Search results

 1. BuenosAires

  Mama Diamond Platnumz (Bi Sandra): Hatukuoana ili tuachane

  Hahhaa yuko vizuri aise,,,unaweza fikiri baba wa kambo.
 2. BuenosAires

  Mama Diamond Platnumz (Bi Sandra): Hatukuoana ili tuachane

  Huyo ni baba mzazi wa diamond?
 3. BuenosAires

  Ni vizuri kufanya mapenzi kabla ya ndoa au baada kipi ni kipi? Ushauri tafadhali

  Safi kabisa. Umempa elimu huenda hakuwahi kuipata kokote. Mleta mada achukuwe ushauri wako tena fastaa.
 4. BuenosAires

  Ni vizuri kufanya mapenzi kabla ya ndoa au baada kipi ni kipi? Ushauri tafadhali

  Mnazini kabla hamjaowana!!! Hii ndiyo tabia ya waafrika wengi hapa bongo na afrika kwa ujumla.
 5. BuenosAires

  Watumiaji wenye matumizi makubwa ya Internet nawaomba kidogo/Heavy Internet users

  Halotel wanayo, inaitwa royal bundle, unapewa gb 6 za kasi, zikimalizika jiandae na saikolojia
 6. BuenosAires

  Jiji la Arusha limekosa vituo vya daladala, pembeni ya barabara kuu ndio mwisho wa kituo

  Alafu anakuja mchagga mmoja hapa wa kutoka moshi sijui machame huko anaicompare na jiji la mwanza, jiji la pili kwa ukubwa Tanzania, lenye mandhari nzuri yakuvutia, kibiashara, utalii na hata kuishi. Huko kulikojaa ushoga mtafananisha na Mwz kweli!!! Acheni masikhara.
 7. BuenosAires

  Paris Saint-Germain Special Thread

  Timu haina muunganiko mkuu. Wanachomfanyia messi siyo kabisa, hawajui kuwa wanaicost timu kwa ujumla!! Kila mtu anataka aonekane star, kila mtu analazimisha awe midfielder, kitu ambacho hakiwezekani. Nimetazama dakika zote 90 wanapeana pasi wao kwa wao messi wanampita kama hawamuoni ila chache...
 8. BuenosAires

  Paris Saint-Germain Special Thread

  Hahhaaa Mimi ni shabiki wa city pia, lakini psg kwa mwendo huu hawafiki kokote. I wish Messi ajiunge na city
 9. BuenosAires

  Mwanza imeharibika kwa ukahaba

  Huyu magida ni nani?
 10. BuenosAires

  Mwanza imeharibika kwa ukahaba

  Na zanzibar pia hivyo hivyo kuna ushoga pia
 11. BuenosAires

  Mwanza imeharibika kwa ukahaba

  Mwz ukahaba, dom ukahaba, dar ukahaba, arusha ushoga. Duhh kazi kweli kweli.
 12. BuenosAires

  Paris Saint-Germain Special Thread

  Na hata ukicheki goli alilofunga mbappe ni messi ndie sababu.
 13. BuenosAires

  Paris Saint-Germain Special Thread

  Mbape na wenzie wanaicost sana timu, ana kaubinafsi flani kwa messi, na sio yeye tu, wengine pia wamegeuka kuwa midfielder na siyo wakabaji wa kutoa pasi kwa messi. Psg haifiki kokote kwa style hiyo. Mbappe analazimisha chenga wakati kuna messi pembeni yake, messi alikuwa na nafasi kubwa ya...
 14. BuenosAires

  Nakuru Town vc Arusha city

  Sasa huko milimani watakaa watu wenye hela ilhali hata miundombinu ya barabara za lami hazijawafikia! Wewe utakuwa hujawahi fika mwz, nenda bwiru, capripoint, ilemela n.k. hayo maeneo ni pembeni ya mji, bei za nyumba capripoint hazishikiki. Za kupanga mpaka 2000 dollar's. Huko arusha mnanini...
 15. BuenosAires

  Ukahaba huu Msamvu Morogoro ni hatari

  Hujamuelewa mkuu. Uko tayari upite na familia mbele ya makahaba? Lazima utaona aibu, achilia mbali familia wewe kama wewe lazima uone aibu.
 16. BuenosAires

  Ukahaba huu Msamvu Morogoro ni hatari

  Kwa ufirauni huu unaoendelea wapi mvua itanyesha
 17. BuenosAires

  Nakuru Town vc Arusha city

  Katikati ya mji vinyumba vya kizamani, taa za barabara za miaka ebu tuambie zafanya kazi? 🤣 Arusha na mbeya zilinganishe, na siyo mwanza, baada ya dar ni mwanza
 18. BuenosAires

  Nakuru Town vc Arusha city

  Millard ni mtu wenu unategemea habari zote atapost zakweli!
 19. BuenosAires

  Tundu Lissu avuliwe uongozi CHADEMA

  Ipo kazi aise 😂
Top Bottom