Search results

 1. Midumare Ngatuni Iwato

  Shule 20 maarufu Kilimanjaro miaka ya 1980 mpaka 1995

  Karibuni wale waliosoma miaka hii Kilimanjaro 1.Kilimanjaro boys 2.umbwe 3.kibohee 4.Weruweru 5.Ashira Girls 6.Mau semiray. 7.Uru seminary 8.Sant James Seminary 10.old moshi 11.Kibosho girls 12.shauri tanga 13.Kiraeni 14.Mkuu secondary 15.kirua vunjo secondary 16.lyamungo...
 2. Midumare Ngatuni Iwato

  Makundi yamuziki yazamani yaliyofanya vizuri

  Bila kupoteza muda nikukumbushe wale vijana wakigiriki na meli zao Mnakumbuka wapi mnaposikia hivi vitu 1.The manhattans.. Kiss and say goodbye 2.The commodores.. Night shift 3Three degrees.. When will i see you again 4.The stylistics.. You make me Feel band new 5.Mike and The mechanics.. The...
 3. Midumare Ngatuni Iwato

  Makabila kumi yenye wanawake wazuri sana Tanzania

  1. Warangi 2. Wanyaturu 3. Wameru 4. Wamasai 5. Wasukuma 6. Wachagga 7. Wahaya 8. Wanyamwenzi 9. Wapare 10. Wanyakysa
 4. Midumare Ngatuni Iwato

  Je wajua makundi maarufu ya muungano wa Masimba dume Africa

  Kama kichwa cha Habari kinavyojielekeza Simba dume maisha yake ni ya Furaha na huzuni Kubwa sana Wanapozaliwa simba katika kaya yao na Mama zao wanalelewa wote kwa pamoja na Dada zao Wanapofikisha umri wamiaka mitatu mpaka minne wanafukunzwa na Baba zao au Mama zao kutokana na muda Dada zao...
 5. Midumare Ngatuni Iwato

  Je wajua kanisa katoliki chini ya papa linanguvu Kubwa kupita vitu vyote duniani

  Saddam Hussein baada yakuhukumiwa kunyongwa Akiwa anangojea adhabu yakunyongwa Alishauriwa na Mwanasheria wake ambaye alikuja kuviandika vitu vyake baada yakunyongwa avichukue nani Alimwambia Kwanini usikate rufaa kwa Papa Sadam Hussein akamjibu yeye anamtegemea Sana Allah nasio mtu...
 6. Midumare Ngatuni Iwato

  Mwanaume uliyefunga ndoa na mwanamke, tambua baraka zote zipo kwa mke wako

  Salaam kwa ndugu zangu wote, Niwatakie maandalizi mema sana ya mwisho wa mwaka, Ndio ukweli huu kwa wanaume wenzangu wote, ili ufanikiwe katika maisha, uwe na amani furaha maisha marefu, mke wako anamchango mkubwa sana wa hayo yote kwakuwa amebeba baraka, amani, neema, upendo mkubwa wa...
 7. Midumare Ngatuni Iwato

  Ujinga wa Mwafrika kupenda kujiita majina ya nje ya bara lao la Africa

  Napendekeza hapa kwetu Tanzania itungwe sheria lazima mtoto akizaliwa apewe Jina lenye la kiafrica au kibantu, nawapongeza sana Wanyakyusa sana kwa kudumisha mila na desturi zao Mimi langu Midumare Iwato Ngatuni Nabila midimito Mbasha, Karibuni sana ndugu zangu wenyekuchangia vema ili tuweze...
 8. Midumare Ngatuni Iwato

  Muda sahihi kwa mtu kwenda aja kubwa baada ya masaa mangapi au siku ngapi kiafya

  Salaamu ndugu zangu na imani kubwa sana wote wanajamii forum kwa mapendo makuu ya Muumba wetu na imani mpo salama Nauliza kwa kutaka kujua kuwa nikipindi gani kizuri cha kwenda aja kubwa Je asubuhi au mchana au usiku na baada ya Masaa mangapi kwenda Ajakubwa. Asanteni naombeni ushauri
 9. Midumare Ngatuni Iwato

  Saade mwanamziki

  Sifa kuu Zake. Anajihwshimu sana Ajawai kuchuja kiwango Baba mnaigeria mama muingereza Hana kashfa za ngono Vibao vitamu vya.taboo Nk. Karibu
 10. Midumare Ngatuni Iwato

  Africa ukiwa na Jina mojawapo lenye mwanzo WA herufi M. Basi Kuwa Raisi ni simple

  Mwalimu juliusi Mkapa Mrisho Mseven Mgabe Mbeki Nk....
 11. Midumare Ngatuni Iwato

  Tukumbushane wacheza sinema maarufu wa Nigeria

  Wawe wamekufa au wapi.Kama Kuna mdau atatupatia picha zao ingekuwa Safi. Karibuni sana
 12. Midumare Ngatuni Iwato

  Motorgp

  Karibu tukumbushane mwendesha pikipiki bora unayempenda aliyewaikutokea.Wangu mimi 1.valentino Rossi 2.Noriyuki Hagga 3.Marehemu Marco simochelli. Wako niyupi
 13. Midumare Ngatuni Iwato

  Nyumba inauzwa Iringa mjini

  Mtaa Wa kitandini karibu na msikiti.millioni 120.namba ya simu 0658343890 hakuna dalali hapa Karibuni matajiri Wa Iringa wote
 14. Midumare Ngatuni Iwato

  Ili kuleta nidhamu na uwajibikaji, Serikali ipeleke vijana jeshini miezi 12 then waingie chuo kikuu

  Ili kuleta nidhamu,utii,adabu na uwajibikaji kwa vijana kuwa wazalendo katika Taifa lao la Tanzania napendekeza jambo hili muhimu lifanyike na maendeleo yatakuja kwa kasi sana. Serikali Mwaka huu wa 2017 mpka 2018 ipige marufuku au kusitisha masomo ya Elimu ya juu kwa vijana wote iwe amri...
 15. Midumare Ngatuni Iwato

  MARAFIKI ZAKO WA UTOTONI

  Je unawakumbukaje Marafiki zako Wa utotoni kila MTU atukumbushe maisha yenye Upendo.urafiki Wa dhati enzi zako
 16. Midumare Ngatuni Iwato

  Msaada wa ushauri unahitajika

  Salamu ndugu na Jamaa zangu wote.poleni na pongezi kwa majukumu makubwa ya kizalendo kwa Taifa letu zuri sana la Tanzania. Naombeni ushauri waharaka mke wa rafiki yangu kutokana na maelezo ya rafiki yangu anatatizo la kubleed muda mrefu na kwa wakati sio wake na ametumia dawa bado ngumu...
 17. Midumare Ngatuni Iwato

  Nyimbo ya mwanamziki wa reggea aliyepata kukuvutia

  Karibuni tukumbushane aina ya mziki Wa raggea na wanamziki wake na makundi yao waliowai kukuvutia sana. Mimi napoisikia Shembe ya lucky dube.night nurse Gregory. Ub40 natulia sana.je wewe!
 18. Midumare Ngatuni Iwato

  Katika hawa wachezaji filamu wa kichina yupi mkali zaidi?

  Wakuu habari, Nina swali kuhusu hawa wacheza filamu za kichina Jet li vs Jack chan nani mkali zaidi ya mwenzake? Naomba kujuzwa wakuu.
Top Bottom