Search results

 1. ketete

  Natamani kusema ila nashindwa

  Kwa muda mrefu kifua kimebana sana kwa mambo yanayoendelea kwenye Nchi ile, sijui ni mimi mwenyewe??? Katibu wa chama cha Nchi ile anasema kila mkoa umeunganishwa kwa lami asubuhi nimeona akisema kwenye "VTI " ,sijui hajui kwamba hata mkoa wa "MAGOKI" bado haujaunganishwa. Uongo huu...
 2. ketete

  Masada wa namna ya kujiondoa kwenye facebook

  Naombeni wenye ujuzi wa namna ya kujiondoa kwenye facebook na kuifunga akaunti isionekana na mtu yeyote. Naombeni mnisaidie kwa wote mnaofahamu.
 3. ketete

  Bima ya afya NHIF mmeliona hili?

  Habari za wakati huu wana JF. Kwanza niseme kuwa Mimi ni mdau wa BIMA ya afya NHIF,na nimekuwa kwa wakati tofauti tofauti tangu 2003 nikipokea matibabu kupitia BIMA hii. Nawapongeza kwa mabadiriko ya kimatibabu kuanzia mlipoanza mpaka mlipofikia. Ijapokuwa mabadiriko mmeyafanya katika...
 4. ketete

  Ripoti za madini je, wachunguzi wanapewa mikataba kuipitia kabla ya uchunguzi?

  Samahani Sana wanajamii wenzangu ,hivi karibuni tumeona namna ambavyo raisi ameteua kamati mbili katika uchunguzi was mchanga was dhahabu maarufu kama makinikia na tayari kamati ya kwanza imekwisha toa taarifa yake. Ninataka kujua mambo yafuatayo: 1.kwa kuwa mikataba yote inayofungwa ni siri...
 5. ketete

  Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mjini Kasesela yupo wapi?

  WanaJF nilikuwa nafatilia suala la Timu ya Lipuli jana na mkuu wa mkoa wa Iringa. Lakini ghafla nikamkumbuka mhe.kasesela mkuu wa wilaya ya Iringa mjini. Mwanzoni alikuwa maarufu kwa kuvaa kombati za jeshi,kubeba waandishi na watu mgongoni mwake pamoja malumbano na mhe.Msigwa. Nimejiuliza...
 6. ketete

  NANI ALAUMIWE???

  tuliaminishwa kwamba VAT iliyowekwa haitamhusu raia bali kampuni husika. lakini kwetu wanyonge makato ya hela za mitandao na huduma za kibenki zinaongezeka kila uchao. hivi nani atusaidie watu wa chini??
 7. ketete

  Hod hod humu ndani

  Nawasalimu wote wana jf. pia niwaombe mnikaribishe pamoja na kwamba ni mgeni jamvini. asanteni mods wote
Top Bottom