Search results

 1. Rodwell mTZ

  Ushauri: Bajaji zilizozuiwa kubeba abiria Mbezi Luisi ziruhusiwe kutokana na wingi wa abiria

  Ninayo heshima kubwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ya kukuandikia barua hii fupi. Kwanza kabisa hongera sana kwa kazi nzuri ya kuijenga taifa. Lengo la barua hii ni kuhusu marufuku uliyoitoa dhidi ya bajaji zinazobeba abiria kutoka kituo cha Mbezi Luisi zikiwapeleka...
 2. Rodwell mTZ

  Yanga 6 Simba 1

  Hamjambo Wana wa JF, kulingana na kichwa cha uzi huu hiyo ni ndoto niliyoota usiku wa kuamkia leo tarehe 25, nimeona ubao mkubwa Sana wenye maandishi manene "Yanga 6 Simba 1" . Naomba asitokee mtu kunihukumu hiyo ni ndoto tu,nawatakia jumapili njema.
 3. Rodwell mTZ

  Amesoma kombi ya HGE, kozi zipi anaweza kusoma katika level ya university?

  Hamjambo wana JamiiForum? Naombeni mnijuze, mtoto wangu kamaliza form six wiki hii iliyoisha. Amesoma kombi ya HGE, hivi ni kozi zipi anaweza kusoma katika level ya university? Natanguliza shukurani kwenu.
 4. Rodwell mTZ

  Pongezi kwa Serikali yetu, hatimaye ajali za mabasi zimeisha

  Hamjambo wanaJamii Forum wenzangu. Napenda kuitumia nafasi hii kuipongeza serikali ya awamu ya tano chini ya uongozi madhubuti wa Rais wetu John Pombe Magufuli kwa kutilia mkazo kudhibiti mwendokasi wa mabasi yaendayo mikoani, kwa kumulika vitochi na kuratibu muda wa kuondoka na kufika na sasa...
 5. Rodwell mTZ

  Msaada: Kuzuia matangazo kwenye simu

  Hamjambo watu wa jukwaa hili? Naombeni msaada mnielekeze hivi ni app gani inayoweza kuzuia matangazo ya biashara yanayokuja yenyewe kwenye smartphone yangu. Yaani yanakera sana mara ingine unakuwa una soma kitu serious mara pap hilo limetokea linaziba screen nzima kuliondoa mpaka uclick x...
 6. Rodwell mTZ

  MSAADA JAMANI

  Hamjambo watu wa jukwaa hili? Hivi katika operators wote wa simu za mkononi ni yupi ana spidi kali kushindawengine ya internet?
 7. Rodwell mTZ

  Mkoa gani unaongoza kwa kuwa na ardhi ambayo haijatumika?

  Hamjambo wana jamvi? swali hilo kwenye kichwa cha mada limekuwa linanisumbua mda mrefu nimeamua kulileta hapa jamvini kwa mnaofahamu mambo ya ardhi hivi ni mkoa upi hapa Tanzania unaongoza kuwa na ardhi kubwa zaidi ambayo bado haijatumika?. na pia si vibaya mkinijuza mkoa unaoongoza kuwa na...
 8. Rodwell mTZ

  Naelekea Zimbabwe kumfanyia interview Grace Mugabe.

  Hamjambo wana jamvi, mimi nipo safarini kuelekea Harare naenda kum'interview' aliyekuwa firt lady wa Zimbabwe mama Grace Mugabe,je ungependa kutoa swali gani kwake nikaliwakilishe? yakwangu ninayo ningependa niyajumlishe na ya kwenu.asanteni lwa ushirikiano.
 9. Rodwell mTZ

  Swali kwa wanaojua gesi za kupikia

  Hamjambo wakuu. nina swali katika upikaji wa kutumia gas kuna njia mbili ya kwanza ni ile ya kutumia jiko mara nyingi yana sehemu mbili za kupikia halafu hayana kelele njia ya pili ni ile ya kuinjika sufuria kwenye kimtungi kidogo chenye figa la chuma na kuna kelele nyingi. swali langu ni njia...
 10. Rodwell mTZ

  Trump atishia kuzifungia NBC TV na nyingine zinazopotosha

  Rais Donald Trump wa Marekani ameviamuru vyombo husika vya nchi hiyo kukinyang'anya leseni kituo maarufu cha televisheni cha NBC, baada ya kutangaza habari za uongo"fake news" kwamba rais Donald Trump anataka Marekani iwe na nguvu za nyuklia mara 12 zaidi ya uwezo walionao sasa.(chanzo bbc...
 11. Rodwell mTZ

  Nimepona malaria ya mda mrefu!

