Search results

 1. SMU

  Virusi Vipya 'OMICRON' Huko Kwa Madiba...South Africa

  Wacha hili jua na joto kali liendelee kwa mwezi mwingine mmoja.......virusi havitatia mguu Tz! No?
 2. SMU

  Nimefukuzwa kazi leo, kama umeajiriwa jifunze kitu hapa

  Pole. Geuza hii ya kufukuzwa kazi kama fursa kwako. Unaweza! Jiajiri na kisha ajiri wengine.
 3. SMU

  Majeneza ya kukodi na makaburi ya kupanga

  Yap, hii ya majeneza ya kukodi haipo mbali sana. Kwa mfano, unaweza kuwa na jeneza zuri sana (material inayodumu (metal?), nyepesi, etc) kubwa kidogo hili ndio linakodishwa. Hilo linatengenezwa kuweza Ku accommodate jeneza dogo ndani na kulifanya liweze kufunguka kwa urahisi wakati wa kulitoa...
 4. SMU

  Aina ya nondo kwenye umwagaji wa lenta pamoja na nguzo

  Suala la aina na ukubwa wa nondo ni suala la kitaalamu (structural engineer huwa anafanya mahesabu yake) na hakuna jibu moja kwa cases zote. Kuna mambo mengi tu yanaweza kuhitaji kuzingatiwa hasa kiasi cha mzigo (tensile forces). But huku "mtaani", wanaojenga bila kutumia wataalamu wengi...
 5. SMU

  Mahakama yamuengua mjane wa Bilionea Erasto Msuya kusimamia Mirathi ya Mumewe

  Ila kwa hiyo miaka tisa mali nyingi zitakuwa zimepotea, zimeshaliwa au hata kuharibika.
 6. SMU

  Unaishi vipi na jirani anayependa dezo na kuombaomba?

  Chunguza vizuri, huenda kuna "agenda" ya ziada. Jirani yako ni wa jinsia tofauti na yako?
 7. SMU

  Suala la kuajiri kwa kutaka mtu awe kapitia JKT liangaliwe upya, JKT huwa hawachukui wote wanaomaliza kidato cha sita mafunzoni

  Ni suala la uvunjifu mkubwa wa haki za kikatiba. Nilitegemea angalau CSOs zikemee hili na hata kulifikisha mahakamani. Halikubaliki.
 8. SMU

  Hivi Mwanaume kuzidiwa Umri na Mpenzi/Mwanamke wake ni miaka Mingapi wastani?

  Malengo yako ni nini katika ndoa/mahusiano? Kwa mfano, unataka huyo mwanamke akuzalie watoto? Je, umri wa huyo mwanamke unaruhusu kuzaa? #menopause Vipi jamii yako au ndugu zako unahisi watapokeaje? Kumbuka ukioa unaunganisha undugu. Binafsi itaniwia vigumu sana kukubaliana na kijana wangu (I...
 9. SMU

  Sitosahau siku niliyotishiwa bunduki na baba!

  Malezi ni changamoto sana. Inahitaji uvumilivu wa hali ya juu sana kwa baadhi ya watoto watukutu, la sivyo waweza kujeruhi au hata kuua bila kukusudia.
 10. SMU

  Fundi hata umbane vipi akitaka kukuibia atakuibia tuu

  Wizi mkubwa ni katika kununua materials na materials yenyewe (hasa kwenye ujenzi). Mara nyingi sana wana collude na wauzaji. Anakwambia kitu fulani twende tukanunue duka fulani....kumbe keshaongea na muuzaji, kaweka cha juu. Ukitaka kununua pengine, utaambiwa huko utauziwa feki au havina ubora...
 11. SMU

  Mwanaume ukigundua mpenzi wako ana mpenzi mwingine anayemuhudumia na wewe huna uwezo huo utamsamehe?

  Inategemea na malengo tu. Kama ni kulana tu na maisha yanaendelea sioni shida. Maana sioni tofauti sana ya hicho unachokisema na kuwa na mahusiano na make wa mtu. Ila kama kuna malengo makubwa zaidi kama kuoana, hayo ni matusi makubwa tu kwa mwanaume.
 12. SMU

  Interview TPB: Naombeni mnisaidie aptitude test

  Hiyo kazi mwombaji anatakiwa awe na sifa gani? Kazi zake za kila siku katika hiyo nafasi ni nini? Mara nyingi, aptitude test inaandaliwa ili kupima uwezo wa mwombaji kulingana na sifa za kazi husika. Hapo hawapimi uwezo wako kwenye taaluma uliyosomea.
 13. SMU

  #COVID19 Hayati Magufuli alificha taarifa ya Vifo vya Corona at our Risk

  Je hata chake kilifichwa? Napita tu.
 14. SMU

  Kimeumana Vanilla Njombe: Ni utapeli mtupu

  Ingawa wazo (concept) kwa kweli ni zuri sana. Linafaa kuigwa au kukuzwa kwa scale kubwa zaidi na kwa mazao mengine. Serikali iangalie namna ya kuwezesha wazo hilo na namna ya kuhakikisha usalama wa mitaji upo vizuri/risk mitigation.
 15. SMU

  Kimeumana Vanilla Njombe: Ni utapeli mtupu

  Hata huko unakosema watu "wanapigwa" tu....kwa maoni yangu labda tuseme kuna nafuu tu. My point is wasiende au kuingia kichwakichwa kwa kuwa tu kuna usajili. Uwekezaji una risks nyingi sana. Tizama thamani ya hisa za voda, crdb, etc (linganisha na kipindi cha IPO zao). Hatari sana.
 16. SMU

  Mada maalum kwa wachoraji, sanaa ya picha na rangi

  Hizo za Olumide, nahisi kuna camera hazimfikii, wachilia mbali hao kina Picasso etc., ama?
 17. SMU

  Anapiga kelele sana mpaka naona aibu

  Mjaribu na side B kama side A inaleta shida! Kama umepanga, jenga nyumba yako sehemu yenye nafasi ya kutosha ili mnyanduane kwa amani bila woga.
Top Bottom