Search results

 1. lunatoc

  Dawa ya mawe ya tonsez

  Unachanganya Mambo Tonsil Stones sio hicho unachoelezea. Acha kupotosha! Msome vizuri mleta mada utaelewa anachoeleezea sio hicho unachoelezea wewe.
 2. lunatoc

  Kuna rocket imetumwa huko angani ikagonge mwamba unaohatarisha kugonga dunia

  Acha Hilo jiwe lije kutugonga maisha ya tozo yamekuwa magumu
 3. lunatoc

  Nimeshangazwa na kukuta mabati yamepanda bei

  Unaongea vitu hata huvijui mwaka Jana Bei ya mafuta Marekani ilifikia Hadi negative ila Tanzania Bei ilibaki kuwa kubwa! Wiki iliyopita nilikuwa Kenya so naongea ninachokijua acha kuleta taarifa zako za vitini. Nenda Malawi hapo kaulizie Bei ya mafuta ya petrol ni shilingi 1,600 kwa lita 1...
 4. lunatoc

  Nimeshangazwa na kukuta mabati yamepanda bei

  Kwani Tanzania ilikuwa imejifungia kipindi Cha corona ? Mbona Kenya na Uganda ambazo zilikuwa zimejifungia bidhaa hazijapanda Bei Kama hapa TANZANIA!! Kama unabisha uliza hizo bidhaa zilizopanda Bei Tanzania kwa upande wa Kenya zikoje Bei ... Mafuta yanapanda Bei Tanzania na Malawi Bei...
 5. lunatoc

  Nimeshangazwa na kukuta mabati yamepanda bei

  Na vifurushi kupanda Bei Ni kwasababu ya China ? Kuongezeka kwa tozo za miamala ni kwasababu ya China ? Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 6. lunatoc

  Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

  Ila nchi zetu umasikini bado Sana , Yani laki 9 Ni sawa na Kama dola 450 hivi mtu ndio analipwa kwa mwezi. Aiseeh tujikwamueni bado tupo kwenye umasikini Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 7. lunatoc

  Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

  Mgambo Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 8. lunatoc

  Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

  Mbona mimi sijawahi kuomba
 9. lunatoc

  Ninahama CRDB; ni benki gani inayoweza kuwa mbadala bora kwa Dar es Salaam?

  Bonge moja la bank unahudumiwa Hadi unatamani umpe hela anaekuhudumia.
 10. lunatoc

  Manchester United (Red Devils) | Special Thread

  Umpe timu evra kweli timu yetu imekuwa Kama Namungo
 11. lunatoc

  Ninahama CRDB; ni benki gani inayoweza kuwa mbadala bora kwa Dar es Salaam?

  Bank ambazo ambazo hazina ujinga Ni international banks. Nilikuwa nawakubali Sana Barclays kwa Sasa ABSA. Hata equity bank wako vizuri ila hizi bank za nyumbani Ni shida Sana.
 12. lunatoc

  Ninahama CRDB; ni benki gani inayoweza kuwa mbadala bora kwa Dar es Salaam?

  Mimi hao CRDB niliwakimbia enzi za kimei
 13. lunatoc

  Jinsi ziwa Tanganyika lilivyo na maji mengi

  We ni muongo watu tumezaliwa kigoma maji ya ziwa TANGANYIKA sio ya chumvi acha ujuaji wako ng'ombe wewe.
 14. lunatoc

  Mke wangu kanikamulia maziwa

  Endelea kunyonya taahira wewe
Top Bottom