Search results

 1. mwanakijiji lugusi

  Msaada tatizo la mdomo kuwa na radha ya uchungu

  Wadau, Mimi nasumbuliwa kwa muda sasa tatizo la mdomo kuzalisha mate machungu ikiambatana na tumbo kunguruma na kadri tumbo linavyonguruma ndipo mdomo unakuwa mchungu zaidi na hali hii inakuwa mbaya zaidi hasa nyakati za asubuhi ninapoamka pia hali hii inapelekea mwili kuuma na viungo hakika...
 2. mwanakijiji lugusi

  Nina uvimbe pembeni ya mdomo. Sababu ni nini?

  Wadau nina miaka kumi sasa kuna uvimbe mdomon nimetumia dawa ya kusukutua mouth wash lkn tatizo bado lipo nimeendea hospital lkn tatizo halipon nini tatizo na kama ni ngoma nimepima sana tu jaman nisaidien kwa kuwa hili tatizo linanitesa sana na lilianza kama kaupele hivi mdomoni.
 3. mwanakijiji lugusi

  Napata uchungu mdomoni, maumivu ya viungo na uchovu uliopindukiwa

  Nateseka sana wadau nina miaka kumi hili tatizo nililonalo la mdomo kuwa mchungu huku viungo vya mwili vikiuma na uchovu uliopindukia, na nimejaribu kwenda hospital kucheki vipimo vyote lakini tatizo halionekani. Nimetumia madawa ya kila aina ya antibiotics lakini hali inazidi kuwa mbaya huku...
 4. mwanakijiji lugusi

  Utaratibu wa kuhama chuo kikuu upoje?

  Habari wana Jf mimi ni first year tarajali na nmekosa mkopo je nifanyeje ili nihamie Chuo kilicho karibu na home ili familia ikasimamie show kwenye ada na mahitaji yangu mengine nikiwa chuo.
 5. mwanakijiji lugusi

  SAUT Mbeya tujuane hapa

  Jaman wale wa SAUT Mbeya tukutane hapa na kujuana na kupeana updates za Chuo na mazingira kwa ujumla ya huko MBEYA
 6. mwanakijiji lugusi

  Aliconfirm Tumain Dar awamu hii kachukuliwa UDSM NA anapenda UDSM AFANYEJE?

  Habari za siku wana Jf nina ndugu yangu aliconfirm Makumira ila anapenda kusoma UDSM na ada halipiwi na HESLB Bali kuna shirika la kimarekan litamsomesha je akienda kuripoti UDSM itamletea madhara huko mbeleni? Kwa wenye uelewa msaidien dogo
 7. mwanakijiji lugusi

  Aliconfirm makumira awamu hii kachukuliwa UDSM NA anapenda UDSM AFANYEJE?

  Habari za siku wana Jf Nina ndugu yangu aliconfirm makumira ila anapenda kusoma UDSM na ada halipiwi na HESLB Bali kuna shirika LA kimarekan litamsomesha je akienda kuripoti UDSM itamletea madhara huko mbeleni?
 8. mwanakijiji lugusi

  Nmechaguliwa SAUT MTWARA

  Habarin wadau nmechaguliwa saut mtwara na sipo multiple je naweza kuomba round ya 3 hii ni kutoka na hali yangu kiuchum na umbali mi natoka tarime mara niliomba vyuo 3 UDOM NA RUCO lkn hawajanichukua
 9. mwanakijiji lugusi

  WALE WA STELLA MARIS UNIVERSITY INGIEN KWENYE AC ZENU

  Hatimaye selection round ya pili bachelor zimetoka ingien kwenye saris zenu
 10. mwanakijiji lugusi

  Vyuo vimejaaa awamu ya kwanza ya udahili kinachofanyika second round ni siasa tu

  Leo nimefanya utafit wangu nimegundua kuwa wanaoomba vyuo awamu ya pili ni kama wanapoteza muda tu coz vyuo asilimia 98 vimeajaa Nimechukua TCU GUID book na kuangalia CAPACITY ya idadi ya wanafunz wanaotakiwa katika koz husikuta nimekuta vyuo vingi vimejaa Utafit wangu mdogo Nimeangalia mfano...
 11. mwanakijiji lugusi

  Msaada: Wakati wa kuomba chuo cha UDOM

  Mwenzenu Niliomba udom ila kuna sehemu paliandikwa kuambatanisha cheti ila sikuelewa wanamaanisha cheti cha diploma,foundation, six au cha form four yaan sikuelewa kabisa nikashindwa kuambatanisha . Je, kuna madhara ya kutokuchaguliwa? UDOM nakipenda sana sababu ada bei chee na pia ni Chuo cha...
 12. mwanakijiji lugusi

  Anayekifaham Chuo institute of adult education IAE je kinatoa digrii?

