Search results

 1. Master Kutu

  Kwa uzoefu wako ni biashara gani yenye mtaji mdogo lakini faida ni kubwa

  Biashara ya usafi 1.kutatua changamoto ya uchafu sugu katika Tiles na Masink Gharama ya dawa ya kung'arisha Tiles na Masink Lita 1 ni 7,000 Gharama za usafi anazo lipia mteja wako Kung'arisha sink 1 ni 10,000 na dawa Lita 1 inatumika kwa Masink 5 Kung'arisha Tiles za ukutani na za chini...
 2. Master Kutu

  Hivi ndivyo ninavyo ingiza kipato cha 30,000 kwa siku baada ya kubadili fikra zangu

  Natengeneza mwenyewe dawa zangu nnazo tumia kufanyia shughuri za usafi
 3. Master Kutu

  Hivi ndivyo ninavyo ingiza kipato cha 30,000 kwa siku baada ya kubadili fikra zangu

  Ni vizuri kama ni njia sahihi kufanya hivyo unaweza pia kuweka tangazo uka pata clients kwa kile unacho kifanya
 4. Master Kutu

  Hivi ndivyo ninavyo ingiza kipato cha 30,000 kwa siku baada ya kubadili fikra zangu

  Amina nashukuru sana mkuu πŸ™πŸ™ ubarikiwe
 5. Master Kutu

  Hivi ndivyo ninavyo ingiza kipato cha 30,000 kwa siku baada ya kubadili fikra zangu

  Kikubwa maelewano na makubaliano mazuri Katika kazi au aina ya chaguo lako la kufanya kazi kwa pamoja kwa malengo
 6. Master Kutu

  Hivi ndivyo ninavyo ingiza kipato cha 30,000 kwa siku baada ya kubadili fikra zangu

  Inategemea utayari wake na mentality yake ikoje boss maana mtu anaweza kuja lakini mawazo yake yapo kutafuta ajira badala ya kufikiria namna ya kukuza project
 7. Master Kutu

  Msaada wa wazo la biashara

  Hapo mkuu ni muhimu muhusika ajue ana taka afanye biashara gani kati ya hizo mbili maana tunapo sema Commodity Business Ni kwenda kuchukua bidhaa kwa wauzaji wa jumla afu wewe unaenda kuuza ili upate faida. Expert Business (Entrepreneurship) Kwanza una angalia jamii unayo ishi ina changamoto...
Top Bottom