Search results

 1. Mtanganyika

  Natoa huduma ya Mentor and Angel Investor kwenye biashara

  Wakuu mambo vipi... Ni muda mrefu sijaandika kwenye jamvi letu hili la biashara, sababu nimerudi Tanzania na nilikuwa nataka kujaribu niliyo yaandika kwa muda mrefu humu (mfano Business Ideas Bure). Nimejaribu na nina ongoing projects ambazo zimeanza kutoa dividend. Nimekaa nikatazama...
 2. Mtanganyika

  Ushauri (Bure) wa Biashara

  Wakuu, 1. Fahamu Biashara Yako Nje Ndani Muda kama huu kama huifahamu biashara yako kindakidaki utakwenda na maji tuu. Unakutana na mtu anakwambia nina biashara yangu ya butcher, unamuliiza kwa siku unazua kilo ngapi anakwambia kuna siku nauza 60KG siku nyingine 45KG, unatamani umkate makofi...
 3. Mtanganyika

  Nahitaji Software Developer

  Wakuu nina kiaidia mshenzi ambacho nataka kukifanya. Lakini sina ujanja na software development hivyo namsaka mwenye ujuzi huo. Tafadhali kama una ujuzi wa software development na una experience ya kutosha basi hii inakuhusu. Mpango sio nikupe ajira lakini tukae chini tuone kama tunaweza kuwa...
 4. Mtanganyika

  Viatu vya Kiume vinauzwa

  Wakuu nategemea kuleta mzigo wa viatu vya kiume kutoka state, ni dressing shoes ( moka) kwa wanaume. Bei ni dollar $120 flat. Ukichukua pair 3 na kuendelea bei ni $110. All price are in USD. Kama upo interesting ni inbox kwa kujua size ya mguu kama ninayo. Vilevile ninatoa ushauri kuhusu viatu...
 5. Mtanganyika

  Business ideas (Bure)

  Wakuu nimekuwa nikifuatilia JF kwa muda mrefu sana, tangu enzi hizo inaitwa JamboForums mpaka JamiiForums. Nimeona watu wengi walivyo na muamko wa biashara ili kuongeza kipato sababu mishara ya kazini haitoshi. Lakini kikubwa nimeona watu wanavyoumiza kichwa kujua nini wafanye, wengi wamekuwa...
 6. Mtanganyika

  Used Marine Sheets na Mbao. Bei 30,000 na mbao 3,000

  Wakubwa, Nauza Marine sheet kama 100 na mbao. Marine nimezitumia kumwagia jamvi la juu kwenye kajumba kangu Tegeta. Kama unaitaji nitumie msg. Nauza bei ya kutupa, half of the price. 30,000 kwa sheet moja. Kama utachukua zote leta 28,000 per peace. Mbao nina za aina mbali mbali nazo nauza bei...
 7. Mtanganyika

  Natafuta Milunda na Mbao Zilizotumika

  Waungwana, nashida na Milunda na Mbao au kama kuna mtu anajua wapi naweza kupata Proxy Sheet au Marine sheet kwa ajili ya kumwagia jamvi la juu la kajumba kangu. Mwenye details tafadhali tufahamishane.
 8. Mtanganyika

  Naitaji Corolla NZX 2003-2005 au Mark II GX115

  Wakuu, Naitaji Corrola NZX engine model ya mwaka 2003, Mile 75K maximum, rangi yoyote ile. Au naitaji GX115 ya mwaka 2003-2005, CC 2000, Mile zisizidi 75K. Bei maelewano, sitaki bei za wazimu kwani nibora ni ode mwenye Japan, usisingizie ushuru kwani najua ushuru bandarini shilling ngapi...
 9. Mtanganyika

  Eng. Wilaya ya Kinondoni

  Natafuta mhandisi wilaya wa Kinondoni ili anijulishe gharama za kupitisha ramani kwa ajili ya building permit. Kama wewe ni trust worth engineer tafadhali ni pm.
 10. Mtanganyika

  Commodity Market in Tanzania

  Waungwana hivi kwa nini hakuna mjasilimali alieanzisha commodity market in Tanzania? Hii itasababisha kustabilize price ya nafaka nyingi nchini, vilevile itawapa wakulima access na wateja direct. Ethiopia wameanzisha, Kenya wamefanya hivyo. Kwa nini Tanzania tunalega lega?
 11. Mtanganyika

  Nikikupa Millioni 20 Utazifanyia nini?

