Search results

 1. UP TO DATE

  Viwango vya mishahara kwa walimu: Ualimu ni mateso

  Wafanye tu kazi kwa kweli,wasichoke...asee.
 2. UP TO DATE

  Refa aliyechezesha mechi ya Namungo VS Yanga afungiwe

  Yani hii ndo ilikuwa penalti?,mbona Kuna nidhamu fulani imekosekana hapo au Kuna kanuni na sheria mpya, au Mimi sijui sheria...
 3. UP TO DATE

  Nimefukuzwa kazi leo, kama umeajiriwa jifunze kitu hapa

  Wengi huwa baada ya kufukuzwa kazini ndo tunaanza kuyaona...
 4. UP TO DATE

  Nahisi kama nimerogwa

  Duuh...
 5. UP TO DATE

  Yale Mabilion tuwekeze kwenye soka la vijana

  Watu wanataka wale matunda bila hata kusaidia na kushiriki kupanda Miche au mbegu...
 6. UP TO DATE

  Tanzania 0-3 DR Congo | 2022 FIFA WC Qualifiers | Benjamin Mkapa Stadium

  Faida ya wachezaji kukipiga ligi kubwa na nzuri inaonekana,sisi huku wanasubiri Hadi mtu au watu wapate mafanikio ndo wapongezwe wakati haya Mambo yanaanzia nyuma kabisa huwezi kukimbia wakati hata kutembea huwezi,Yani tunajipa ndoto nzuri wakati hatukuziandaa haiwezekani kabisa ufanikiwe kisoka...
 7. UP TO DATE

  Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya pedejee Yanga Omary rais wa Tanga

  Umenikumbusha mbali kuhusu yanga daaah,wadigo wa pale mwambani huwaambii kitu kwa omary yanga...ishu ya yanga ilikuwa inajulikana muda mrefu sanaaa na hata wananchi wachache walikuwa wanafahamu sema kilichokuwa kimebaki ni 'timing' nzuri tu,unafikiri kwa nini alinaswa kipindi Cha alcohol...
 8. UP TO DATE

  Leo nimeaibika sana, roho inauma

  Daaahhhh...
 9. UP TO DATE

  Manchester United (Red Devils) | Special Thread

  Daahh, Hali mbaya jamani,hiv zile mechi za mwanzoni kabisa si tulikuwa vinara wa ligi ya epl,Yani Sasa hivi tunaombea bahati,daaah Yani nikiona tu neno TEAM VIEWER Basi namkumbuka mgonjwa mahututi wa kansa ya ubongo na mgonjwa huyo ni man United...
 10. UP TO DATE

  Manchester United (Red Devils) | Special Thread

  Sijasema kuwa tuna uwezo wa kuifunga man city,labda ume missinterprete visivyo...rudia kusoma Tena,haya ni malalamiko yetu ya kila siku toka msimu huu uanze...
 11. UP TO DATE

  Manchester United (Red Devils) | Special Thread

  Timu inayosubiri kutegemea bahati,ngoja tusubiri hizo bahati katika dunia hi mmhh!, Hii timu siyo ya ushindani ni li timu tu la kukamilisha ratiba tu basi,watu wanacheza cheza tu na kocha naye Kama mdoli...
 12. UP TO DATE

  Ethiopia kwa sasa ni saratani iliyotambaa kote sehemu yake

  Mtifuano wa wenyewe kwa wenyewe ni mbaya Sana huwa vurugu zake haziishi Hadi busara itumike...
 13. UP TO DATE

  Wadudu kwenye njia ya uzazi wa mwanaume

  Aende kwa daktari bingwa haswaa anayejua kazi...
 14. UP TO DATE

  Umekula tunda gani leo?

  Watu wanakula fenesi zima, tena watu wawili Tena Yale makubwa kabisa na kusukumizia na uji nusu ndoo,hii ilikuwa naiona Sana kijijini kwetu...
 15. UP TO DATE

  Maonyesho ya Kimataifa ya Uagizaji ya China ni fursa inayokua kwa biashara duniani

  Yani napitia hi habari/ taarifa huku nikitafuta jina la nchi yetu naona silioni naona Kenya,sa na Zambia kwa uchache...
 16. UP TO DATE

  Abiy Ahmed ana njia moja tu kuitoa Ethiopia katika mzozo wa vita ya wenyewe kwa wenyewe

  Kazi ipo,mshindi wa tuzo ya Nobel Sasa kazi anayo,jamaa wale TPLF wanaijua nchi vizuri sana,Wana taarifa nyingi kuhusu nchi hiyo Sasa wanazitumia kupiga...
Top Bottom