Search results

 1. papaayenga

  Mjuzi anifahamishe tija (Faida) inayopatikana katika free apps kwa wahusika

  Naomba kuuliza kwa wale wanao tengeneza free app. Wanapo zituma kama vile YouTube au katika website nyingine huwa wanalipia katika hizo site? Na kama wanalipia wawo hupataje kipato kwa kaziyao hiyo wakati wawo huzitangaza kuwa ni app. za bure? Pia mtu binafsi anapo upload clip yake YouTube au...
 2. papaayenga

  Covid-19 Janga Kubwa Ulaya Magharibi Na Mashariki

  Maranyingi sana majanga mengi huwa yakiletwa na mikono ya binaadamu mwenyewe hii ndio utaratibu wa maisha hapa duniani kwa mfano vita ni matokeo ya baadhi ya binaadamu kutaka kutawala la binaadam wenzao pasina ridhaa yao au kundi moja kugandamiza kundi jingine. Ukame na mafuriko kwa kiasi...
 3. papaayenga

  Sheria ya ndoa ni suluhisho la mimba za utotoni?

  Inashangaza sana kuona watu wanapoteza nguvu na muda wa kuendesha kesi kwa masuala ambayo mizani yake haiowani na tatizo halisi. Mara nyingi sana watu wenye fikra zilizo huru na migandamizo huwa wakitumia busara kufumbua tatizo kuliko kutumia mihemuko ya giza katka utafutaji wa suluhu juu ya...
 4. papaayenga

  Gari Fusso mingnon yauzwa

  Tiper fusso mingnon engine d16 single diff tairi 4 nyuma bado ipo ktk hali nzuri inatembea, bei mapatano kwa maelezo zaidi piga 0754403390
 5. papaayenga

  Course ya stashahada maalum ya ualimu wa sayansi (kemia,hisabati)

  Naomba mwenye kuelewa course hii anifahamishe utaratibu wake chuoni na malipo yake na baada ya kumaliza mafunzo hayao unakuwa mwalimu wa shule zipi za msingi au sekondari, na vipi ugumu au urahisi wa ajira pia na upatikanaji wa degree unapo maliza stashahada,
 6. papaayenga

  Baadhi ya wakristo Ulaya wajifanya waislam ili kupata tonge

  Umezuka mtindo ulaya kwa kutumia ukarimu unaopatikana ktk dini ya kiislam kuhusu kusaidia masikini na wanyonge na wenyeshida kwa kuwapa swadaka popote wakiwa ima ktk majumba ya ibada au mtaani, wakristo wametumia fursa hiyo na wawo kuvaa kama wanavyo vaa waislam na kukaa barabarani wakiomba...
 7. papaayenga

  MOI: Ndugu wa huyu jamaa wanatafutwa. Amepoteza kumbukumbu hivyo kushindwa kutoa taarifa muhimu za utambulisho

  Huyu jamaa kiasi cha mwaka 1 na miezi 9 yupo MOI hospital akitibiwa, sasa hali yake ni njema, lakini kapoteza kukumbukumbu zote kufuatana na matatizo alioyapata, Ndugu wanahitajika wafike MOI Hospt, wamchukuwe ndugu yao
 8. papaayenga

  MAJERUHI WA AJALI YA BUS CITY BOY

  Kijana CLINTON BALOZI alipata ajali ktk busi la city boy inasadikika alitokea Kanyanga kwenda Kyerwa, yupo hospitali Bugando Mwanza ndugu zake hawajapata habari Kwa yeyote anaye mfahamu kija huyu asaidie nduguze kupata habar
 9. papaayenga

  Binadamu kiumbe dhaifu

  ajabu ya binadam kujigamba kwake na kujifaragua kwake kote, wakati chakula chake kilicho bora zaidi na vazi lake lilo bora zaidi Vina toka tumboni mwa mdudu.
 10. papaayenga

  Ni ipi hadhi ya malaya katika jamii?

  Kwa hakika kama kuna tabia ya aibu na kuchukiza na kuporomsha heshma ya mtu ni tabia ya umalaya siku za awali mtu akiitwa malaya awe mwanamke au mwanamume alikua hanathamani mbele ya watu hata ushauri wake au maoni yake yalikuwa hayazingatiwi na hudhrauliwa kwa ushauri sababu ya tabia yake...
 11. papaayenga

  Can you give scientific facts makes this sheep to carry its weight?

  Tizama video hii na uchangie ila naomba utumie akili zaidi na ustarabu ktk comments zako
 12. papaayenga

  Watch "10 Strange World Phenomena Science Cannot Explain!" on YouTube

  Hapo ndipo ukweli kua sayansi tunayo ifahamu sisi binaadamu ni sehemu ndogo sana ya elimu tuliopewa na Allah yapo mambo mengi na makubwa abayo hatuyajui,nawala kwa hii elimu yetu ndogo ya sayansi tusijaribu kumpangia M/Mungu eti HAKUNA HUKUMU YA ADHABU KWA WAOVU NA PEPO KWA WEMA SIKU YA MWISHO
 13. papaayenga

  CHADEMA mtamkumbuka Zitto na Slaa, CUF hawataisahau CHADEMA

  Kwa mwenendo wa matokeo rasmi viti vya ubunge tayari CHADEMA yaelekea kupoteza viti vingi vya ubunge pamoja na udiwani hii inaonyesha wazi umahiri wa Zitto kabwe na Dr. Slaa walivyofanya kazi kubwa kwa kutumia upeo wao mkubwa wa ushawishi wa kisiasa kuipa mafanikio makubwa CHADEMA katika...
 14. papaayenga

  Luwasa big up 2shifty colour not party

  Shuudia mwenyewe alivyo pendeza ukumbini
 15. papaayenga

  Mufti Simba wa BAKWATA na Shekh wake Alhadi wanacho cha kujifunza

  Mchezo wa kuigizwa kati ya Kadinali Pengo ,Askofu Gwajima na Serikali na kuondolewa muswada wa Mahakama ya Kadhi bungeni mna somo kubwa sana ambalo Mufti Simba wa BAKWATA na Shekh wake wa mkoa wa Dsm Alhadi walizingatie kama watakuwa na sifa ya ULUL ALBAB (wenyekutumia akili) kama isemavyo...
Top Bottom