Search results

 1. goldie ink

  Kuwekwe sheria ya ndoa ya mkataba kwa wanaohitaji kufunga ndoa hizo

  Miaka ya hivi karibu kumekuwa na wimbi kubwa la wanawake wa kitanzania kuhitaji kuolewa na kuishi na mwanaume ampendaye kwa dhati, hakika hiyo ni ndoto kwa kila mwanamke wa kitanzania, lakini imekuwa kinyume chake pengine maisha na mazingira hubadilika katika zama tofauti, ila wahenga walinena...
 2. goldie ink

  left hand drive motor vehicle.

  Habari wanachama wote wa jamii forums na viongozi wote kwa ujumla. Naamini jamii forums ni mtandao bora wa kitanzania katika kujua habari mbalimbali katika jamii na kukufanya kuwa mmoja wapo wa ( The great thinker ) Moja kwa moja kwenye mada husika ni kuhusu matumizi ya magari ambayo usukani...
 3. goldie ink

  THe GanG StA LoVe

  Ijumaa ya vurugu hii haijakaa sawa kutokana hizi mvua bado tunaendelea kula wife / husband za watu huku wenye mali wakiwa job kuchakarika kusaka chipsi za kila daily. Anyway the topiki iz about a love... The gangsta love, siku hizi kuna ile manners ya wana ke na wana me kulialia mapenzi mara...
 4. goldie ink

  S i k u k u u y a w a f a n y a k a z i

  S. L. P 666, Brentford, England, 01 of may 2018. YAH: pongezi kwa sikukuu ya wafanyakazi. Rejea kichwa cha habari hapo juu yahusu pongezi kwa siku hii kuu ya...
 5. goldie ink

  Wazazi/Walezi: Tusiwape watoto uhuru uliopitiliza

  Viviane ni msichana mrembo angali kinda bado, anaanza shule ya awali anadiriki kushiriki michezo ya baba na mama, anaendelea kukuwa katika mfumo huo anafikia hatua ya kushiriki na viongozi wa darasa kwa wakati huo yupo darasa la sita, shuleni amani anayo hapewi adhabu zisizo na sababu viranja...
 6. goldie ink

  Gesti za Kichina

  Juzi jumamosi nimekutana na mrembo katika harakati za kusaka pesa ya kula samaki, nikamtamani ghafla nikajaribu kumchekesha kidogo mwishowe nikanyakua namba yake ya simu, mawasiliano yakawa mazuri nikajaribu kumpa maneno mazuri mazuri ya ushawishi ili anipe kkkuuummmaaa akaniambia niwe na...
 7. goldie ink

  Neno thamani katika mapenzi ni kubwa mno

  I was looking for a father he was gone, I hung around with the thugs and even though they sold drugs, They showed a young brother love, I moved out and started really hanging, I needed money of own so I started slanging, I ain't guilty cause even though I sell rocks, I feels good putting money...
 8. goldie ink

  Mapenzi ni matamu ila yakizidi mwishowe huwa kifo

  Fresh off the boat nilikuwa Zanzibar kwa ajili ya kusherekea sikukuu ya pasaka, katika harakati zangu za kutalii kwa kushangaa mji kidogo nikabahatika kukutana na mrembo mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Ashraqat ni mkazi wa mji wa menia, ambaye ni mjasiriamali tulitokea kuzoeana kwa muda...
 9. goldie ink

  Nimefika ndani ya duka la dawa nikaona dada mrembo kidogo ugonjwa upone

  Homa na mafua zilitawala mwili wangu kwa muda wa wiki 1, nikafanya vipimo nikapewa ushauri hatimaye nikaagiziwa dawa za kutumia, nikaenda duka la dawa (pharmacy) moja hapa mjini nzuri kununua dawa. Kiukweli nimefika ndani ya duka la dawa (pharmacy) bado kidogo ugonjwa upone ghafla muhudumu /...
 10. goldie ink

  Telande world

  Kama unapenda mapishi basi usiache kutizama akaunti yetu kwenye instagram inaitwa ( TELANDE WORLD ) ni mapishi ya kila aina na utafurahi mapishi yetu..... [emoji4] [emoji106]
 11. goldie ink

