Search results

 1. Therapist 2015

  Kozi gani anaweza kusoma kwa matokeo haya?

  Habari za mchana wakuu, naomba kujua kozi zipi nzuri mdogo angu anaweza kusoma chuo kwa matokeo haya ya advance . G/study............D History.............C Geography.......D Economic........D Bam.................F
 2. Therapist 2015

  Mwalimu wa Mathematics anatafuta kazi

  Habari ya jioni ndugu wana JF, napenda kutanguliza shukhurani kwa wanajumbe wote wa jukwaa hili. Kuna mwalimu wa Mathematics anatafuta kazi ya kufundisha, ana uwezo wa kufundisha na Physics pia kwa O level, ila mathematics anaweza fundisha level zote. Najua humu ndani yawezekana Kuna wamiliki...
 3. Therapist 2015

  Mwl wa physics na Mathematics

  Wakuu, poleni na majukumu.... Wakuu, naomba kujulishwa shule yenye uhitaji wa mwalimu wa physics na mathematics. Wakuu, naweza kufundisha masomo hapo tajwa juu kwa level zote yaani o level na advance. Natanguliza shukhrani....(+255677784091)
 4. Therapist 2015

  Mabinti wa kibongo mjitafakari....

  Nahisi picha hapo chini inasomeka.... Sent using Jamii Forums mobile app
 5. Therapist 2015

  Masudi kipaya tena!

  Nani ameielewa hii wakuu!!! Sent using Jamii Forums mobile app
 6. Therapist 2015

  Tanzania tena!!!!!!!!!

  Duuuh!!!, tunakoenda tunanapajua!!? Sent using Jamii Forums mobile app
 7. Therapist 2015

  Naomba kufahamishwa college zote za Dar zinazotoa Astashahada au Stashahada ya Elimu

  Wakuuu poleni na majukumu!! Naomba kujulishwa vyuo (college) vyote vinavyotoa diploma au certificate upande wa education, ukiondoa university zilizo hapa jiji pendwa la Dar es salaam.... Pont of interest: nimemaliza Degree ya elimu katika science ( bachelor of education in science) nikibobea...
 8. Therapist 2015

  Naomba kujuzwa maduka yanayouza Biblia hapa Dar

  Habar ya weekend wakuu!! Naomba kujuzwa maduka yanayouza bible hapa Dar, nataka kuchukua bible ya kiingereza yazamani kidogo inaitwa "the Gedion" . kwa wale waliwahi kuitumia wanaifahamu vizur ina kiingereza kile cha zamani, sio chepesi kama new version bible za sasa!!. Ni hayo wakuu!!.
 9. Therapist 2015

  Msaada !!!

  Wakuu pole na majukumu ya kila siku!!moja kwa moja kwenye mada, account ya fb upande wa messenger, haikoneti internet kwa wiki sasa.ikiingia message naiona lakini kurespond inagoma maana inaandika waiting for internet wakati simu inasoma 4G Kwa wale walio wahi kuexperience hichi kitu naomba...
 10. Therapist 2015

  Unakumbuka nn..?

  MwanaJF, unakumbuka nn kuhusu hii photo..?
 11. Therapist 2015

  Hizi kauli ushawahi sikia kutoka kwa walimu pindi unasoma?

  Habar ya asubuhi, wana JF hivi ushawahi experience hichi kitu kipindi unasoma shule!! Wewe ulisikia kipi kutoka kwa walimu wako?
 12. Therapist 2015

  Kuna ukweli kuwa wanaume huwa na akili zaidi mchana kuliko usiku?

  Habari wana Jf, Poleni na majukumu ya kulijenga taifa letu la Tanzania .Natanguliza shukhrani zangu kwa kwa wasomaji tu wa maoni na watoaji maoni pamoja na kusoma pia, itifaki imezingatiwa. Naomba kujielekeza kwenye mada , inasemekana kuwa Wanaume wakati wa usiku huwa hawana akili...
 13. Therapist 2015

  Natafuta kazi ya kufundisha somo la mathematics

  Wakuu, Mimi nimemaliza bachelor of education in science ,Julai2018 katika chuo cha Duce,nikisipesolaizi kwenye mathematics .Naomba kama mtu anafahamu shule yeyote hapa Dar es salaam yenye uhitaji anijulishe au centre yeyote ya tuition. Namba#0758234994
Top Bottom