Search results

 1. Mtaalam

  Itifaki ya Bungeni leo...

  Habarini wapenda mada za mambo yetu.. kwa waliofanikiwa angalia shughuli za ufungwaji wa bunge letu kama walinotice mkuu wa nchi alipotia timu bungeni, aliposhuka tu kwenye gari alipokelewa na mwanajeshi alikua amevaa sare kama ya mkuu wa majeshi, na sio yule mpambe wake.. Aidha kipindi cha...
 2. Mtaalam

  Wanatafutwa Wahudumu wa Restaurant ndogo na Mini Bar

  Location: Dar es salaam mjini kabisaa Siku za kazi: 6 kwa wiki Kazi kuanza: hata kesho kwa anayestahili Pia kuna nafasi za kulala kwa wahudumu wa kike. Yeyote aliye serious au mwenye mtu atafutae kazi kama hizi ani pm niweze muelekeza namna ya kufanikisha mawasiliano zaidi..
 3. Mtaalam

  Kwa wanaohitaji Vyuo nje ya nchi

  Habari za Weekend waTanzania wenzangu, Natumaini mwaendelea vyema na shughuli za ujenzi wa Taifa letu. Nimekua nikifuatilia jinsi wadogo zetu wanavyotaabika na masuala ya kutafuta na kupata vyuo nyumbani Tanzania, wengine hufanikiwa na wengine hushindwa na kuishia kulazimika kupoteza mwaka...
 4. Mtaalam

  could this be a joke?

  jana nilipokea msg sasa nikashindwa kuielewa niitake as a joke au ndio njia ya kuwakumbuka wapendwa wetu?? it goes like this.... " Huko Mbinguni leo kuna sherehe, vijana Complex na Vivian hatimaye wameamua kufunga ndoa....wageni rasmi ni mwalimu Nyerere na Karume. Mc ni Amina Chifupa...
 5. Mtaalam

  Msanii Chameleon ajirusha ghorofani, avunjika miguu

  MSANII maarufu wa Uganda, Jose Chameleon amejirusha kutoka ghorofa ya tatu ya Hoteli ya Impala mjini Arusha na kusababisha kuumia vibaya ikiwa ni pamoja na kuvunjika miguu yote. Chameleon ambaye amekuwa akitamba na nyimbo za ‘Jamila’, ‘Mama Mia’ na nyingine alijirusha kutoka chumbani kwake...
 6. Mtaalam

  Bongo Flava

  mie naomba nyimbo hizi mbili haoooo wa mwansiti na chidi,bado nipo nipo kwanza wa mwana fa
 7. Mtaalam

  about watulivu,wenye heshima zao na wa dini!!

  nimekuwa nikiwaziaga sana abt watu flani flani katika jamii na leo niliposoma comments za naima , yo yo kwenye big brother thread nkashawishika kuuliza wana jamii forums kwa ujumla abt it.. it goes like this,je ni kwa nini wasichana wale wenye heshima zao na waonekanao ni watu wa dini flani...
 8. Mtaalam

  august 1,mwisho wa vipanya (hiace)!!!

  as tulivyosikia wajimini kuanzia siku hiyo ya ijumaa ya august 1 hamna ruhusa kwa vipanya kutoa huduma jijini kwa ajili ya kupunguza msongamano wa magari jijini, je is it the right njia mbadala kupunguza msongamano huo?? wil it solve the problem? and what about shida ya usafiri wa wananchi...
 9. Mtaalam

  Mabondia wa TZ wakamatwa na madawa ya kulevya Mauritius

  TIMU ya ngumi ya Tanzania iliyokwenda kushiriki michuano ya ngumi ya Ubingwa wa Afrika, wamekamatwa na dawa za kulevya aina ya heroin. Waliokamatwa ni kocha wa timu ya taifa, Nassor Michael, bondia wa uzito wa feather Petro Mtagwa na bondia pekee aliyefuzu kucheza michezo ya Olimpiki...
 10. Mtaalam

  TANZANIA (taifa stars) vs CAMEROON !!!

  kipute ndo hichooo chakaribia bandugu na wa cameroon washatua darisalama tayari kwa mpambano
 11. Mtaalam

  Kubadilisha damu mwili mzima: Je kuna ukweli katika hili?

  i have been hearing tory za vijiweni na news about watu flani flani n now nikisoma habari ya mtu mmoja hapa jf nimekumbuka tena hiyo habari nikaona kwa vile jf ni kama one of da main source ya sio tu information pia hata knowledge kwa baadhi yetu niulize hapa... swali lenyewe ni hivii ni...
 12. Mtaalam

  ajali ya ndege Moshi

  nimeingia kwenye blog mojawapo nimesoma kuna habari kuwa kuna ajali ya ndege wajimini sijui pasua moshi uko tz...wadau mlioko huko hebu tumuvuzishieni habari zaidi
 13. Mtaalam

  Pongezi Kwa Mh Rais Jakaya Mrisho Kikwete

  katika pita pita yangu katika blog mbali za watanzania nimekutana na barua hii ya mdau mmojawapo aliyeko india akimpongeza raisi wake.. sasa ninachojiulizaga mie ni watu huwa vipofu wa kufikiri ama viziwi wa kutafakari???ama ukiwa mwana ccm basi hata kufeel ukweli na uchungu juu ya nchi yetu...
 14. Mtaalam

  Britney Spears's viojaz!!

  nyepesi nyepesi zimetoka kuwa Britney anatoka na mpiga picha wa ki Pakistan na ana mpango wa kubadili dini awe muislamu aitwe Begum Britney na kama hajamaliza habari ana mpango wa kujimuvuzisha na mkandamizaji wake huyo mpya to Pakistan!!! he he he heeee huyu dada jamani apelekwe Milembe za...
 15. Mtaalam

  aids huweza ambukizwa na matunda???

  nimesoma forwarded msg moja kwenye email yangu na nikakuta ina story sijui ni kweli ama nini yasema kuwa kuna mtoto wa miaka 10 alipata ukimwi kupitia tunda nanasi ambapo muuzaji mwenye ukimwi alikata tunda hilo na kwa bahati mbaya akajikata na damu ikapita kwenye tunda lile na huyo kijana...
 16. Mtaalam

  J.Nyerere's Letter (barua) to J.Kikwete

  To: Mrisho Jakaya Kikwete Kijana, Perhaps you are just addicted to fame and popularity, or you just don't know what you are really doing in State House. But whatever it is, you're leading the nation in wrong direction. And as a former statesman, I feel duty-bound to warn you at this time...
 17. Mtaalam

  International schools vs normal schools in TZ

  wana JF nimeona suala hili likigusiwa kwa juu kwenye thread flani na mie likanigusa as nikiwa Tz kuna wakati i used to fuatilia performance za hizi international schools...sio primary hata secondary yaanii nadhubutu kusema ni mbovu..as hata kwenye mitihani mara nyingi hazifanyi vyema watoto...
 18. Mtaalam

  Tanzania,cameroon,mauritius,cape verde..tutapita?

  me hofu yangu ni kwa hao kina etoo tuu wacameroon..tukaze buti wa tz twaweza fika
 19. Mtaalam

  Upinzani kwenda mahakamani tena ni sawa?

  Je ndugu zanguni pamoja na kuwa Upinzani umezidi sana kwa kwenda mahakamani mara kwa mara..je kwa kesi ya sasa hivi sababu iliyowapeleka mahakamani mwaionaje??Ni haki uchaguzi kusimamishwa?watashinda kesi?
Top Bottom