  Kutumia 'uchawi' kuimarisha mahusiano

  Aghalabu tumezoea kusikia uchawi ukitumika kwa waganga wa kienyeji, wanga, na wachawi wenyewe kuloga watu bila sababu yeyote ya msingi, uchawi upo wa aina nyingi hapa ulimwenguni lakini kila mtu anatumia uchawi kulingana na matakwa yake. Katika mapenzi tumezoea kusikia mtu akitumia uchawi ili...
 12. goldie ink

  Wanawake punguzeni ukatili

  Me: Hellow niambie Mr. Christopher Chris: bro naomba unisaidie huyu mwanamke me nitamuua humu ndani. Me: kwani kuna tatizo gani limetokea asubuhi yote hii bro. Chris: si huyu mpuuzi ( Anitha ) kafanya ushetani wake me nitamuua ujue, ( chris akiongea kwa sauti ya uchungu na kulia ) Me: sasa...
 13. goldie ink

  Uonevu: Wanaume kudai zawadi walizowanunulia wapenzi wao baada ya kuachana

  " Nataka gauni langu niliyokununulia siku ya valentine " hizi kauli mara nyingi imesikika kwa wanaume ambao wameshahonga kwa wanawake zao kipindi mahaba yamepamba moto haswa anaweza akakununulia nguo, gari, simu , n.k. Mkumbuke hata baba yake au mama yake (endapo wapo hai) kuwanunulia vitu na...
 14. goldie ink

  M . I . Z . I . N . G . A

  Ni muda sasa imesikika wanaume wakiwa wanalalama juu ya wanawake kuwapiga mizinga mizito hadi kushindwa kihimili lakini kuna tatizo pande zote kati ya wanawake na wanaume. Wanaume kumbukeni unapo mhitaji mwanamke lazima umuhudumie na yeye pia anaamua kujiongeza kwa kuomba pesa ya ziada kwa...
 15. goldie ink

  Ni kosa gani katika mahusiano ya kimapenzi yaliwahi kutokea na kutamani siku zirudi nyuma ili urekebishe?

  Good afternoon wa Tz. Naamini sote tumetoka na kupitia mbali katika safari yetu ya mapenzi na uhusiano, katika safari hiyo kuna changamoto nyingi sana visa na mikasa isiyo na sababu zingine zina sababu, migogoro n.k .... Kama wahenga walivyonena kuwa ukiona nyani mzee ujue amekwepa mishale...
 16. goldie ink

  Video

  Siku hizi mashabiki na wapenzi wa nyimbo za wasanii tofauti tofauti nchini na hata nchi za ughaibuni kumekuwa na tabia ya kupendelea kutizama video zaidi kuliko kusikia maneno yanayoimbwa katika nyimbo hizo, unaweza ukaimba matusi , kejeli , majivuno , mapenzi , siasa , na video ikiwa kali...
 17. goldie ink

  Jiamini usiwe na wivu usio na tija

  Hellow watu wa Jamii F, poleni na stress za maisha na weekend angalau inaanza vyema kujipanga tena upya. Kuna jambo nahitaji kuwashirikisha wana harakati wa jamii F. Leo ni siku ya Ijumaa tena weekend inaanza nikiwa katika harakati zangu huko mjini nikakutana jamaa yangu, niliwahi kusoma naye...
 18. goldie ink

  Unajifunza nini hapa... ??

  Hellow wana jamii F Poleni kwa stress za maisha, Direct to the topic ni kuwa, Juzi tumesikia kijana kutoka kenya amekutwa akifanya mapenzi na ng'ombe na alipohojiwa alitoa sababu kuwa anaogopa wanawake wasije kumpa ukimwi, Sasa kwa mtazamo wako unafikiri kwanini kijana huyu aliamua " kubaka...
 19. goldie ink

  Hello JamiiForums!

  Habari wana JamiiForums, Mimi ni mgeni, naomba kukaribishwa.
 20. goldie ink

  Jeclahay ni nani?

  Wakati inaanza ilikuwa tamu ni kweli utamu wake zaidi ya asali, utamu wake ni zaidi ya sukari, mbinu na ubunifu zikatumika katika kuboresha "Jeclahay" nayo upendo na amani ukaongezeka naye watu wa karibu wakajuana. Nayo furaha ikaongezeka nyuso zao zikavutia miili yao ikashamiri, lakini...
Top Bottom