  Hi wana jf. nashukuru Mungu nimepona malaria iliyonisumbua tangu mwaka 2002,ilikuwa inajirudia kila mwezi nilikuwa natibiwa kwa metakelfin baadae mseto lakini tatizo liliendelea. ni mwaka mmoja sasa nilikvana na mturuki mmoja akaniambia ili nipone tatizo hilo la malaria ,akasema nile kimoja mara...
 12. Rodwell mTZ

  China kufunga makampuni ya Korea kaskazini.

  Serikali ya jamhuri ya watu wa China imeamua kufunga biashara zote za akampuni ya Korea kaskazini,zoezi hilo litaanza kutekelezwa mnamo mwezi januari mwakani,hii ni kutekeleza azimio la umoja wa mataifa la kuiwekea Korea kaskazini vikwazo vya uchumi ili kuishinikiza nchi hiyo iache mpango wake...
 13. Rodwell mTZ

  Misemo ya Mbwiga wa clouds.

  Jamani huyu jamaa anaitwa Mbwiga wa redio clouds ana misemo inayofurahisha sana hebu tupia hapa unayoikumbuka; mimi ninayo miwili. (1)mtoto hatumwi dukani. (2)kuku mweusi hafukuzwi usiku.
 14. Rodwell mTZ

  Usipitie barabara ya Mandela Dar sasa hivi

  Ndugu wana jf. sasa hivi barabara ya mandela kipande cha tazara kuelekea buguruni mpaka ubungo magari hayatembei nimasaa mawili sasa,inasemekana kuna kiongozi anataraiwa kupita nyerere road akitokea airport. tahadhari kwa waliobado kuingia kwenye barabara hii watafute njia mbadala.mchana mwema...
 15. Rodwell mTZ

  Timu ya Arsenal kuwa nje ya nne bora

  Wadau wenzangu wa JF bila shaka hamjambo. Ikiwa yamebaki masaa kwa mtanange wa ligi kuu ya mpira wa miguu uingereza yaani EPL kuanza naomba tulijadidili hili. hivi ni kxa nini wachambuzi wengi wa soka hapa nchini Tanzania na nchi nyingine za nje wanaitabiria timu ya soka ya Arsenal kumaliza...
 16. Rodwell mTZ

  Remote control inaitwaje?

  Hamjambo wana JF wenzangu? nina swali naomba kuuliza kama televisioni huitwa runinga kwa kiswahili na decoder huitwa king'amuzi,hivi remote control inaitwaje kwa lugha ya kiswahili ?
 17. Rodwell mTZ

  Remote control inaitwaje kwa kiswahili?

  Hamjambo wana JF wenzangu? Mimi nina swali, kama television huitwa runinga kwa kiswahili na decoder huitwa king'amuzi, je remote control inaitwaje kwa lugha ya kiswahili? Karibuni Saranga Dar!
 18. Rodwell mTZ

  Msaada APN za halotel Internet

  Nimenunua laini mpya ya halotel nimefika nyumbani Internet haiendi nimegundua kwamba sehemu ya kujaza APN ipo wazi. Naomba mnisaidie jinsi ya kujaza.
 19. Rodwell mTZ

  Mambo 6 ya kudumisha mapenzi katika ndoa

  MAMBO 6 YA KUDUMISHA MAPENZI KATIKA NDOA Habari za Jumapili wana JF, Wengi watu tukiwa tumetulia majumbani mwetu siku ya leo Jumapili nimeona ni vyema ku'share' nanyi mambo machache kama 6 hivi yanayoweza kuimarisha mahusiano ya mapenzi katika ndoa naomba mchangie kama kuna mengine mengi si...
 20. Rodwell mTZ

  Ipi ni laptop nzuri kwaajiri ya Graphics?

  Halo wana JF science & gadgets, Natarajia kununua laptop ya mtumba hivi karibuni naomba mnifahamishe specs za laptop ya kufanyia graphic designing kwa Ku tumia PS Cs6 na kadhalika. Natanguliza wingi wa asante.
Top Bottom