Search results

 1. UHURU JR

  Ujinga na umasikini wetu wananchi.

  Huwa sipendezwi na kauli za wanasiasa wanaposema kuwa watanzania wengi tuna ujinga na hatuna elimu hivyo hatujui haki zetu. Kwa maana hiyo unakuta tunaambiwa tunapelekeshwa tu na ccm kwa sababu ya ujinga wetu na umasikini wetu,lakini najiuliza ikiwa watanzani wenyewe ambao umasikini na ujinga...
 2. UHURU JR

  Kwanini hawa wenzetu wenye asili za kiarabu/kihindi hali zao kimaisha ni tofauti na za kwetu?

  Hivi kwanini hawa wenzetu wenye asili za kiarabu au kihindi huwa hali zao za kimaisha ni tofauti na za kwetu? Maana wao ndio wengi tunaona wakiwa matajiri na hata wale wenye maisha ya kawaida bado wengi hujiweza kuliko hali za famili zetu sie nyingi zilivyo. 
 3. UHURU JR

  Somo la Kiingereza mashuleni

  Hivi hili somo la kiingereza mashuleni huwa linafundishwa ili watu waweze kuongea na kuandika tu au ni zaidi ya kumudu kuongea na kuandika? Na je,ni nani wa kulaumiwa kwa mwanafunzi kushindwa kuongea wala kuandika hata baada ya kufundishwa hilo somo kwa miaka minne na ni kwa sababu zipi zenye...
 4. UHURU JR

  Umejifunza nini kwa tukio la Lowassa tuliyeelezwa kwa miaka karibu 8 nyuma kuja kuwa mgombea urais?

  Hivi ikiwa kama wewe ni mwananchi wa kawaida na mpiga kura, ni jambo gani umejifunza kutokana na uchaguzi huu kwa tukio la Lowassa ambaye tulikuwa tukimfahamu kama fisadi mkubwa sana kwa muda mrefu tu lakini mwishoni kajakuishia kuwa mgombea urais? Mimi binafsi nimejifunza kuwa wakati...
 5. UHURU JR

  Tatizo la Network kwenye ki-simu changu

  Habari zenu wakuu, Nina Nokia E51 huwa natumia kwa Internet na huwa natumia kwa laini ya Airtel. Sasa juzi wakati natumia ghafla mnara wa network ukapotea wote kwenye simu kukawa peupe hakuna mnara, nikajaribu kusearch network lakini ilikataa kabisa. Nikajaribu kuweka laini ya tigo ikakubali...
 6. UHURU JR

  Msigwa ameshanasa kwa Nyalandu

  Jambazi ni jambazi, fisadi ni fisadi, tapeli ni tapeli tu. Madhara ya vitendo vya watu hawa kwa jamii ni yale yale bila kujali kuwa wanatoka chama tawala au upinzani. Madhara ya vitendo hivi hayaangalii kuwa mtu huyu anajifanya mchungaji, askofu au sheikh. Hayaangalii kwamba mtu huyu...
 7. UHURU JR

  Bidhaa za Kimasai

  Jamani naombeni msaada wenu jinsi hizi bidhaa za kimasai kwa ajiri ya kufanya biashara kama vitu,mabegi,mashuka n.k nataka niwe nasafirisha kupeleka Ghana maana wengi wanahitaji.
Top Bottom