Search results

 1. pmwasyoke

  Kama maji yameongezeka mto Ruvu ndani ya saa 48, basi hata Kidatu, Kihansi na Pangani yataongezeka kama wanaohujumu wakidhibitiwa

  Umenikumbusha mwamba James Hadley Chase. Muktadha ulioutumia usemi huo ni sahihi kabisa - naunga mkono. Watu huangushia jumba bovu hata pasipostahili kuficha ukweli wa mipango hafifu.
 2. pmwasyoke

  When you read how Microwave affect your Health you will never use again

  The unfortunate situation with microwaves is that you even get second hand ones, aka mitumba, with the associated higher risk of radiation leakage!
 3. pmwasyoke

  When you read how Microwave affect your Health you will never use again

  Mkuu, Mjadala kuhusu athari hasi za matumizi ya microwave umekuwepo kwa miaka kadhaa, na kuna watu hawazitumii. Mimi binafsi pia niliacha kuzitumia. Cha msingi iwapo unapenda kuzitumia microwave zingatia kabisa maelekezo ya watengenezaji na tumia vyombo sahihi vya kupikia. Microwave zako ziwe...
 4. pmwasyoke

  When you read how Microwave affect your Health you will never use again

  Kwa hakika lugha iliyotumika haieleweki vizuri si kwa sababu ya ugumu, bali kwa kukosa ufasaha.
 5. pmwasyoke

  When you read how Microwave affect your Health you will never use again

  Lakini mkuu ukimwona simba si unamkimbia?
 6. pmwasyoke

  Huu wizi wa magari unaoongezeka. Wanatumia mbinu gani na wanawezaje kuyatumia bila kudakwa?

  Bastola ni safi - lakini nasikia mchakato wa kupata kibali waweza kuchukua miaka miwili hadi mitano!
 7. pmwasyoke

  When you read how Microwave affect your Health you will never use again

  Inashauriwa kupunguza au kuepukana na athari mbaya za matumizi ya microwave kwa: a) kuzingatia vema maelekezo ya watengenezaji; b) kutokutumia microwave iliyo na ubovu/uchavavu; c) kutumia vyombo maalum kupikia ndani ya microwave.
 8. pmwasyoke

  When you read how Microwave affect your Health you will never use again

  Microwave hudhaniwa kuwa na madhara ya radiation yake kuathiri baadhi ya viungo vya binadamu, na hasa pumbu na macho. Pia inasemekana baadhi ya vyombo vya plastic vikitumika kupikia ndani ya microwave chembechembe zake huyeyukia ndani ya chakula na kuchangia uwezekano wa kupata kansa.
 9. pmwasyoke

  Wanawake tufundishwe kupigana ili tujihami

  Nunueni pia bastola kwenye maduka ya Tanganyika Arms zitawalinda zaidi.
 10. pmwasyoke

  Find X

  180?
 11. pmwasyoke

  Kuwa na laini ya TTCL iwe ni lazima kwa watanzania wote TTCL iimarishwe zaidi

  Huko ni kutaka kutuingiza jehenama. Yatajirudia yaleyale ya kuua Fast jet iliyotuonjesha wengi kupanda ndege - sasa tunazisikia redioni.
 12. pmwasyoke

  Hatari ya Magari ya Serikali barabarani

  Labda Serikali ingepanga kununua na kutumia zaidi helikopta kwa mizunguko ya ndani ya viongozi wakuu!
 13. pmwasyoke

  Hatari ya Magari ya Serikali barabarani

  Bora ziongeze spidi ili muda wa kusubirishwa kupisha misafara upungue.
 14. pmwasyoke

  Hongera RC Makalla, hakika vibanda vya Machinga ulikuwa ni uchafu

  Kisha watu wawahisi ni wachawi kwa wekundu wa macho!
 15. pmwasyoke

  Wengine hatumpendi Mungu tunajilazimisha tu

  Ngoja atokee kukutaka uthibitishe uwepo wa Mungu!
 16. pmwasyoke

  Ni kitu gani ambacho licha ya usomi wako bado kinakusumbua?

  Four figure mathematical tables, slide rule nilizitumia mkuu. Nami wa kale.
 17. pmwasyoke

  Ni kitu gani ambacho licha ya usomi wako bado kinakusumbua?

  "Four figure" Mkuu wewe ni mtu wa kale.
 18. pmwasyoke

  Kwanini wafanyakazi wa serikali hawahamii kwenye nyumba walizojenga?

  Nyumba mtu aliyojijengea ni yake na haimhusu mwajiri wala mwajiriwa mwingine. Si sawa kumtaka aachie stahili yake ya nyumba alikoajiriwa.
Top Bottom