  Wanabodi naomba kuuliza hiki Chuo kipo sehem gani huko dar mim npo SHINYANGA VIJIJIN huku nataka nitimbe huko dar NA JE KINATOA DIGRII?
 13. mwanakijiji lugusi

  Ni vyuo gani wanaopokea wale waliohitimu foundation program Open University?

  Wakuu poleni na majukumu naombeni kuuliza ni vyuo gani mpaka sasa wanaopokea wale waliohitimu foundation program open university? Coz mpaka sasa mambo hayaeleweki kabisa nahisi open wametutapeli na kutupotezea muda na ada zetu
 14. mwanakijiji lugusi

  MAGUFULI TCU NI JIPU LILILOIVA

  Wanaomba kuuliza hivi ile namba ya simu ya TCU iliwekwa kwa ajiri ya kazi gani? Haiwezekan karibia wiki ya tatu hii napiga tu inaita lkn haipokelew hivi hawajui wapo pale kwa ajiri ya sisi wananchi masikin? Mwisho wa siku wakitumbuliwa na kipenz cha wanyonge wanakuja kulalamika kuwa wana...
 15. mwanakijiji lugusi

  TCU KWANINI MPAKA SASA WALIOHITIMU FOUNDATION COURSE OUT MPAKA SASA HAWAJARUHUSIWA KUAPPLY?

  Habari wanabodi Napenda kuwauliza hawa watu wa TCU pamoja na open university mwaka Jana tume ya vyuo vikuu TCU iliutangazia umma ya kwamba wamerudisha program ya foundation kwa wale wahitimu ambao walipungukiwa sifa za kujiunga na vyuo vikuu.Hii program walisema itaendeshwa na Chuo kikuu huria...
 16. mwanakijiji lugusi

  Nikiwakumbuka tu HESLB furaha ya kupata chuo inazimika kabisa

  Wadau naona vijana wengi wanafurahia kupata chuo dah ila mwenzenu nikiwakumbuka HESLB furaha inapotea kabisa kwa kuwa nikikosa mkopo ndoto za kusoma UDSM zinazimika kama mshumaa coz nimesoma kwa kuungaunga sana na kama mashamba tumeuza yote kwa sababu ya kuisaka elimu ya form one mpaka six...
 17. mwanakijiji lugusi

  Jamani nauliza hivi pale duce kuna hosteli?

  Wadau Mimi mwenzenu nipo huku kijijin chaka kbsa na ni mtoto wa mkulima kbsaa na cjawah kanyaga dar but napasikiaga tu sasa nmepata nafasi ya kupiga buku pale je chuo cha DUCE kuna hostel na je kama hazipo chumba sh ngap huko dar?
 18. mwanakijiji lugusi

  Hongera kwa kufaulu karibu chuo kikuu

  HONGERA KWA KUFAULU! KARIBU CHUO KIKUU. (Fikisha ujumbe huu kwa wadogo zetu 1year watarajiwa.) Karibu Chuo Kikuu mdogo wangu! Hiki ndio kile chuo ulichokua ukikitamani siku zote...hongera na karibu sana. SI ULISIKIA KUNA BATA!? Hili ndilo eneo pekee wanafunzi wanaingia darasani...
 19. mwanakijiji lugusi

  TCU HII JANJA YENU BADAMU BATAMWAGIKA

  Mi nmeota labda haya magumash wanayafanya ili MKULU AWAONEE HURUMA ili ajue HUU MFUMO NI MBOVU ili MFUMO WAO WA ZAMANI URUDISHWE waendelee KUPIGA PESA kutoka vyuo dhaifu najiuliza Kwann wasitoe majina ya watu ambao ni cont kuonesha kuwa wanakigezo kuchaguliwa chuo walichoomba,kuliko kuwapiga chn...
 20. mwanakijiji lugusi

  Wale Wa duce tukutane hapa

  Wadau huu Uzi ni maalumu kwa wale waiochaguliwa Duce na kupeana hali halisi za huko na maisha ki ujumla
Top Bottom