  Wajasilimali wa JF, swali langu ni simple. Nataka kukupa Millioni ishirini, jee utaziwekezaje? Masharti ni kwamba ndani ya miaka mitatu nataka nusu ya mtaji wangu, na asilimia 25% ya kampuni yako. Niambie Millioni ishirini utawekeza wapi?
 12. Mtanganyika

  When is the real time to start thinking about retirement plan?

  Wana JF long time huko nilikuwa na katabia ka kutoa article moja inayohusu investment kila baada ya mwezi, katabia kale kakafa.. Leo nakarudisha tena na kuunza na hii " Jee ni lini unatakiwa uanze kufikiri kuhusu retirement?" The notion that I am too young to think for retirement plan has no...
 13. Mtanganyika

  JF Entrepreneurs Networking Chit-Chat

  My fellow JF members who are also entrepreneurs, I am planning to hold a free networking event in Dar around Mid December. This meeting will be straight networking, sharing business contacts and small bite of business strategy. I want this event to free, but in a classic area. I am willing to...
 14. Mtanganyika

  Nafuta Kiwanja, Mbezi Beach, Kunduchi, Boko, Kawe, Kigamboni, Salasala and Mbweni

  Wana JF, mwana jamii mwenzenu natafuta kiwanja maeneo hayo niliyo yataja hapo juu includes Bunju. Tafadhari nitumie msg kupitia inbox yangu kwamba kiwanja kiko wapi, kina ukubwa gani. Hints, I need more than one plot, so advise me accordingly. Nitumie namba ya simu na nitakupigia within...
 15. Mtanganyika

  Elections 2010 Himizi Watu 5 Jumapili Kwenda Kupiga Kura

  Ndugu zanguni Watanzania, nimekuwa nikifuatilia uchaguzi hapo nyumbani kwa karibu sana. Nimesoma nakala nyingi zinazo husu uchaguzi wa 2010. Sasa tukiwa tumefika kwenye dakika za lala salama ni wazi kabisa mabadiliko yako kwenye ncha zetu za vidole. Mwaka 2010 naufananisha na mwaka 1960 hapo...
 16. Mtanganyika

  Elections 2010 Kinondoni Need MP like Mpoki Mwambuluku

  Nikitambo sana tangu kuandika hapa kwenye JF, the reason behind is the forum became sold out.However, leo nimeamua kuandika kwa nini Kinondoni wamchague Mpoki Mwambulukutu. Kwanza compare na wagombea wengine nadhani ana CV ambayo imesimama. B.A Economics, MBA then M.Phil in Economical...
 17. Mtanganyika

  Did Songas achieve the Goal?

  SongoSongo Gas-to-Electricity Project The goal of the Songo Songo Gas to Electricity project is to develop natural gas from the Songo Songo gas field in Kilwa District to provide Tanzanians with a reliable source of low cost electricity. The project will form the basis of the development of gas...
 18. Mtanganyika

  Mtoto wa Mungai mbaroni ni Kuhusu Saga la Kugushi Vyeti vya Elimu

  Na Richard Bukos Mtoto wa aliyekuwa Waziri wa Elimu wa zamani Joseph Mungai aitwae Justina Mungai na wenzake saba ambao ni wafanya kazi wa benki Kuu ya Tanzania (BoT), Jana (Ijumaa) walifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam baada ya kutiwa mbaroni wakidaiwa kuwa...
 19. Mtanganyika

  Una swali Kuhusu Biashara Yako?

  Leo nimeamua kutoa chance kwa wale wote wenye biashara ambao wanataka kujua nini wafanye ili kuongeza faida, kuanzisha uhusiano wa kibishara, kuongeza mchakato wa kimashindano, kufanya forecast. Any question concern your business? Au kama unataka kuanzisha biashara what are Do's and don't?
 20. Mtanganyika

  Zimbabwe Can't Paper Over Its Million-Percent Inflation Anymore [no more banknote pap

  Posted on Tuesday, July 01, 2008 10:44:20 PM by rabscuttle385 Robert Mugabe has kept his embattled regime in Zimbabwe afloat on a sea of paper money. Now, he'll have to try to do it without the paper. The Munich-based company that has supplied Zimbabwe with the special blank sheets to...
Top Bottom