkani mitani? Sent using...
 15. Ambition plus

  Zanzibar one first ferry vs Azam marine

  Habari za mida hii..?Pole na janga la corona.Tuombe mola wote atunusuru kwa sote.. Niende kwenye mada husika.Wakazi wa Zanzibar na Tanganyika tumekua tukitumia boti za Azam na flying horse.Biashara bila ushindani sio biashara.. Flying horse imekua haina ushindani sababu sio boti ya...
 16. Ambition plus

  Gari aina ya BMW X3 linauzwa

  Ni ya 2006, ni Petrol Engine, 2400cc, ina automatic Na manual (Unaweza kuendesha kama automatic summer manual), DVD, radio, MP3 player, CD changer, leather seats, ina 136,000km kwa sasa. Bei ni 17Millions Sent using Jamii Forums mobile app
 17. Ambition plus

  Jezi gani ni nzuri na inavutia?

  Habari za mida hii? Mimi sio mshabiki wa timu yoyote na wala sijui kuhusu maswala ya soka.Nimewahi kuwa na rafiki wa ki Portugal. Aliniambia nimtajie wachezaji soka 5 wa nchi yake na kila nikitaja mmoja ni 20$.Sad sikupatia hata mmoja....niende kwenye mada.. Mi natamani kununua jezi ya kuvaa...
 18. Ambition plus

  Ukiachwa unajisikiaje?Acha kabla ya kuachwa

  Angalizo sizungumzii wana ndoa. jamani swalamaaaaa? Kheri ya kuzaliwa Yesu kristo na mwaka mpya.... Leo yamenikuta.Hua nina katabia flani ka kuacha kabla sijawachwa. Nikiona binti kaanza kubadilika labda vitabia vya ajabu .Naaza uchunguzi wangu mara moja.Nikiona vigezo vimekamilika naachia...
 19. Ambition plus

  Nimnunulie mama zawadi gani?

  Habari za midaa hii wana jamvi, Nitangulie kwa kuwapa pole ambao mama zao wametangulia mbele za haki (wapumzike kwa amani). Pia, wasio na mama ama wamelelewa na mama wa kufika (pia ni mama) haijalishi wamekulea kwa namna gani. Nimekaa leo ni siku ya tatu natafakari "nimnunulie mama zawadi...
Top Bottom