Search results

 1. Detective J

  Nini mchango wa Wanascience wetu kuhusu janga hili la Corona?

  Ndugu wana JF natumai mko salama kabisa. Lengo la kuanzisha uzi huu ni kutaka kujua mchango wa wataalam wetu juu ya janga la corona ama covid19? Wakati mataifa mbali mbali yakihangaika kutafuta tiba kudhibiti hili gonjwa la covid19. Wataalam wetu hapa nyumbani wameonekana kuwa kimya au...
 2. Detective J

  Kuhusu website ya utumishi

  Habari za mchana ndugu zangu. Naomba mnisaidie jambo moja. Ni jinsi gani naweza jua kuwa nimeitwa ktk usaili kupitia website ya umishi? Wengi walinielekeza niangalie matangazo.. sasa nimepata shida kidogo kwani matangazo ninayo yaona kwenye website ya utimishi(ajira portal) ni yale yenye nafasi...
 3. Detective J

  Kuitwa kwenye usaili kupitia utumishi au ajira portal

  Habari za siku ndugu zangu. nahitaji kufaham ni jinsi gani utajua umeitwa kwenye usahili kupitia utumishi webiste au ajira portal? Wanapiga simu? Unatumiwa email? Au kuna njia nyingine ndani ya website unaweza ona majina ya walioitwa kwenye interview? Sent using Jamii Forums mobile app
 4. Detective J

  Tofauti ya mwanamke wa kuoa na mwanamke wa kuchezea yaani demu, manzi, sholi, kilukanjia au refreshment

  kama ilivyo ainisha hapo juu, kwani wanawake wengi mmekuwa mkilalamika mnakosa wanaume wa kuwaoa, yawezekana sababu ni kuwa haujawa na sifa za kuwa mke lakini unasifa za kuwa refreshment tool. sifa za kuwa mke ni kama zifuatazo- yaani sehemu sahihi ya kuendeleza kizazi. 1. MAVAZI-mavazi ya...
 5. Detective J

  Ulichukuliaje pale ulipopata habari ex wako anaolewa au anaoa?

  Za asubuhi wanajamvi, Natumai mmeamka salama, Natumai nyote mmeshakuwa kwenye mahusiano na watu ambao kutokana na sababu mbalimbali mahusiano hayakufikia lengo na kupelekea kuachana lakini pia uliwezaje kukabili hisia pale ulipota habari kuwa yule mliechana nae anaolewa au anaoa?
 6. Detective J

  Msaada: Mfumo wa udahili wa nacte , unafunguliwa lini?

  Nimetembelea website ya nacte . nikaona kuna udahili ulifanyika march- april 2017. Hii inamaanisha udahili mwingine hautafanyika tena mpaka 2018 march ? Je ule udahili wa katikati ya mwaka haswa hua unaanza mwezi wa 5 na wa 6 , safar hii utafanyika?
 7. Detective J

  Course za A+ na N+ zinatolewa wapi ndani ya Dar es salaam?

  Wadau naomba msaada. Ningependa kujua wapi wanafundisha course za A+ na N+ hapa dar es salaam?
 8. Detective J

  UMEJERUHI MOYO WA MPENZI WAKO NA UNATAKA KUUTIBU?

  Inawezekana kukawa kumetokea kutokuelewana baina yenu, mkaachana. Ukiwa nje ya uhusiano wako, ukagundua kwamba chanzo cha matatizo yote ni wewe. Inategemea umemfanyia nini? Labda umemtukana sana, umeharibu samani zake nk, lakini mwisho wa siku unagundua kwamba wewe ni chanzo cha matatizo hayo ya...
 9. Detective J

  Signs you’re with a “narcissistic woman”

  Many of us have been through it… dating what we casually refer to as a “crazy” woman. If you live and date long enough, you might meet a woman who is emotionally or psychologically/emotionally abusive and non-reciprocating. To be clear, this is not an attack on women in general. This is a...
 10. Detective J

  Umeshajua unapendwa, unatikisa kiberiti ili iweje?

  Habari za mchana ndugu zangu. katika mada ya leo, kuna kawaida ambayo si rasmi imejijenga kwa mtu akishagundua anapendwa. Anajaribu kumtikisa mwenzake ili kupima tu ule upendo kutoka kwa mwenzake. Anajaribu kufanya jambo ambalo anajua kabisa hata haliwezekani katika hali ya kawaida, yeye...
 11. Detective J

  Jiepushe kurudiana na mpenzi wako wa zamani ni hatari sana kwako

  Mapenzi/Mahusiano ni kama chuo/darasa, unapata mengi ya kujifunza toka kwa mwenzako uliyenaye kwenye huo uhusiano. Mnaweza achana kwa makubaliano mazuri au kwa vurugu na dharau pamoja na kejeli kibao. Hutokea mara nyingi mmoja wenu akarudi kama rafiki mwema aliyebadilika na kuhitaji nafasi ya...
 12. Detective J

  Kujua kama upo kwenye mahusiano mabaya (Toxic relation)

  Topic ya leo tunaongelea kuhusu toxic people, na jinsi ya kujua kama upo katika mahusiano na mtu toxic. Nikisema mtu toxic namaanisha wale watu ambao wanakuumiza akili, moyo, confidence yako na hata mawazo yako. Hizi ni njia 5 tu ambzo zitakusaidia kujua kuwa huyo mtu ambaye upo naye katika...
Top Bottom